Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Mkuu yaani mimi najikuta naongea mwenyewe kama najibishana na mtu nishachunguza kwetu tupo hivyo hasa kwa upande wa mama ila naona ni genetic
Nikija moshi ntakutafuta mkuu maana ulishawahi kusema huku jf unakaa KCMC
Nenda kwa wataalamu mku kwanza una umri gani, neurotransmitters zikianza kupungua unakuwa matatizo.
Sio kila mara niko hapo sasa niko Kibiti
W
aone wataalamu watakufanyia unchunguzi lakini inaonekana ni genetic issue pia imechangia
Ukienda hospitali wataalamu wanajua jinsi ya kulisolve utapewa vidonge lakini Nikita arudi tu matibabu yake ni ya muda mrefu na wala isifike Mshana ukajiona imepona ua he kutumia dawa hapana.Hii ni pure genetic haswa sasa najitutumuaje nayo maana sasa ntauwa kichaa aisehh
Ni sawa mkuu, sisi vijana kuzunguka ni kawaida. Ntakuwa Mbagala alhamis mchana nikuone two hours.Hahahaha sawa mkuu ila ukiwa huku usije ukajisahau kusema ulipo maana ulisemaga mwaka jana kwenye uzi mmoja ambao mmoja alianzisha kuhusu watu wa kilimanjaro na wewe ukasema vile.
Anyway naomba msaada wako maana hapa kwetu workmate wangu wanasema kila kitu hawana ile confidentiality
Nisaidie mawazo nafanyaje
hahaha[emoji23] [emoji23]Uwe unaweka blue tooth au head phones watu watajua unaongea na simu
Mkuu kibiti..? Mi Niko mtwara ntakupatajeSio kila mara niko hapo sasa niko Kibiti
Asante Lets thank God for all
Napita tu hahaha