Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Salam ndugu. Hilo tatizo la miguu kuwaka moto mara nyingi inakuwa ni gesi tumboni. Acidity ikizidi kwenye tumbo husababisha matatizo mengi hata hayo mengine.

nakushukuru sana, hilo ni tatizo ambalo ninalo pia
 
urefu cm 165 na uzito kg. 60 mkuu. Mda mwingi huwa natembea tembea maana shughuli zangu ni za kutembeatembea

Uko salama, sasa cha kufanya, kwanza acha kabisa vinywaji vyenye kaffeina i.e chai, kahawa, soda zote na juisi zote za viwandani, punguza au acha kabisa vyakula au vinywaji vyenye asidi nyingi na mwisho fanya zoezi hili kila siku; lala chali mgongo chini halafu unainua mguu mmoja juu kisha unaushusha na kuuinua mwingine juu tena hivyo hivyo ukipishanisha huu juu huu chini, fanya taratibu siku ya kwanza dakika 5 siku ya pili dakika 10 hivyo hivyo unaenda ukiongeza, usifanye kwa fujo siku ya kwanza tu, fanya kwa wiki 2 mfululizo. Zoezi hilo litafanya damu iliyokuwa imegandamana chini ya miguu kurudi juu mwilini na hivyo asidi kutoka ndani ya mwili na taratibu miguu kuwaka moto itaacha.

Pia kumbuka kunywa maji ya kutosha mpaka lita 3.7 kwa siku na utafune mara kwa mara chumvi ya mawe ya baharini ambayo haijasafishwa/haijapita kiwandani.
 
Nilikuwa na tatizo la kuwaka miguu kunakoambatana na maumivu ya tumbo.
Nimeenda kupima na kutibiwa hospital kama bugando na sekou toure lakini tatizo halikwisha.
Mwisho kuna mzee akanishauri niachane na madawa ya hospital, vinywaji vyenye cafaine, vyakula vichungu na kuacha kunywa pombe badala yake ninywe maji ya kutosha hasa asubuhi ninapotoka kuamka tena yawe ya uvuguvugu, nifanye mazoezi kila siku asubuhi na jioni, ninywe maziwa ya kutosha, kunywa natural juice ya matunda.
Now I am free, nimeponaa.!!
 
mkuu ahsante sana ntafanyia kaz ushauri wako haraka iwezekanavyo. Ubarikiwe mkuu
 
Nilikuwa na tatizo la kuwaka miguu kunakoambatana na maumivu ya tumbo.
Nimeenda kupima na kutibiwa hospital kama bugando na sekou toure lakini tatizo halikwisha.
Mwisho kuna mzee akanishauri niachane na madawa ya hospital, vinywaji vyenye cafaine, vyakula vichungu na kuacha kunywa pombe badala yake ninywe maji ya kutosha hasa asubuhi ninapotoka kuamka tena yawe ya uvuguvugu, nifanye mazoezi kila siku asubuhi na jioni, ninywe maziwa ya kutosha, kunywa natural juice ya matunda.
Now I am free, nimeponaa.!!

ahsante sana, at least I have learned something too
 
Huu mguu umeanza kuniuma Karibia miezi 3 sasa na unauma sna maeneo ya nyonga nimejaribu kutumia dawa za kumeza na kujichua lkn hali bado tete kinachontisha zaid umeanza kufa ganzi kwa yoyote anayejua tiba msaada pliiiz
 
Pole ndugu Tafuta

Mafuta ya nyonyo.na Mafuta ya habat Sawda.yawe na ujazo wa sawasawa kisha yapashe moto

kidogo tu.na yakipoa jaza chupani.na anza kuyatumia.pakaa katika sehemu zilizoadhirika paka

tu kwenye ganzi.sehemu zilizovimba zichue. Hii ni kiboko ya ganzi.Hata kama ni ganzi sugu

itapona kabisa.

Dawa ya Pili
Dawa ya miguu na mikono kufa ganzi ni faida ya kitunguu maji chekundu .Kitunguu maji chekundu

kinaweza kutibu Magonjwa yafuatayo;kisukari,Bp,viungo kufa ganzi,wakina mama

wanaotaabika na matatizo ya hedhi.

Matumizi yake ni unatakiwa uchukue kitunguu Maji 1

halafu ukatekate kiasi cha kikombe 1 cha chai na uvitafune vipande vyote kila asubuhİ

tena inafaa ukiongezea nyanya,pilipili na ndimu ikawa kachumbari kwa muda wa wiki

1 inshaallah utaona mabadiliko katka mwili wako.

DAWA YA TATU ya Miguu na mikono kufa ganzi Tafuta Vidonge vya Vitamin B12 uwe

unakula kila siku kidonge kimoja baada ya kwisha kula chakula.

Tumia dawa zangu ukipona njoo unipe Feedback chanzo.Mzizimkavu hauchimbwi Dawa.
 
Attachments

  • Nigella_sativa_oil.jpg
    Nigella_sativa_oil.jpg
    98.9 KB · Views: 102
  • laxmi_castor_oil_front.jpg
    laxmi_castor_oil_front.jpg
    55.5 KB · Views: 102
  • Vitamin B12.jpg
    Vitamin B12.jpg
    24.4 KB · Views: 102
Nenda hospitali haraka una tatizo kwenye uti wa mgongo. Imeshanipata hiyo na dalilili zake ni hizi hizo. Mazoezi ya kutembea (sio jogging wala kukikimbia) ndio dawa ya kuanzia!
 
Pole ndugu Tafuta

Mafuta ya nyonyo.na Mafuta ya habat Sawda.yawe na ujazo wa sawasawa kisha yapashe moto
asante sana@mzizimkavu ntatumia hyo
kidogo tu.na yakipoa jaza chupani.na anza kuyatumia.pakaa katika sehemu zilizoadhirika paka

tu kwenye ganzi.sehemu zilizovimba zichue. Hii ni kiboko ya ganzi.Hata kama ni ganzi sugu

itapona kabisa.

Dawa ya Pili
Dawa ya miguu na mikono kufa ganzi ni faida ya kitunguu maji chekundu .Kitunguu maji chekundu

kinaweza kutibu Magonjwa yafuatayo;kisukari,Bp,viungo kufa ganzi,wakina mama

wanaotaabika na matatizo ya hedhi.

Matumizi yake ni unatakiwa uchukue kitunguu Maji 1

halafu ukatekate kiasi cha kikombe 1 cha chai na uvitafune vipande vyote kila asubuhİ

tena inafaa ukiongezea nyanya,pilipili na ndimu ikawa kachumbari kwa muda wa wiki

1 inshaallah utaona mabadiliko katka mwili wako.

DAWA YA TATU ya Miguu na mikono kufa ganzi Tafuta Vidonge vya Vitamin B12 uwe

unakula kila siku kidonge kimoja baada ya kwisha kula chakula.

Tumia dawa zangu ukipona njoo unipe Feedback chanzo.Mzizimkavu hauchimbwi Dawa.

asante sana mzizimkavu
 
Ndugu zangu habari za jioni? Naombeni dawa ya kutibu miguu yangu inapelekea hadi kiuno kuuma na mwili kuchoka, takribani miaka kumi sasa, nimeenda kila hospital bila mafanikio. Mzizi Mkavu na wenye uzoefu nisaidieni.
 
pole sana ndugu..,tatizo hilo.. ngoja wenyewe waje kwa ufafanuzi, maana hata mama yangu anasumbuliwa sana na miguu kuwaka moto.
 
Back
Top Bottom