Pre GE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dadadeki!

Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana.

Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti.

Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti.
Sijui mtoto wa muasisi.

Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu.

Sijui Mimi ni rafiki wa mjumbe wa kamati kuu.

Hakuna hiyo.

Kama huna sifa utakatwa shingo. Wapewe wenye sifa.

Lisu keshasema mambo ya kujuana Juana, sijui tumetoka wote Rombo au tumetoka wote Meatu haipo hiyo.

Nawaambia UKWELI, Lisu sio mtu wa aina hiyo. Ooohoo!

Kama mmezoea undugunization sijui nepotism nawashauri msimchague huyo Lisu. Mtakuja kumkana.

Lisu hataki machawa.
Lisu anataka watu Pure.

Mtajikuta mnagombana na Mwenyekiti wenu mpya kama mnatabia zisizo na kichwa Wala miguu.

  • Wapenda Dezo
  • Wapenda kubebwa
  • Watembelea majina ya watu.
  • Machawa.
  • Wajasiriamali siasa.

Msimchague Lissu hatawafaa nawahakikishieni.

Haya!
Lissu ni JPM aliyechangamka! Ni mtu sahihi katika wakati sahihi.
 
ombaomba atakata mrija wa nani bana wewe gentleman?

hana mipango ana mdomo tu nani atababaika nae huyo,

anajihangaisha tu na labda kujifurahisha but ukweli ni kwamba hakubaliki kabisa ndani ya chama chake, na kabisa hachaguliki mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema 🐒
 
Wajumbe watawashangaza.
 
Back
Top Bottom