ingbeatz
Member
- Mar 27, 2013
- 33
- 3
Ganzi ipo mda wote or inakuja na kuondoka?na wakati gan hali inazidi na wakat gan inapungua?
yah ipo mda wote mkuu,mwanzo ucku ndo nlkua napata shida sana bt saiv mda wote ni ganzi 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ganzi ipo mda wote or inakuja na kuondoka?na wakati gan hali inazidi na wakat gan inapungua?
kiwe ndo kiburudisho chako muda wote
yaani unakunywa
kama ukiwa umetulia home unaweza kupaka pia
si unajua asali inanatanata sana so lazima ukipaka lazima utulie then baada ya muda fulani unaiosha na unaendelea na mambo yako mengine,
pole sana mwaya.
Pima blood sugar,CBC ,pia neurosuport ni nzuri,au call me 0715248940
Pole sananasumbuliwa na tatizo la nyayo kuwaka mota karibu mwaka mmoja na nusu sasa hasa ninapokua nimekaa ila nikiwa natembea sisikii na kuna wakati huwa hali hiyo hupotea na muda mwingine hujirudia na pia nina taizo la vidonda vya tumbo kwa miaka minne sasa nasikia matangazo mengi ya tiba mbadala ila naogopa kuliwa pesa kama nilivyopoteza kwa tatizo la vidonda vya tumbo mwenye kujua wataalam walipo anisaidie
Asali plus mdalasini plus mlonge utakuwa sawa kabisa. namna ya kuvipata au kutumia ni pm MziziMkavu ninajaribu viatu vyako.