BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mpendwa taarifa zinasema "ushapotea...."Teh teh...Mpendwa husiwasikilize hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa taarifa zinasema "ushapotea...."Teh teh...Mpendwa husiwasikilize hao
Halafu uliniambia utanialika kwenye mkesha wa maombi ya usiku eeh!
waumini wa sangomasWenzake kina nani sasaa..
kwahiyo una maanisha mtoa mada keshapona au?Waswahili wanasema kichaa akigundua kuwa yeye kichaa ujue huyo kapona!
Ni kesho mpendwa mida ya jioni hivii naomba uwahi tafadhali
Sintachelewa, waumini tutakuwa sisi wawili peke yetu?
Just me and you naomba ule ushibe usijezimia katikati ya upako mpendwa
Nitafanya hivyo, maana mapepo ya kugalagazana yanaweza kuibuka ikaleta njaa.
Nakuja kuwasha moto mamito..We jiandae tuNdio babangu kwahiyo inakuaje uje tuzungumze
Teh teh..Bado sana mpendwa..We unanijua banaMpendwa taarifa zinasema "ushapotea...."
Itakuwa vyema sana...
Hana tatizo huyo mtu mwenye tatizo kama lake ukimwambia anakushangaa anakwambia mbona yuko normal!kwahiyo una maanisha mtoa mada keshapona au?
Nakuja kuwasha moto mamito..We jiandae tu
Mtoa mada hujatuambia huyo rafikio wa kike huwa anakufanyeje mpaka ukiwaza unajikuta ukimfukuza?
tupe story nzima tukushauri vzr. Haiwezekan kama mko vzr ujikute tu unamfukuza badala yake utajikuta ukisema njoo karibu la aziz.
funguka kijana usaidiwe