Hivi mtu unaweza kujijua kama unatoa harufu mbaya mdomoni? Kama kuna njia ya kuweza kujichunguza ili kujua naomba mnijuze...
Njia hii haiwezi kukupa jibu kama mdomo wako unanuka au haunukiWe kiganja cha mkono kwenye mdomo, pumua hapo then nusa
Wadau,
Naombeni ufafanuzi wa tatizo hili la kinywa kutoa harufu mbaya.Yaani muda ukitoka kusugua ama kuswaki tu ndiyo hakitoi harufu ila ukitulia kidogo labda masaa kadhaa harufu mbaya inarudia palepale hata kama hujala kitu!
Naombeni kujua tatizo ni nini na suluhisho lake.
Ahsanteni.
Tatizo linaweza kuwa ni kinywani au tumboni, ninakushauri tumia huu udongo wetu wa asili, unaukoroga kijiko kimoja cha chai kwenye glass moja ya maji baada ya kupiga mswaki na unakunywa asubuhi mara moja na usiku mara moja. Utaona mafanikio baada ya siku mbili tatu tu:Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
udongo gani huo?!Tatizo linaweza kuwa ni kinywani au tumboni, ninakushauri tumia huu udongo wetu wa asili, unaukoroga kijiko kimoja cha chai kwenye glass moja ya maji baada ya kupiga mswaki na unakunywa asubuhi mara moja na usiku mara moja. Utaona mafanikio baada ya siku mbili tatu tu:Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
udongo gani huo?!
Pia inatakiwa kuwa na mazoea ya kujisafisha kwa kidole kabla hujaanza kuswaki.Watu wengi wanatoa harufu mbaya ila hawajijui mpaka upate mtu wa karibu akwambie, Ukipiga mswaki sugua na ulimi.
je unaswaki mpaka ulimi?Wadau,
Naombeni ufafanuzi wa tatizo hili la kinywa kutoa harufu mbaya.Yaani muda ukitoka kusugua ama kuswaki tu ndiyo hakitoi harufu ila ukitulia kidogo labda masaa kadhaa harufu mbaya inarudia palepale hata kama hujala kitu!
Naombeni kujua tatizo ni nini na suluhisho lake.
Ahsanteni.
Watu wengi wanatoa harufu mbaya ila hawajijui mpaka upate mtu wa karibu akwambie, Ukipiga mswaki sugua na ulimi.
Duuh, haya mama!Tatizo linaweza kuwa ni kinywani au tumboni, ninakushauri tumia huu udongo wetu wa asili, unaukoroga kijiko kimoja cha chai kwenye glass moja ya maji baada ya kupiga mswaki na unakunywa asubuhi mara moja na usiku mara moja. Utaona mafanikio baada ya siku mbili tatu tu:Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Ndiyo mkuu!je unaswaki mpaka ulimi?
Sasa Mkuu, saidia tiba. HARUFUKwanza kuwa na mazoea ya kuongea na wenzako kwa karibu tena unawakaribia makusudi, ukiona katika maongezi unaeongea nae anarudisha kichwa kwa nyuma ujue hali si shwari, kuna watakaokuambia na kuna ambao hawawezi kukuambia bali vitendo vyao vitakupa jibu.
Chukua uzi upalaze kwenye ulimi wako kuanzia nyuma ya ulimi wako kuja mbele mara moja tu, kisha utoe uzi unuse, ukiona uzi unanuka ujue hali si shwari.
Chukua kiganja chako cha mkono kigeuze upande ambao huwezi kupokea kitu ramba na ulimi wako kisha subiri kidogo hadi mate yatakapokauka, kisha nusa, ukiona kiganja kwa nyuma kinanuka basi ujue hali si shwari.
Chukua nyuzi zile za kusafishia meno sijui kwa kiswahili fasaha zinaitwaje!, pitisha pitisha kwenye upenyo wa meno yako, kisha nusa ukiona kamba inanuka ujue hali si shwari, domo linanuka
Njia hii haiwezi kukupa jibu kama mdomo wako unanuka au haunuki
Yupo mdau amesema tutumie baking powder. Nimetinumia naona harufu imepungua sana ingawa bado ipo kwa mbali ila nikipigia mswaki asubuhi, ikifika jioni saa 11 tayari harufu inarudi. Swali langu, haina madhara?
Baba nimejaribu kutumbiza kidole cha shahada kohoni.Nusura nife kwa kupaliwa na kukosa hewa safi..Bahati majirani walinipa msaada wa huduma ya kwanza.Pia inatakiwa kuwa na mazoea ya kujisafisha kwa kidole kabla hujaanza kuswaki.
Chukua kidole cha shahada au chochote ambacho kwa upande wako utaona kitafika kirahisi chini ya ulimi wako karibu na koromelo, utakuwa unajigoa na mwanzoni mimacho itakuwa inakutoka kama mjusi aliebanwa na mlango, hiyo isikuogopeshe ni sehemu ya usafi. Jitahidi kuchokonoa uchafu kuuvuta kwa kidole kisha unaosha kidole, na unaendelea tena mpaka pale utakapoona mate mazito ya ute ute yamepungua/yamekwisha/yamemalizika kisha sukutua ukiwa unaangaalia juu huku maji ukiyachezesha mlio wake "(khrurrrrrr)" kwa japo nusu dakika (sekunde thelathini au ukipenda endelea mpaka pale utakapojisikia inatosha) kisha tema, rudia zoezi hilo mara kadhaa upendavyo.
Baada ya hapo anza kuswaki kama kawaida.
Na pia kuwa na kawaida ya kusafisha kuta zako za mashavu kwa ndani na kwenye mafizi nje na ndani, inasaidia mafizi yako kutokuwa na weupe weupe fulani mithili ya ukungu mweupe
Sasa Mkuu, saidia tiba. HARUFU
Pole sana.Baba nimejaribu kutumbika kidole cha shahada kohoni.Nusura nife kupaliwa na kukosa hewa safi..Bahati majirani walinipa msaada wa huduma ya kwanza.
Hii inafanyikaje? Nipe darasaJitapisheni nyongo walau mara mbili kwa wiki.
Ni tiba dumu.