Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu BAOSITA Mpuuze huyo anayekupinga unawasaidia dawa watu pasipo na malipo, usishindane nae muache amekosea njia huyo Mungu atamuongoza njia ya ukweli mpuuze tu usimjibu.Siwezi piga soga hapa,nadhani kuna jukwaa la chit chat mkuu.
Nashukuru kwa ufafanuzi wa kitaalam mkuu. Wataalam kama nyinyi mnatakiwa muwe mnapita hapa jukwaani mara kwa mara ilikutoa ushauri sahihi kwa wadau.Sikubaliani kabisa na maneno yalisemwa kuwa una uwezekano wa kuugua figo. Nilishaandika siku za nyuma jamvini juu ya wachangiaji kuacha tabia ya kurukia mambo ambayo hawana utaalamu nayo hasa wakati inahusu afya. Nikurudi kwa huyu aliyekuwa na shida, ni vigumu kukupa jibu la moja kwa moja, kwani maelezo yako hayatoshelezi. Kuna tofauti katika aina tofauti za maambukizi. Kama una fungus kwenye ngozi (superficial fungal infection) hakuna madhara kama umetibiwa ukapona. Kama umepata fungus ya ndani (vaginal candidasis kwa wanawake). Matibabu huwa yanaleta mafanikio mazuri kabisa. Complication pekee ni maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo nayo yanaisha baada ya muda fulani. Kumbuka kuwa candida wapo kwa wanawake wengi na ni mojawapo ya kinga (normal microflora). Mwisho, kama umepona endelea na maisha mazuri usiwe na hofu.
hahaha nilikomesha amoeba kwa kutumiia njia hii. yaani kuna kipindi amoeba walikuwa wananitesha nikinywa dawa baada ya muda naumwa tena na dawa zenyewe za Amiba kama unavyoziju zinachafua. Aah nikajisemea ya nini kuhangaika nikatengeneza juisi ya vitunguu Swaumu yaani niliviponda kama punje thelathini nikachanganya na ndimu/limao mbili kisha nikailaza usiku wote. Kesho yake nikaanza kuitumia kama robo glass kutwa mara mbili kwa siku kama tatu.Wakuu msianze kusema mnataka kutafuna,msije mkaishie punje 5 tu,bora uvisage kwa kutwanga ili upate dozi kamili ya kitunguu swaumu kimoja kizima!Yaani hata minyoo ama fungus wawe sugu vipi,watakufa muda hiyo dawa ifikapo tumboni!
Kwa minyoo,hakikisha unainywa hiyo dawa ukiwa na njaa ili kuikomesha.
Ahsante mkuu kwa kutoa ushuhuda wako wa dawa hii.Kwa yeyote mwingine atakayepona asisite kuja kusema hapa ili watu wengine wasioamini wapate kuamini na kuitumia dawa hii.hahaha nilikomesha amoeba kwa kutumiia njia hii. yaani kuna kipindi amoeba walikuwa wananitesha nikinywa dawa baada ya muda naumwa tena na dawa zenyewe za Amiba kama unavyoziju zinachafua. Aah nikajisemea ya nini kuhangaika nikatengeneza juisi ya vitunguu Swaumu yaani niliviponda kama punje thelathini nikachanganya na ndimu/limao mbili kisha nikailaza usiku wote. Kesho yake nikaanza kuitumia kama robo glass kutwa mara mbili kwa siku kama tatu.
Baada ya hapo sikusumbuliwa tena na amoeba labda niwe mzembe kwa kula vichafu. Ingawa mmh vitunguu vilikuwa vikali siku ya kwanza nilivyokunywa asubuhi tu nilivyoamka bila kula chochote wee huo mchemsho kama nusu saa hivi baada ya hapo kama masaa mawilii niliharisha na choo nikakisikia ni harufu ya vitunguu swaumu tu.
Ila tahadhari usiweke kwenye chombo cha chuma hasa mchanganyiko huo unapokuwa umechanganya na asali maana hufanya sumu.
wapo wengine tuna vidonda vya tumbo, haitasumbua? MziziMkavu saidia hapa piaWakuu msianze kusema mnataka kutafuna,msije mkaishie punje 5 tu,bora uvisage kwa kutwanga ili upate dozi kamili ya kitunguu swaumu kimoja kizima!Yaani hata minyoo ama fungus wawe sugu vipi,watakufa muda hiyo dawa ifikapo tumboni!
Kwa minyoo,hakikisha unainywa hiyo dawa ukiwa na njaa ili kuikomesha.
Nashukuru kwa ufafanuzi wa kitaalam mkuu. Wataalam kama nyinyi mnatakiwa muwe mnapita hapa jukwaani mara kwa mara ilikutoa ushauri sahihi kwa wadau.
sikubaliani kabisa na maneno yalisemwa kuwa una uwezekano wa kuugua figo. Nilishaandika siku za nyuma jamvini juu ya wachangiaji kuacha tabia ya kurukia mambo ambayo hawana utaalamu nayo hasa wakati inahusu afya. Nikurudi kwa huyu aliyekuwa na shida, ni vigumu kukupa jibu la moja kwa moja, kwani maelezo yako hayatoshelezi. Kuna tofauti katika aina tofauti za maambukizi. Kama una fungus kwenye ngozi (superficial fungal infection) hakuna madhara kama umetibiwa ukapona. Kama umepata fungus ya ndani (vaginal candidasis kwa wanawake). Matibabu huwa yanaleta mafanikio mazuri kabisa. Complication pekee ni maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo nayo yanaisha baada ya muda fulani. Kumbuka kuwa candida wapo kwa wanawake wengi na ni mojawapo ya kinga (normal microflora). Mwisho, kama umepona endelea na maisha mazuri usiwe na hofu.
Haitasumbua,tena ndio inasaidia!!!wapo wengine tuna vidonda vya tumbo, haitasumbua? MziziMkavu saidia hapa pia
jamani wana jamii naombeni msaada wenu jamani. Naombeni mjisaidie kama kuna madhara yoyote yanayotokana na fangasi kwenye sehemu za siri za mwanamke. Fangasi ya muda mrefu lakini tayari imeshatibiwa. Msaada tafadhali wadau. Natanguliza shukrani zangu za
dhat
mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako yenye kutia moyo na kuleta matumaini mapya, napenda kukuuliza tu kuwa hizo fangasi kwa mwanamke haziwezi leta madhara kwenye viungo vya uzazi japokuwa nilishapona tayari? Maana mimi bado cjazaa.
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.
Mkuu Raia Fulani tumia kama dawa sio tena unakula kila siku hakuna wasiwasi tumia hakuna matatizo.wapo wengine tuna vidonda vya tumbo, haitasumbua? MziziMkavu saidia hapa pia