Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Ekenywa hospital specialized medical center, Magomeni, Dar es salaam

P.o.Box 65402 Cell: +255 754 263 233, 784 256 216, +255 715 256 216

E-mail: info@ekenywa.com
 
Kumuona dk 15000 na tiba itategemea ukubwa wa tatizo ila uwe na karibu 500,000 mana nilitozwa laki tatu siku moja tu na elf 40 kila nilipotakiwa kuripoti mara 7
 
Bongo kazi kweli, wana rip-off raia si mchezo. Sijui kuhusu daktari wa vitu kama masikio bongo ila mimi masikio yangu kuna muda yalinisumbua ka miezi mitatu sisikii vzr siku moja nikaamka ndo kabisaa sisikii kitu, nlikua asia madaktari wanaotibu walikua wamejaa, karibia kila street tatu yupo moja private tu unaingia nililipa hela ka 20K In Tsh, ana mashine anaweka masikioni inavuta uchafu wote sikio ukitoka unasikia vizuri unajihisi mashine. dakika tano tu ilichukua
 
Kumuona dk 15000 na tiba itategemea ukubwa wa tatizo ila uwe na karibu 500,000 mana nilitozwa laki tatu cku moja tu na elf 40 kila nilipotakiwa kuripoti mara 7

Duh! hii ni rip-off ya hali ya juu, nlitegemea medical services bongo ziwe cheap kuliko nje ila naona ni kinyume. au tatizo lako lilikua kubwa sio masikio?
 
deepsea
Ni Kweli ni hospital ya the late Dr Ole lengine the former chief of ENT Department MNH who died one month ago this year, but the services are available and they have junior ENT Dr'S providing the same services, Its not very expensive 50,000 TZS will be enough for normal services.Pole sana
 
Duh! hii ni rip-off ya hali ya juu, nlitegemea medical services bongo ziwe cheap kuliko nje ila naona ni kinyume. au tatizo lako lilikua kubwa sio masikio?

Ukweli nilifikiri ningeweza kufa kama nisingejipanga, ni gharama kinoma ila nilpona vizuri
 
Kumuona dk 15000 na tiba itategemea ukubwa wa tatizo ila uwe na karibu 500,000 mana nilitozwa laki tatu cku moja tu na elf 40 kila nilipotakiwa kuripoti mara 7

Ni kweli matibabu ya masikio ni gharama sana. Mimi nilipimwa tu uwezo wa masikio kupokea mawimbi ya (frequencies) walinikamua 45000Tsh. So mkuu ajiaande vya kutosha
 
Unfortunately huyo daktari wa magomeni amefariki hivi karibuni.

Hata hivyo nenda ukacheck, wanaweza kufahamu jinsi ya kukusaidia.

Magomeni ni kati ya Kagera na Mapipa upande wa kushoto kama unaelekea Kariakoo.

Ni kweli dr, Olle ni marehemu na arobaini yake ilikuwa majuzi kule Arusha, nenda wapo wengine wa kukusaidia pale Mwembe Chai karibu na kwa Marehemu Sheikh Yahaya Hussein.
 
Ipo Magomeni Mwembe Chai mkono wa kushoto kama unatoka mjini unafata kile kinjia cha lami kinachokata mkono wa kushoto ambapo pembeni yake kuna sheli hospital inaitwa ekenywa. Kufungua file na kumuona daktar kwa mara ya kwanza ni sh 25 hapo bado tiba kusafisha sikio ni sh 20 kwa sikio 1..
 
Kwa sasa kuna ndugu yako nahisi ni mtoto au mdogo wake anaitwa dr.STANLEY ndio kashikilia jahazi.
 
Dahh doctor Ole amekufa? Yule baba ilikuwa ukienda kwake unaumwa hata kuongea ni ishu ni siku mbili tu ushapona ila gharama ndio shughuli pevu.
Duhh Madoctor wengine hata sina imani nao pale. Aliyejenga jina pale ni Ole pekee
 
Ekenywa naona zipo mbili kuna jengo jipya la ghorofa kama 6 hivi pale kwa sheikh yahya na nyingine mbele kidogo sasa sijui mnazungumzia ipi?
 
Nasumbuliwa na sikio la kushoto huwa linatoa kitu kama kamasi haliumi. Ila nikiziba pua na mdomo nikipuliza kwa nguvu hewa hutokea kwenye hilo sikio. Nimetumia dawa mbalimbali sijafanikiwa kupona. Nahitaji msaada wenu wakuu. Cc Mzizi mkavu.
 
Last edited by a moderator:
Nasumbuliwa na sikio la kushoto huwa linatoa kitu kama kamasi haliumi. Ila nikiziba pua na mdomo nikipuliza kwa nguvu hewa hutokea kwenye hilo sikio. Nimetumia dawa mbalimbali sijafanikiwa kupona. Nahitaji msaada wenu wakuu. Cc Mzizi mkavu.

sikio.jpg


MATATIZO YA MASIKIO:

Bila shaka viungo au mishipa ya masikio, pua na koo yameungana na yana uhusiano wa karibu. Kwa hivyo kiungo kimoja kikiathirika yawezekana viungo vingine kuathirika, ikiwa vishambulizi vya bacteria vitasambaa hadi sehemu nyingine. Sikio ni kiungo maalum katika viungo vya hisia ambayo kazi yake ni kusikia.

MAUMIVU YA MASIKIO NA SABABU ZAKE:
Maumivu yoyote ya meno, ufizi na koo yanaweza kusababisha maumivu ya sikio kwa sababu ya mahusiano ya karibu. Pia kukohoa sana kwa muda mrefu kunaweza kusababisha maumivu ya masikio. Sikio linaweza kuuma ikiwa mara kwa mara utaweza kutia vijiti sikioni kwa ajili ya kusafisha.
Wakati mwingine sikio linaweza kushambuliwa na bacteria na kusababisha maumivu.

KUTOKWA NA USAHA SIKIONI:
Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa kiberiti au mfano wake sikioni, unaweza kusababisha jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka. Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu ya jeraha na kutoka kidogokidogo. Lakini pia mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza kusababisha kutokwa na usaha.

TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO NA KUTOKWA NA USAHA:

Kanuni ya kwanza:
Chukua maji masafi ujazo wa kijiko kimoja cha chai halafu uchukue chumvi kidogo kiasi cha vidole viwili uchanganye ndani ya maji hayo kisha hayo maji uchanganye na asali kijiko kimoja kidogo cha chai. Weka tone moja ya dawa hii ndani ya sikio lenye kuuma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu.

Kanuni ya pili:
Dondoshea tone moja ya mafuta ya kitunguu saumu ndani ya sikio ambalo linauma au kutokwa na usaha kutwa mara tatu..

Kanuni ya tatu:
Chukua mafuta ya habat soda na ufanye kama kanuni ya pili.

Kanuni ya nne: Ikiwa maradhi ya sikio ni kwa ajili ya bacteria, kunywa antibayotiki asilia kama vile juisi ya Aloe vera, kitunguu saumu, n.k. E. Tumia dawa kisha uje unipe feedback.

Tafadhali tumia dawa moja kwamuda wa siku 3 usipopona tumia dawa ingine neno Kanuni maana yake Tiba uguwa pole ndugu.@
omben
 
Tafuta bangi mbichi itwange mpaka itoe maji kisha hifadhi yale maji sehem salama weka tone moja asubuhi na jioni utaona matokeo ndani ya wiki moja nilifanya hivyo kwa mtoto wangu alipona na hajawai kusumbuliwa tena na ugonjwa wa sikio
 
Tafuta bangi mbichi itwange mpaka itoe maji kisha hifadhi yale maji sehem salama weka tone moja asubuhi na jioni utaona matokeo ndani ya wiki moja nilifanya hivyo kwa mtoto wangu alipona na hajawai kusumbuliwa tena na ugonjwa wa sikio

Asante kwa hiyo dawa! Nishawahi kuwasikia watu kadhaa wakiisifia bangi kwa kutibu sikio mimi nataka kuitest pia..Tatizo naanzaje kuwaulizia masela wanipe bangi na mimi najulikana kwa ulokole wangu hapa mtaani.
 
ni muda mrefu ametumia dawa nyingi jaman bila mafanikio.
Hatuishi Dar wengne huita mkoani ndipo tunapoishi tutapataje mawasiliano ya huyo tatibu mkuu plz tujuzane coz mtoto hasikii vizur hadi uongee kwa sauti kubwa jaman ni huruma sana.

hi dada Manka. nina dada angu mwenye umri miaka 25, ana tatizo la kutosikia vizuri, yani sikio moja limeziba hasikii kabisa. haliumi wala halitoi uchafu. tatizo hili lilimkuta tangu akiwa form 3 mpaka leo. vipi huyo mdogo wako alipona? if yes, ni dawa gani ilisaidia? ahsante
 
Back
Top Bottom