Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

cream za 2000 qu cjui 3000 haziweki komesha tatizo LA fungus kwan dawa ambayo zinawamaliza ni fluconazole tabs 200mg na sio 150mg kama wanazowapatia au zingine wanazokuwa wanawapa....but kidonge kimoja ni 2000 almost but naomba ufanye mchanganyo huo kama nilivokuelekeza then bad a ya two weeks nitafute PM halafu unipe mrejesho zaid....prednosolone haiwdz simply bcoz ni slow reacting kama zilivo cotrimazole au micobazole yan ni very very slow reacting drugs na kumbuka fungus wanashamili sana sehemu yenye joto LA 40°c ambalo almost lipo kwenye mapaja tofaut na joto LA mwili LA 37°c so yan ndo mana wengi wanahangaika sana na fungus wa sehemu za siri ni kwa sababu kwanza joto LA kule linawafanye wazaliane kwa las zaidi

pili joto la Kyle linawafanye wadevelop drug resistant na dawa hizo ambZo ni slow reacting but tumia septrin mchanganyo kama utaona hata DOA lililobaki bad a ya kuanzia week mbili na zaidi...utakuwa kuniambia unless utatumia pesa ndefu na hutaweza kupona.....kinachofanya fungus wasipone ni kwa sababu cell membrane yako inafanana na cell membrane ya cell zetu so Mara nying wanapoinvade skin areas huwa waningia deep skin surface na kuwaua inakuwa ni ngumu mpka utumie septrin ambayo imeundwa special kwa bacterial +fungal infection kwan yenyew itawaua wale fungus na kuspare your normal skin cells.

kuhusu mwenzio mshauri atumie kwanza mkologo huo niliokuambia halafu mwambie apunguze kutumia dawa nying za fungs kwa wakat moja kwan unapotumia dawa za kila a in a ndo unawafanye wadevelop drug resistant so kuwaua utakuwa ngumu mpka tukuchukue vipimo vya drug sensitivity in relation to specific fungal infection ambayo ni garama xana hutaweza afford.

Fanya kama nilivotoa maelekezo na halima utarudisha feedback nzuri
 
Thanks chief.inshalaah nitarejea baada ya wiki mbili na mrejesho
 
fangas za ukeni je?
nazo huo mchanganyiko ni dawa?
fungus wa uken wanaitwa candidiasis na WAP waqaponi kizembe mpka utumie dawa ya fluconazole 200mg na sio candiatat au miconazole au ketoconazole au gentriderm sijui gentrisone au sonaderm au griseofulvin au cjui amphotelicin B au sulpha drug..pale ni fluconazole 200mg asikupe nyingine but kama utashindwa tumia hiyo ya septrin kama nilivoelwkeza then utafanikiwa...pia hakikisha nguo za ndani ni safi na anika kwa jua Kali kila ufuapo na piga pass hizo nguo za ndani...

usiposhugulikia mapema fungus wa sehem za siri huwa ni hatari sana wanashambulia mirija ya kizazi na badae unaweza kosa kizazi au kupata fetal abortion unnecessarily...watibu waishe. I hatari sana ..
 

Shikamoo! maelezo yako mazuri sans
 
1.Kwanza unaonekana ni mtaalamu unayajua vizuri madawa

2. Pili unaonekana si mchoyo wala tapeli kwa kuweka dawa hadarani ili kila mtu mwenye tatizo kama hilo au likimtokea ajaribu.

3. Tatu umeeleza namana ya kutengeneza mchanganyiko huo kwa lugha rahisi ambayo hata sisi wa shule za kata tumekuelewa.

4. Hukusema ni PM au kuweka namba ya simu ili uibie watu au udanganye watu. Ubarikiwe sana endelea na moyo huo
 
Abirikiwe sana . huyu Bwn ni asset humu jamvini!
 
Mungu ambariki aisee katoa suluhisho.. Wengi tumefaidika kwa ushauri wake
 
Asante sana kwa kugusia hili.

Unakuta mtu ana fungus sehemu za siri lakini hajitunzi ili apone. Inawezekana ni kutokujua.

Ukiwa na fungus wa sehemu za siri inashauriwa unapotoka kuoga ujikaushe vizuri. Ikiwezekana ujifute kwa kubofya au kwa kuyakausha maji kwa kuyanyonya na taulo.

Inashauriwa pia ubadili nguo za ndani mara kwa mara kwa maana ya kutupa Na kuvaa mpya au kama mkuu alivyosema hakikisha unazinyoosha nguo zako za ndani vizuri kabla ya kuzivaa. Nguo za ndani aina ya cotton zinashauriwa zaidi.

Mara nyingi kunywa mtindi au maziwa mgando. Haya husaidia katika uponyaji.
 
kuna tatizo sugu la fangas linamsumbua mke wangu kwamuda mref na ameshatumia dawa tofaut tofaut
Hii ni tiba aliyoitoa mdau mmoja wa JF miaka kadhaa iliyopita.... na nnaiwakilisha kama ifwatavyo!!


Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)

Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:- Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.

Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze. Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika) Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha! Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.Ni hayo tu.

Credit to BAOSITA wa JF
 

ha ha asante mkuu...unajua watu hawapendi kuwapa watu ukweli ulio wazi...watu wanaharibu pesa kilabkukicha ..lakini hawapon..kwa case study zilizofanyikainasemekani na sio kwamba inasemakana ni mwamba kila wanaume 10 unaowaona wanazungukazunguka bas jua wanaume 6 pale wana chronic fungal infection na haziponi...
unajua ni mini...pharmacy industry wanzalisha dawa kulingana na pesa uliyonayo wwe..ni sasa saw na kusema mchina antengeneza bidhaa feki. ..sio kweli hata kidgo kinachofanyika pale ni mwamba bidha za ubora wrote zinatengenezwa na ukitaka simu ya laki 9 mchina anakutengenezea ukitaka ya 20 mpka elfu 5 IPO but kama ukijua simu ya laki 9 na ya elfu 20 nivtofaut hata displaying system Zke ni tofaut..ya laki 9 utakuwa inatumia android Naughaty 7 au lollipop 6 lakini ya laki moja na 50 utakuwa INA android displaying system 4.0 mabyo ni sandwich ai ice cream na jins zinvodisplay ni tofaut lazima ya naughat 7.0 itakwa vizur

kwa hiyo hata dawa ni hivo hata ARV zipo katika grade tofaut so zipo za kunywa kila siku nz zipo za kumeza Mara moja kwa mwaka au moja wa mwezi au Mara moja kwa miaka 5 but ni xo expensive...so kadri unavotumia kitu kila siku kwa mfano dawa ujue effects take ni kubwa na hata fungal nap wana dawa zake kulingana na stage walipi..unakuta MTU ameanza kutumia mafuta ya break kujipaka lakini hakuna akahamia kwenye dawa ya MBA ile ya blue hakuna akarudi kwenye cream tube hakuna tu akarud kwenye vidonge hakuna tu ...yan pale fangus anadevelop drug resistant na hatakuja kuisha kwa dawa za buku buku...kumbuka hizo kuna dawa za 2000 kidonge kimoja utalinganisha na za hero hero box zima...

miez kadha imepita nilikutana na kijana mmoja ambaye kahangaika sana kutafuta dawa za nguvu za kiume anadai hana uwezo wa kuzalisha na ni kweli kapimwa speem count hospital akakutwa na low aperm count na hilo ndo tatizo jingine LA upungufu wa nguvu za kiume...

kwanin chronic fungal infection wa sehem za siri wanasababisha upungufu wa nguvu za kiume..??

the reason ni kwamba ..unajua sperm za mwanaume zinatengenezwa katka joto chin LA joto LA mwili I mean zinatengenezwa chini ya joto LA 37°c yan jotolinalohitajika kwenye via vya uzazi ni around 35°c yan pale sperm ndo zitatoka imara ndo mana mungu wa ajavu katuumbw huku korodani zetu zikiwa nje ya mfumo wa skin contact kuepusha effect ya joto LA mwili LA 37°c ktaka sperm production.

bas unapopata fungal infection sehem za siri kwa muda mrefu na kwa kuwa kunatokea muwash wa hatari kule chino...bas joto linapanda kwenye korodani na sehem za siri kwa ujumla na kumbuka MTU kwenye chronic fungal infection sehem za siri joto LA Kyle huwa linapanda mpka kufikia 40°c kitu ambacho kinafanya abnormal sperm production na kufanya mbegu zinazozinazotengenezwa kuwa hazina sofa na zingine kukosa mikia (sperm tail) za kuzifana ziogelee mpka kwenye fallopian duct sehem ambapo ndo area of fertilization ..badae kuzifanya sperm kushindwa kufika eneo husika na kwa wakati...so pale ndo unakuta MTU analalamika mbona natoa sperm tena kibaba lakini make wangu hazai...kumbuka Yale ni maji maji sperm zimo ndani and you can't observe them by your naked eye...

so tukikupima tunachunguza kwenye sperm na kugundua zime zingine ni abnormal hazina mikia...ndo mana huna uwezo wa kuzasa...

bas bad a ya kumchunguza yule kijana na kmhoji maswali ya kisaikolojia nikagundua na alinieleza ukweli kuwa ana fangus sehem za siri kwa muda wa miaka 6 na hazijawah kupona..na aliniambia watu wamepiga hela kwake kinyama na kila dawa kutumia lakini wapi...

bas nikamwobea huruma sana nikawa nimemwwlekeza cha kufanya na bad a ya miez 3 akarudi na feedback kuwa tayar make wake alikuwa kashabeba kitu ...hakuamini...but in short nilimpa maelekezo ya jina ya kuzikomeskuzikomesha zile jamaa na badae nikampe ushaur wa nutrition ili kuboost sperm quality na production kwa kutumia vyakula vya kawaida na badae mungu si athumuni he is good kabisa...

so my dear bro's na cctaz tatizo LA fungas ni hatari ukilizembea ndo linaloua kizazi kwa haraka zaidi...

be a were how to accomplish the task...
 
Asante kwa elimu ya bureeeeeeeee
 
kuna tatizo sugu la fangas linamsumbua mke wangu kwamuda mref na ameshatumia dawa tofaut tofaut
Mkuu fangus za wapi!!kama ni miguuni kuna vijimafuta vinauzwa huko mitaani vimeandikwa vestline!huwezi amini mimi hiyo fangus vimeniponesha wakati nilisumbuka 2years na nilichoma sindano na vidonge juu lakini bilabila !hayo mafuta kama utani vile yakaniponesha!!
 
Asante mtaalamu...haya makampuni ya madawa ni hatari sana....yaan ni kama vile faida kwanza kisha ndo uhai. Anyway...naomba dawa ya kukomesha uti sugu.

Cc : brivigy and upepo wa pesa!
 
Asante mtaalamu...haya makampuni ya madawa ni hatari sana....yaan ni kama vile faida kwanza kisha ndo uhai. Anyway...naomba dawa ya kukomesha uti sugu.

Cc : brivigy and upepo wa pesa!
Mmm mkuu hapo kwenye u.t.i sugu sina la kukushauri asee labda tafuta wataalam kama madoctor ila nasikia kuna dawa kutoka india hua zinamaliza!hizi za kibongo zimatuliza tuu!!kama uko mko wa dsm nenda farbek ple majese hua kuna madoctory wanaweza kukupa mwongozo zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…