PostGE2025 Tatizo la Tanzania: Samia hataheshimiwa baada ya kuiba kura kijinga!

PostGE2025 Tatizo la Tanzania: Samia hataheshimiwa baada ya kuiba kura kijinga!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu tuko kwenye janga
 
The fazafaka squandered a rare opportunity to go down in history as a great transformer of a nation!
 
Yaani hao washauri walishindwa kusoma hata mazingira waseme walao kura milioni sita mpaka nane?

Hata kungwekuwa na utulivu kiasi gani hao million 31 wasinge jitokeza hata kungekuwa na malipo.
Walikosea sana aisee!

Kweli akili ni nywele.
 
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu tuko kwenye janga
Watanganyika na International communities zote hazitambui uchaguzi wa 29 October uliompitisha Samia kama Rais kwa asilimia fake 98. Najiuliza huyu mtu anapata wapi uhalali( legitimacy ) wa kuendelea kujitia Rais wa JMT. Kuna namna Fulani Ikulu imeanza kutumia nguvu za Giza kunormalize utawala huu wa kishetani.
 
Huyu mpuuzi kosa kubwa kuliko yote alilofanya ni kuua maelfu ya watu na kisha kwenda kuwazika kinyama wengine wakiwa bado hai.....hili ni kosa lisilosameheka na hata afanye nini hawezi kujisafisha.

Huyu alikuwa na uwezo wa kujibakiza madarakani hata bila kumwaga damu za watu kwa kiwango kile, mbona dikteta mwenzake Paul Biya amejibakiza madarakani bila kuua wanainchi wake licha ya kukataliwa na wacameroon?

Huyu ni dikteta mpumbavu kuliko wote tangu dunia inaanzishwa, yaani akakosa njia nyingine kabisa ya kujinusuru akaona auwe watu wengi kiasi kile? Halafu bila aibu anakuja kututambia adharani eti ni "nguvu niliyotumia ni sahihi"..?? Yaani kila nikikumbuka kauli yake napatwa na hasira sana.

Huyu ataheshimiwa na machawa pamoja na mashekh wa BAKWATA tu basi... na sidhani kama atakuja kutokea raisi mwingine wa ovyo zaidi yake

Atakuwa kama Richard Nixon, watergate scandal iliyompelekea kujiuzulu imemfanya aonekane ndio raisi wa ovyo kuwahi kutokea kwenye taifa la Marekani mpaka leo hii, maana kitendo alichokifanya kilikuwa ni tusi kubwa kwa nchi ya kidemokrasia kama Marekani..

...ndio maana mpaka leo hii hata Trump akifanya upumbavu gani bado ataonekana ana afadhari mkilinganisha na Richard Nixon, bwana Nixon ndio amekuwa akitumika kama mfano wa raisi wa ovyo wa Marekani

Hivyo hivyo pia hata kwa Samia, siku ikitokea taifa hili limepata raisi mbovu kiasi gani huko mbeleni, bado ataonekana ni bora akilinganishwa na samia pale tu itakapofanyika rejea kuwa kuna mtu aliwahi kufanya mauaji ya watanzania zaidi ya 11,000 hili tu abaki madarakani.

Kwa ufupi samuya ndio atakuwa mfano wa raisi wa ovyo na mpuuzi kuwahi kutokea kwenye taifa hili kwa miaka mingi sana ijayo, labda aje atokee mwehu mwingine afanye mauaji ya halaiki makubwa kuliko haya aliyofanya yeye na sababu ziwe ni zile zile za kulinda madaraka au ziwe za kipuuzi zaiid, hapo ndio ataonekana ana afadhari.
 
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu tuko kwenye janga

Kwahiyo Samia ameiba kura za nani?

Kura za Salumu Mwalimu?

Au kura za Kinjiketile?

Hivi ni kweli vijana wa Tanzania ni vilaza kiasi hichi

Yani CCM wapange mipango ya kumuibua kura Kinjiketile na Salumu Mwalimu ?

Nyinyi mnatumika na watu waliokuzidini akili Ili kuvuruga amani ya nchi eidha kwakujua au kutojua
 
Yani hata akijitokeza kuhutubia watu washamdharau Bora waendelee tu kumficha Hana heshima tena Kwa watanzania labda huko misikitini. Amebaki kama ALAMA tu lakini ule urais Hana ni kama mama yoyote asiyeheshimika mtaani kwenu.
Hana akili, hofu ya Mungu,nidhamu wala maadili ya kiuongozi. Sijui tumefikaje hapa kama Taifa.
 
kwa mtu mwenye kuona mbali, Samia ameizika CCM rasmi, yaani ameifanya CCM kuendelea kutumia mtutu ili kushika dola kwa siku zijazo hata kama mgombea atakuwa ni nani, kitendo cha mauaji yaliyofanyika hakuna namna utaweza kukisafisha CCM kupitia mgombea yoyote.

kama JPM na usafi wote ule tena bila mauaji alipata wakati mgumu kwa Lowasa, fikiria baada ya mauaji haya wasipotumia mtutu kama ccm itabaki madarakani sijui.
 
Anakwambia vituo vilikuwa vingi saaaana Kiasi kwamba mpaka saa tano asubuhi upigaji kura ulikuwa umeshamalizika 🤣😂😂
 
Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic
 
Back
Top Bottom