Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
ukimwita hivo unata faida gani?kwani yeye mwenyewe hajijui?Kiziwi
ukimwita hivo unata faida gani?kwani yeye mwenyewe hajijui?
acha ushoga mtoto wa kiume..
kuparamia ya watu yako yanakushinda..
pambana na hali yako
hizi hulka waachie dada zako.utakuja kuolewa!!
asanteeaic pole sna my dear!ebu uwe positive tu kwa maisha yako!polen wote leo ndo naona shida hzi aic humu!polen tena!
Safi Sana, najisikia kuwa na furaha Sana kuwafahamu wenye tatzo kama langu, tuonane hapa 0655788932 Whatsapp au normal smsDah! Mkuu asikwambie mtu hili tatizo mimi pia lilinipata tangu 2012 mpaka leo naskiaga makelele mengi sana lakini nilijitahid mpaka nimemaliza masomo yangu chuo kilimo mpaka leo tatizo ninalo nimeenda kote sijui muhimbili na pengine pengi mpaka hawa wa tiba mbadala lakini wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndio hayo siyatakagi kabisayaani..ni vile unakuta unamuongelesha lakini kwa bahati mbaya jibu lake hukuliskia vizuri..unakuta anarudia kwa kufoka hadi unajuuta..
na pale mtu anapoambiwa huyu hasikii vizuri doh..unashangaa kila mtu anakuangalia wee.mpaka unajiuliza kuna nini?
but usikate tamaa
Mungu ana sababu zake.
Ngoja nihangaike nalo naamini nitapona tu kwa neema za Mungu!kama ni quinine bora uhangaike sasa..kwani kadri mda utavyoenda na tatizo litazidi..
Kheri umuache tu bila kumjibu dadangu, watu kama hawa nimeishi nao sana.. Huwa nawapotezea japo inaumiza,coz no body know his tomorrow
[/QUOTE]Wakuu mimi ni kijana(19 years now) nina tatizo la kutosikia vizuri na body balance(nimesoma science kidogo naelewa masikio ndio yanayo control body balance) hili tatizo limenianza mda sana tangu nipo mdogo wa miaka kama 9 hivi sasa limekuwa kubwa kiasi kwamba nahitaji attention kubwa sana kuongea na mtu na mara nyingi nikitembea huwa siendi sawa(napepesuka mda mwingine hadi kudondoka)... Hospital nimeenda mara y kwanza muhimbili mwaka 2009 na mama nilichunguzwa nikaambiwa nahitaji hearing device na kwa kuwa gharama ilikuwa kubwa bi mkubwa alishindwa kumudu, by 2012 baba akafanikiwa kuipata hiyo hearing device ambapo niliitumia ila ikawa nikivaa sana masikio yanazidi kuuma, hii ilipelekea kwenda tena Hospital mara hii ikiwa ni CCBRT hapo tukaambiwa twende ekenwa(Hospital flani hivi ipo magomeni) tulivyofika pale na kupimwa solution ilikuwa kutumia kwanza dawa flani hivi zinaitwa neorouns(kama sijakosea) kwa miezi mitatu mfululizo then nikimaliza niendelee kutumia hearing device. Hii haikuniletea nafuu yoyote mpaka namaliza form four na kwenda likizo ifakara kwa babu, nikiwa huko baada ya miezi kadhaa masikio yakawa ya nauma sana, nikapelekwa Hospital na babu (st Francis Hospital ifakara) baada ya kunichunguza wakaniandikia barua ya rufaa kwenda muhimbili surgery department.. Baada ya Kurudi dar na kwenda muhimbili mzee akanambia gharama ni kubwa sana kwa sasa na yeye hana pesa...
Natumai kuna madaktari humu mnipe japo ushauri wa nini cha kufanya maana nimeshindwa kwenda chuo sababu ya masikio na naona kadri siku zinavyokwenda ndivyo yanavyozidi kupoteza uwezo wake..
Natumai mtanisaidia kwa hili Doctors
mimi secondary nimepitia changamoto zilizonipelekea kufail shule mpaka leo sijaendelea popote...Nimesoma ushauri wenu nyote, asanteni kwa mda nitaifanyia kazi... Kwenda chuo nako mtihani sababu maisha secondary yalikuwa na changamoto zake pia, imagine unaenda kukutana na watu kama huyu kakangu Jordi Pola , inaumiza kwakweli
mimi secondary nimepitia changamoto zilizonipelekea kufail shule mpaka leo sijaendelea popote...
nmepitia mengi sana mpaka kujikubali ,imenigarimu miaka japo changamoto bado zipo nyingi sana tu za maisha..
ila secondary nmepitia mengi mabaya sana sitakagi hata kuyakumbuka.
juzi kati hapa kuna mlemavu alijiua ,hiyo mada ilikuwepo humu Jf, alijiua kwasababu alichoka kejeli za wanachuo wenzie...
nilijisikia vibaya ila nikakumbuka challenge nilizopata na nnazopata sometimes unafikia huko
halafu hao wanichekao hawajui mbeleni kitawapata nini.kwakweli inaumiza mno mno! usikate tamaa princess ariana na huenda wewe shida yako ikawa ndigo kuliko ya mwingne!usifikie huko kbs!endelea kufurahia maisha!sipend kbs mie mtu kumcheka mwenye tatzo lolote! mie mwenyewe nna pumu nikianzaga kukohoa basi kila mtu anakushangaa! mxiew! hujafa ....
halafu hao wanichekao hawajui mbeleni kitawapata nini.
moja kati ya walionicheka mwaka juzi alipata ukichaaa akapelekwa muhimbili akakaa miezi mi3 anatumia dawa za kutuliza akili kila siku dawa 8 akiacha kichaa kinarudi.
hizo dawa atatumia maisha ni mwake mote kama Arvs zinamnenepesha amekua jitu fulani hivi...
wanasemaga hujafa hujaumbika
Sent using Jamii Forums mobile app
nasikia kila kitu ila kuna baadhi ya vitu sometimes waweza usisikie hasa sehemu ikishakua na muingiliano wa kelelekwelli kbs !malipo hapa hapa!lakini naomba nijue radio,tv unasikia vzr au inakufanya usikie kelele!
wewe wapuuze..ni wangapi na uzima wao na wanasikia sawasawa na leo hawapo wamekuacha wewe duniani?Nimesoma ushauri wenu nyote, asanteni kwa mda nitaifanyia kazi... Kwenda chuo nako mtihani sababu maisha secondary yalikuwa na changamoto zake pia, imagine unaenda kukutana na watu kama huyu kakangu Jordi Pola , inaumiza kwakweli