New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.
Nimerudi wakuu.Kuongezeka kwa hamu ya kula nadhani inatokea kutokana na aina ya minyoo uliyokuwa nayo awali.Nahisi hapo awali kabla hujanywa hii dawa ulikuwa unakula kwa kiwango cha chini sana.Tukumbuke kuna minyoo wasababishao njaa sana na wengine wasababishao shibe na kupoteza hamu ya kula.Sasa usishangae,tuambie kwanza mwanzo ulikuwa unakula vipi.BAOSITA hebu rudi jamvini kwanza, hii dawa nimetumia inafanya kazi kwakweli, ila sasa nilikuwa na tatizo la appetite kwa sababu mimi si mlaji sana ila tangu nimetumia hii dawa sasa nakula kama Farasi, namaanisha kula hasa, sasa hakuna dawa nyingine ya kudailuti hii? maana hii ni hatari sasa.
Mkuu BAOSITA uko sahihi kabisa, mwanzoni nilidhani mipombe ndio inanifanya kukosa hamu ya kula na hivyo kupelekea kula kidogo, lakini tangu nimepiga hii dozi nakula kama Farasi hata hapa ninapotype sasa hivi nimetoka Pub kupombeka na nikabeba take away ya chips na kuku nusu na maji makubwa ya Kilimanjaro na nimefuta vyote na maji nimepiga yote lita 1.5. zamani haikuwa hivi friji yangu ilikuwa haikosi viporo vya jana nikirudi nimepombeka nakula kidogo na kuacha.Nimerudi wakuu.Kuongezeka kwa hamu ya kula nadhani inatokea kutokana na aina ya minyoo uliyokuwa nayo awali.Nahisi hapo awali kabla hujanywa hii dawa ulikuwa unakula kwa kiwango cha chini sana.Tukumbuke kuna minyoo wasababishao njaa sana na wengine wasababishao shibe na kupoteza hamu ya kula.Sasa usishangae,tuambie kwanza mwanzo ulikuwa unakula vipi.
Wajinga wajinga huwa hawakosekani, kwenye kila msafara wa mamba na kenge wamo. Nimeiproval hii dawa ni ya kweli na kwangu nimepata matokeo positive. No more Albendazole, situmii tena madawa ya hospital ambayo most of them ni fake product from India. Ubarikiwe.Ahsanteni kwa wote mlioitumia dawa na kurudi hapa jamvini kutoa 'feedback'.Naona maswali mengine yanajirudia sana wakati nilishayajibu hapo awali.Kwa yeyote mpya anayetaka kuijaribu hii tiba,naomba ajaribu kusoma majibu yangu yote ndani ya uzi huu kuanzia mwanzo.Ukiona mtu anakuja hapa kubisha kwamba hii dawa haifanyi kazi,jua kwamba hajawahi umwa fangasi huyo,anakuja tu kukebehi watu hapa.Kwahiyo tujaribu kuwapuuza watu wa namna hiyo kwani hawajengi bali wanabomoa.
Bora nipate 'sifa za kijinga' lakini zikasaidia kuamsha jamii ya Watanzania wenzangu, kwamba jamani eeeh, tuanze kuondokana na waganga wa vitunguu na matabibu wa kienyeji! Tujijengee uwezo wa kieledi wa karne ya 21.
Hapana, baba yako peke yake hawezi kuwa kigezo cha "ningeona matokeo yake"! Ilibidi uchukue baba yako na wajomba zako na ukoo wenu mzima na majirani na ushee mle "dawa" na wengine wanywe placebo na wengine wawe control group na mpimwe kwa muda unaorekodiwa kieledi. Vinginevyo observation yako ni ya ki "profesa maji marefu"!
Bora mimi niliechelewa kujua kuliko mamilioni ambao mpaka leo hawajui, ndo maana akitokia kibabu kimoja ambacho kuandika jina lake hajui akawaambia amewagundulieni dawa ya kutibu kila ugonjwa basi Watanzania wote rrrrrrrrrr... kwa kibabu!... placebo effect ikiisha mnaanza kukisakama kibabu kiwalipe!.... kizazi kilichonyimwa elimu, a wasted generation!
Jamani, zaidi ya hisabati hakuna somo ambalo kila Mtanzania lazima alisome mpaka Form IV, isipokuwa Biology, lakini watu kwa mamilioni bado hawaelewi the basic fundaments of microbes and diseases.... kizazi cha babu wa Liliondo, mnaenda kupewa dawa ya kipindupindu na minyoo halafu mkiwa kwenye foleni kusubiri dawa mnalala pembeni ya kinyeshi na inzi halafu wagonjwa wote wenye kuhara na kutapika wanakunywa dawa kwenye kikombe hicho hicho! dawa nini? maji ya imani! A primitive generation!
Ahsante.Ndio inatibu mpaka Amoeba mkuu!Pia ukiwa na ulcers ya tumboni inayosababishwa na bacteria nayo huponyesha!Nasema hivi kwasababu kuna watu zaidi ya 4 ninaowafahamu wamepona ulcers na Amoeba pia!Mkuu Baosita hiyo dawa inatibu hata amoeba nini? Leo hii nimeifakamia dawa asubuhi mapema wakati sijala wala kunywa kitu chochote na nimeshinda kutwa nzima bila kugusa chakula wala kinywaji hadi jioni. Nilipokunywa nilijisikia vibaya kwa dakika chache hivi kisha tumbo liliungurima kwa dakika chache na baada ya hapo niliiza kupata hali njema isiyo ya kawaida. Hivi nimavyoandika, ninaandaa vitunguu vingine ili kesho asubuhi nitwange tena na kunywa. Nachopenda kujua ni je hii dawa inasaidia pia na amoeba? Nauliza hivyo kwa sababu amoeba imenisumbua muda mrefu na dalili zilizokuwepo awali zimetoweka baada ya kunywa vitunguu swaumu.
Hili suala la "kulamba mikundu" naomba niliruke tafadhali, naona kama halina uhusiano na suala zima la kupambana na magonjwa na waganga wa kutumia viuongo pamoja na hoja yangu kuhusu kusambaziana elimu ya jamii kuhusu germs and diseases.unaowalamba Mikundu?
Siamini superstition, siwezi kuangalia TB Joshua TV!angalia TB Joshua TV utaona mpaka hao mabwege wenzio wanaenda!
Babu wa Liliondo ndio hawa waganga wa vitunguu na vikombe vya miujiza! Ni matokeo ya kizazi kilichokosa upeo, kilichonyimwa elimu. Huwezi kuwa na dawa ya kipindupindu wakati unalala hapo hapo unapojisaidia wakati umepanga foleni unasuburi dawa, unakula hapo hapo na vinyesi, huwezi kupona! Wote hawa, vibabu vya imani, waganga wa vitunguu, wachawi, uponyaji kupitia TV ya TB Johua , lazima tuelimishane, tuwapige vita.Babu wa Loliondo ameingiaje hapa? amekukosea nini?
Ninajali wabongo wa nchi yangu, ndio maana naeleza ukweli, kwamba, jamani eeh, huwezi kusema kitunguu kinaua bacteria kwa sababu eti baba yako alikunywa akapona, unajuaje kitunguu ndio kilimponya? Unajuaje baba yako alikuwa na bacteria? Bacteria yupi? Madaktari wa kienyeji sasa tunasema mmepitwa na wakati.Usidhihaki waBongo, mbona walikunywa mpaka
Nini kiko beyond human capacity, ku control imani za kichawi na waganga wa vitunguu?kuna vingine viko beyond human capacity!
Ndio, mmepoteza matumaini kwa sababu mmekumbatia mawazo ya Zinjanthropus na elimu duni. Sijacheza na hisia za mtu, nimeeleza kwa udhati mkuu, kwamba ni wakati sasa wa kuondokana na imani potofu.na usicheze na hisia za watu waliokwisha kupoteza matumaini kwa sababu yoyote iwayo!
let them be!
"What have you" ndio nini?By the way what have you???:shut-mouth:
Unaweza kudharau tiba hizo kwa maneno ya kashfa kwa lugha yoyote na matusi ya kila aina lakini mwisho wa siku haitasaidia kitu maana kuumwa ni zaidi ya hayo unayoongea. Zamani nilikuwa na tabia kama yako ya kudharau tiba za asili au tiba mbadala kwa lugha hiyo hiyo kwamba ni kwa sababu ya kukosa elimu tena basi elimu tunayodhani ndiyo elimu ni hiyo iliyoletwa na wazungu; ya biology, chemistry, physics, n.k. Lakini mwisho wa siku yalinikuta na kuhitimisha kwamba tiba mbadala zipo na zinafanya kazi. Nitatoa mifano miwili.Hili suala la "kulamba mikundu" naomba niliruke tafadhali, naona kama halina uhusiano na suala zima la kupambana na magonjwa na waganga wa kutumia viuongo pamoja na hoja yangu kuhusu kusambaziana elimu ya jamii kuhusu germs and diseases.
Siamini superstition, siwezi kuangalia TB Joshua TV!
Babu wa Liliondo ndio hawa waganga wa vitunguu na vikombe vya miujiza! Ni matokeo ya kizazi kilichokosa upeo, kilichonyimwa elimu. Huwezi kuwa na dawa ya kipindupindu wakati unalala hapo hapo unapojisaidia wakati umepanga foleni unasuburi dawa, unakula hapo hapo na vinyesi, huwezi kupona! Wote hawa, vibabu vya imani, waganga wa vitunguu, wachawi, uponyaji kupitia TV ya TB Johua , lazima tuelimishane, tuwapige vita.
Ninajali wabongo wa nchi yangu, ndio maana naeleza ukweli, kwamba, jamani eeh, huwezi kusema kitunguu kinaua bacteria kwa sababu eti baba yako alikunywa akapona, unajuaje kitunguu ndio kilimponya? Unajuaje baba yako alikuwa na bacteria? Bacteria yupi? Madaktari wa kienyeji sasa tunasema mmepitwa na wakati.
Nini kiko beyond human capacity, ku control imani za kichawi na waganga wa vitunguu?
Ndio, mmepoteza matumaini kwa sababu mmekumbatia mawazo ya Zinjanthropus na elimu duni. Sijacheza na hisia za mtu, nimeeleza kwa udhati mkuu, kwamba ni wakati sasa wa kuondokana na imani potofu.
"What have you" ndio nini?
Inaonekana hujawahi kuugua kisawasawa au hujauguliwa kisawasawa. Hongera sana.Hili suala la "kulamba mikundu" naomba niliruke tafadhali, naona kama halina uhusiano na suala zima la kupambana na magonjwa na waganga wa kutumia viuongo pamoja na hoja yangu kuhusu kusambaziana elimu ya jamii kuhusu germs and diseases.
Siamini superstition, siwezi kuangalia TB Joshua TV!
Babu wa Liliondo ndio hawa waganga wa vitunguu na vikombe vya miujiza! Ni matokeo ya kizazi kilichokosa upeo, kilichonyimwa elimu. Huwezi kuwa na dawa ya kipindupindu wakati unalala hapo hapo unapojisaidia wakati umepanga foleni unasuburi dawa, unakula hapo hapo na vinyesi, huwezi kupona! Wote hawa, vibabu vya imani, waganga wa vitunguu, wachawi, uponyaji kupitia TV ya TB Johua , lazima tuelimishane, tuwapige vita.
Ninajali wabongo wa nchi yangu, ndio maana naeleza ukweli, kwamba, jamani eeh, huwezi kusema kitunguu kinaua bacteria kwa sababu eti baba yako alikunywa akapona, unajuaje kitunguu ndio kilimponya? Unajuaje baba yako alikuwa na bacteria? Bacteria yupi? Madaktari wa kienyeji sasa tunasema mmepitwa na wakati.
Nini kiko beyond human capacity, ku control imani za kichawi na waganga wa vitunguu?
Ndio, mmepoteza matumaini kwa sababu mmekumbatia mawazo ya Zinjanthropus na elimu duni. Sijacheza na hisia za mtu, nimeeleza kwa udhati mkuu, kwamba ni wakati sasa wa kuondokana na imani potofu.
"What have you" ndio nini?
Sawa kabisa mkuu!Mwenye shibe hamjui mwenye njaa siku zote.Tuombe yasimkute hayaInaonekana hujawahi kuugua kisawasawa au hujauguliwa kisawasawa. Hongera sana.
Pole sana mkuu.Kama nilivyoeleza,inabidi kuimeza yote mara moja kwa haraka bila kusikilizia ladha!Ukimeza kwa kubeep itakushinda tu.Nimekula ila nackia kufa kufa!!daah!mpk nimeshindwa kuimalizia yote
Ahsante sana,na wewe ubarikiwe kwa kupona kabisa!Nashukuru sana mtoa maada umenisaidia maana nilikuwa na fungus wa miguu mpaka nashindwa kuvaa viatu ila baada ya kutumia tu 5 days naona maendeleo makumba
Ubarikiwe sana kwa msaada wako