Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Salam ndugu. Hilo tatizo la miguu kuwaka moto mara nyingi inakuwa ni gesi tumboni. Acidity ikizidi kwenye tumbo husababisha matatizo mengi hata hayo mengine.
una umri gani?
urefu cm 165 na uzito kg. 60 mkuu. Mda mwingi huwa natembea tembea maana shughuli zangu ni za kutembeatembea
Uko salama, sasa cha kufanya, kwanza acha kabisa vinywaji vyenye kaffeina i.e chai, kahawa, soda zote na juisi zote za viwandani, punguza au acha kabisa vyakula au vinywaji vyenye asidi nyingi na mwisho fanya zoezi hili kila siku; lala chali mgongo chini halafu unainua mguu mmoja juu kisha unaushusha na kuuinua mwingine juu tena hivyo hivyo ukipishanisha huu juu huu chini, fanya taratibu siku ya kwanza dakika 5 siku ya pili dakika 10 hivyo hivyo unaenda ukiongeza, usifanye kwa fujo siku ya kwanza tu, fanya kwa wiki 2 mfululizo. Zoezi hilo litafanya damu iliyokuwa imegandamana chini ya miguu kurudi juu mwilini na hivyo asidi kutoka ndani ya mwili na taratibu miguu kuwaka moto itaacha.
Pia kumbuka kunywa maji ya kutosha mpaka lita 3.7 kwa siku na utafune mara kwa mara chumvi ya mawe ya baharini ambayo haijasafishwa/haijapita kiwandani.
Nilikuwa na tatizo la kuwaka miguu kunakoambatana na maumivu ya tumbo.
Nimeenda kupima na kutibiwa hospital kama bugando na sekou toure lakini tatizo halikwisha.
Mwisho kuna mzee akanishauri niachane na madawa ya hospital, vinywaji vyenye cafaine, vyakula vichungu na kuacha kunywa pombe badala yake ninywe maji ya kutosha hasa asubuhi ninapotoka kuamka tena yawe ya uvuguvugu, nifanye mazoezi kila siku asubuhi na jioni, ninywe maziwa ya kutosha, kunywa natural juice ya matunda.
Now I am free, nimeponaa.!!
Sitishi ninakuambia ukweli Amini au usiamini hiyo sio kazi yangu kazi yako.( Only Do What Your Heart Tells You)Duh, ndugu hapo kwenye kuja kupata kiharusi unanitisha..............
ahsante sana, at least I have learned something too
Pole ndugu TafutaHuu mguu umeanza kuniuma Karibia miezi 3 sasa na unauma sna maeneo ya nyonga nimejaribu kutumia dawa za kumeza na kujichua lkn hali bado tete kinachontisha zaid umeanza kufa ganzi kwa yoyote anayejua tiba msaada pliiiz
Ni mguu wa upande gan?
Sorce ya kuuma n nn?
Pole ndugu Tafuta
Mafuta ya nyonyo.na Mafuta ya habat Sawda.yawe na ujazo wa sawasawa kisha yapashe moto
asante sana@mzizimkavu ntatumia hyo
kidogo tu.na yakipoa jaza chupani.na anza kuyatumia.pakaa katika sehemu zilizoadhirika paka
tu kwenye ganzi.sehemu zilizovimba zichue. Hii ni kiboko ya ganzi.Hata kama ni ganzi sugu
itapona kabisa.
Dawa ya Pili Dawa ya miguu na mikono kufa ganzi ni faida ya kitunguu maji chekundu .Kitunguu maji chekundu
kinaweza kutibu Magonjwa yafuatayo;kisukari,Bp,viungo kufa ganzi,wakina mama
wanaotaabika na matatizo ya hedhi.
Matumizi yake ni unatakiwa uchukue kitunguu Maji 1
halafu ukatekate kiasi cha kikombe 1 cha chai na uvitafune vipande vyote kila asubuhİ
tena inafaa ukiongezea nyanya,pilipili na ndimu ikawa kachumbari kwa muda wa wiki
1 inshaallah utaona mabadiliko katka mwili wako.
DAWA YA TATU ya Miguu na mikono kufa ganzi Tafuta Vidonge vya Vitamin B12 uwe
unakula kila siku kidonge kimoja baada ya kwisha kula chakula.
Tumia dawa zangu ukipona njoo unipe Feedback chanzo.Mzizimkavu hauchimbwi Dawa.
cjajua ni nn ila nahisi kutembea sana kwani shughuli zinahusiana na kutembea sana