Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Dadadeki!
Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana.
Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti.
Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti.
Sijui mtoto wa muasisi.
Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu.
Sijui Mimi ni rafiki wa mjumbe wa kamati kuu.
Hakuna hiyo.
Kama huna sifa utakatwa shingo. Wapewe wenye sifa.
Lisu keshasema mambo ya kujuana Juana, sijui tumetoka wote Rombo au tumetoka wote Meatu haipo hiyo.
Nawaambia UKWELI, Lisu sio mtu wa aina hiyo. Ooohoo!
Kama mmezoea undugunization sijui nepotism nawashauri msimchague huyo Lisu. Mtakuja kumkana.
Lisu hataki machawa.
Lisu anataka watu Pure.
Mtajikuta mnagombana na Mwenyekiti wenu mpya kama mnatabia zisizo na kichwa Wala miguu.
Msimchague Lissu hatawafaa nawahakikishieni.
Haya!

- Wapenda Dezo
- Wapenda kubebwa
- Watembelea majina ya watu.
- Machawa.
- Wajasiriamali siasa.