Kumuona dk 15000 na tiba itategemea ukubwa wa tatizo ila uwe na karibu 500,000 mana nilitozwa laki tatu cku moja tu na elf 40 kila nilipotakiwa kuripoti mara 7
Duh! hii ni rip-off ya hali ya juu, nlitegemea medical services bongo ziwe cheap kuliko nje ila naona ni kinyume. au tatizo lako lilikua kubwa sio masikio?
Kumuona dk 15000 na tiba itategemea ukubwa wa tatizo ila uwe na karibu 500,000 mana nilitozwa laki tatu cku moja tu na elf 40 kila nilipotakiwa kuripoti mara 7
Unfortunately huyo daktari wa magomeni amefariki hivi karibuni.
Hata hivyo nenda ukacheck, wanaweza kufahamu jinsi ya kukusaidia.
Magomeni ni kati ya Kagera na Mapipa upande wa kushoto kama unaelekea Kariakoo.
Kwa sasa kuna ndugu yako nahisi ni mtoto au mdogo wake anaitwa dr.STANLEY ndio kashikilia jahazi
Nasumbuliwa na sikio la kushoto huwa linatoa kitu kama kamasi haliumi. Ila nikiziba pua na mdomo nikipuliza kwa nguvu hewa hutokea kwenye hilo sikio. Nimetumia dawa mbalimbali sijafanikiwa kupona. Nahitaji msaada wenu wakuu. Cc Mzizi mkavu.
Tafuta bangi mbichi itwange mpaka itoe maji kisha hifadhi yale maji sehem salama weka tone moja asubuhi na jioni utaona matokeo ndani ya wiki moja nilifanya hivyo kwa mtoto wangu alipona na hajawai kusumbuliwa tena na ugonjwa wa sikio
ni muda mrefu ametumia dawa nyingi jaman bila mafanikio.
Hatuishi Dar wengne huita mkoani ndipo tunapoishi tutapataje mawasiliano ya huyo tatibu mkuu plz tujuzane coz mtoto hasikii vizur hadi uongee kwa sauti kubwa jaman ni huruma sana.