pole mkuu..hio shida yako inabid umuone daktari bingwa wa magonjwa ya pua,sikio na koo (ENT Surgeon). unaweza kuwa na Vestibular Disease ila kwa kuanzia tumia Meclizine 50mg mara 2 kwa cku (tafuta dawa inaitwa vomidoxine ina hio meclizine). ila fanya mchakato uwaone hao mdaktari hapo juu
Kwanza natanguliza shukrani kwa JF wote na hasa madokta wa JF kwa moyo wao wa kujituma.
Mimi nina tatizo la sikio langu la kulia kutoa usaha, na hili tatizo limeshakuwa la muda mrefu,nimeshajaribu kutumia dawa za kienyeji mpaka za hospitalini lakini ninachoambulia ni kustop kwa mda and then tatizo unirudia tena.
Naombeni msaada tafadhali.
Asante kwa kunipa feedback Ubarikiwe theokahi ni dawa kabisa msifanyie mzaha nimeisha dhibitisha
Mkuu LIKUD Mafuta ya kenge ni Dawa ya maradhiya Masikio hata Juisi ya kitunguu Maji pia ni dawa ya maradhi ya masikio na hata mafuta ya kuku pia ni Dawa ya maradhi ya masikio.NiKweli hujakosea Mkuu LIKUD.Asante sana kwa kutoa elimu ya bure kabisa kwa watanzania. Mungu azidi kukupa pumzi ili watanzania waendeleee kunufaika. Nimewahi kusikia mtabibu mmoja akisema, mafuta ya kenge, ni dawa nzuri sana ya sikio linalo toa usaha. Kuna ukweli wowote katika hilo ?
Mkuu je kama ngoma zinavitobo naruhusiwa kutumia vitunguu saumu?Jaribu Dawa yangu kisha unipe feedback chukua punje tatu za kitunguu thaumu uziponde kisha utie maji kijiko kimoja achanganye vizuri.Halafu uchukue mchanganyiko huo vitone vitatu utie kwenye sikio linalouma mara mbili kwa siku muda wa wiki. Inshaallah sikio litapona.
we mzizimkavu maumivu vpJaribu Dawa yangu kisha unipe feedback chukua punje tatu za kitunguu thaumu uziponde kisha utie maji kijiko kimoja achanganye vizuri.Halafu uchukue mchanganyiko huo vitone vitatu utie kwenye sikio linalouma mara mbili kwa siku muda wa wiki. Inshaallah sikio litapona.
Pole mkuuHabari Wana JF!
sikio langu upande wa kushoto linaunguruma kwa mwaka wa saba sasa, haliumi wala kutoa usaha.
tafadhali mwenye kujua dawa ya ili tatizo anishauri kwasababu nimejaribu sana kutatua ili tatizo bila mafanikio.
Asanteni.
Kaka upo?Mkuu je kama ngoma zinavitobo naruhusiwa kutumia vitunguu saumu?
nipo kaka yule jamaa ulienipa namba yake tunaendelea kuwasiliana na kuna mikakati anaiweka sawaKaka upo?
Bado tatizo tu
Pole sana
Kamulia bangi mbichi ni siku tatu tu sikio liko poa..ila side effect ni kupoteza usikivu kwa muda kidogo then unakaa sawaNaomba kujua dawa ya sikio linatoa uchafu mzito.
Asante.
Nimefurahi kaka but naona ile special thread hakuna mwamko...wapo viziwi wengi humu JF lakini wanajificha tunipo kaka yule jamaa ulienipa namba yake tunaendelea kuwasiliana na kuna mikakati anaiweka sawa
nikweli mkuuNimefurahi kaka but naona ile special thread hakuna mwamko...wapo viziwi wengi humu JF lakini wanajificha tu
Kumbuka Umoja ni nguvu
Zipo tiba mbalimbali za sikio linapokuwa na maumivu, lakini kwa leo nitakufahamisha hii ya kutumia kitunguu maji ambacho ni rahisi hata kukipata katika mazingira yetu ya kila siku.we mzizimkavu maumivu vp
Unaweza kutumia Kitunguu saumu.Mkuu je kama ngoma zinavitobo naruhusiwa kutumia vitunguu saumu?