Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

dah! kaka ndio nimetumia nw dah! hapa nilipo natema tema mate kama nyoka, ngoja baada ya sku 2 nitawapa tokeo
 
Jamani mimi nimeitumia tena kwa mara ya pili nimeenda mwenyewe siokoni nimenunua Kitunguu saumu nimesaga vizuri na kuweka maji ya vuguvugu kama alivyosema mtaalamu lakini sipati huo uchungu wala kuarisha na hata dalili za kutapika na nimetumia mara mbili nikaweka na limao lakini wapi nipo fresh au kwa sisi walevi inadunda?
 
Muhimu ni kwamba umetumia juice ya kitunguu swaumu (garlic) kizima. Kuharisha , kutapika na uchungu haimaanisha kwamba hizo ndiyo dalili za garlic kufanya kazi au ndiyo kinafaa. Tiba itaendelea hizo dalili ziwepo au zisiwepo.
 
ninauhakika na vitunguu swaumu kwa asilimia mia nawaombeni ndugu zangu msipuuzie maana nilishaitumia huko nyumba japo si kwa ugonjwa wa fungus bali ugonjwa mwingine lakini nilishangaa nilipona hata fungus zilizokuwa zinanisumbua kwenye vidole vya miguu
 
Mkuu kama hujui kitu bora ukae kimya kuliko kuongea kitu usichojua, na kuhukum usilolijua unakatisha tamaa watu wakati hii kitu usipime mimi nimesumbuliwa na fungus miaka sita na nimetumia swaum mara moja asubui nimeamka swafi na kwa kuikomesha nikakaa siku tatu nikakomelea tena ingine sasahivi nipo swanga. nawaambieni misoamini hii kitu inatibu
Tuache kudanganya watu. Fungus haziwezi kuponyeshwa na kitunguu swaumu na kwa kutumia dose ya kitunguu kimoja tu.
 
Mkuu utakuwa umetumia swaum feki yani kilimo cha kemikali hizo hazitaleta tija na kuto skia kichefchef sio sababu hata mimi sikuhisi kutapika ila joto lilipanda sana mwilini na tumbo lilikuwa kama linawaka moto ndani nikavumilia kama dakika kumi hivi napiga maji ikawa safi nakushauri ununue swaum ya kienyeji utaona rangi yake kama nyekundu hata ukubwa sio kubwa ni ndogondogo utapona mkuu
Nimetumia leo, kwanza sijasikia kichefuchefu wala kujisaidia kabisa wala haina ucxhungu hebu nione mpaka kesho nione
 
Mi nimekula ili kuondoa minyoo lakini nashangaa kuna kausumbufu kengine kanajitokeza
inakuwa mtihani mkubwa kwangu kwa sababu sijaoa, au sijui kwa sababu nakula na asali
mtaalamu nisaidie maana mkono hautoki mfukoni, hii itakuwa balaa kwenye daladala au
treni zetu mpya.
Hata hivyo minyoo nahisi kama imepotea ngoja nijitazame zaidi.
 

mtalimbo umedisa?
 
Tahadhari: fungus wapo aina nyingi wengine ni wagumu sana kutibika 'resistant' na njia pekee ni kumchukua huyo na kumfanyia wanayoita 'culture and sensitivity test' hapo utapata dawa sahihi. Kitunguu swaumu ni sawa na limau au tangawizi. Asali ni tofauti imethibitika kisayansi kuwa antibacterial na siyo wote pia
 
Labda una utumbo wa Mamba fanya check up!!
 
Jamani hii dawa jana (jpili) nimeitumia aisee maumivu yake!!!!!!!!! inakata si mchezo ila nashukuru haichukui round kuisha na kukuacha uko fresh na mwenye afya tele....ASANTE BAOSITA
 
Labda una utumbo wa Mamba fanya check up!!

Matola Umenichekesha sana, nafikiri sipati kitunguu chenyewe kwani niliamua kwenda Kariakoo mwenyewe kweli kuna aina mbili ya vituu saumu vinaopatikana pale sokoni kuna vya tanga na mbeya nimechukuwa vyote na kutengeneza hii dawa pamoja na yote mimi naitumia vizuri tena kutwa mara 3 vijiko vya chakula na leo nitumia robo ya kikombe cha chai hakuna cha kichefuchefu, kutapika wala tumbo la hara nipo fresh tu.
 
Sasa mkuu,sio lazima usikie hizo dalili za kichefuchefu.Watu tunatofautiana jamani.Wewe jua kwamba umekula na dawa imeshafanya kazi.
 
Halafu na haya masuala ya kuchanganya na asali sijui limao nani kayaleta tena hapa?!!Hivi jamani mmeona maelezo yangu vizuri ama mnatunga tu na nyie yenu maana tusije kulaumiana baadaye ikitokea sumu!Nimetaja vitunguu swaumu peke yake,SIJATAMKA LIMAO ama ASALI!Sasa wewe kama unaamua sijui kuwekeka sukari,chumvi ama asali utakuwa unajihatarisha mwenyewe.Wengine wanasema eti wanatengeneza juice,kha!!Kama umeona hukufuata maelezo yangu tafadhali usije kulalamika kwamba haikufanya kazi wala kukusababishia hamu ya vitu vingine.Tuwe makini tafadhali wakuu.
 
Nimetengeneza na kutumia hiyo dawa. Nimezoea marobaini, mkwinini n.k, hii kitu ni noma kidogo. Nasubiri majibu.
 
Nitajaribu pia na mama watoto naye nitamshauri atumie kwani anatokwa na kama ute mzito mweupe kwenye maeneo husika. Hospitalini Agakhan wamemtibu kwa anti-fungal kibao lakini hali hii haiishi. Shukrani mkuu tutakuja kutoa ushuhuda baada ya siku kadhaa
 
mkuu pumbu erossion na yenywe inasaidia?

naweza kutumia nikiwa na natumia dawa za hospital?

tangu kuanza dozi (dawa za hospital) nina siku kumi ila bado pumbu inawasha na ngozi yake inakuwa soft sana. sijui nini cha kufanya wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…