Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

Hamna mtu atapigia wapinzani maana ni kama mazombi ila labda itokee songombingo ndani ya ccm
 
Uko sahihi kabisa, sana sana turnover ya wapiga kura itapungua kwa kiasi kikubwa na ushindi wa kishindo hautapatikana kama ulivyotokea kwa Januari na Nape kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC. huo ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa chama hiki.
 
Huyo waziri alishawaudhi sana wananchi kwa kauli zake za kigeugeu kuhusiana na tatizo la umeme lililojitokeza mara tu baada ya yeye kuchukua nafasi hiyo. Kwa takribani miaka 5 mfululizo wananchi walikuwa wamelisahau hadi alipoingia waziri huyu. Kama ni ukame hata huko nyuma ulikuwa unatokea lakini umeme ulikuwa haukatiki. Kama ni mitambo na transmission systems, hata huko nyuma ilikuwa inaharibika lakini ilikuwa ikitengenezwa bila umeme kukatika katika. Sasa tumeambiwa hii katika katika itaendelea hadi 2025.

Kwani kumhamishia wizara nyingine ni kumsulubu? Waziri wa nishati ana tofauti gani mawaziri wengine? Akipewa kwa mfano wizara ya michezo na utamaduni atakuwa amepungukiwa kitu gani? Baba yake atakasirika na ulimi wake utateleza tena? Kwanini chama kinyimwe kura 2025 kwa sababu ya kitu kama hiki? Bila shaka wewe ni kati ya wale wasiopenda chama hiki kishinde uchaguzi wa 2025, utakuwa unatokea kule upinzani.
Waziri abakie hapo hapo .
sisi wananchi tunajua umuhimu wake hapo wizarani.
tunamuomba sana Rais asisikiloze majungu na fitina za baadhi ya watu wanaotaka kuihujumu tanesco
 
ukimhamisha waziri ndio utakuwa umetatua tatizo!! acha wivu usio na maana.

tatizo sio waziri. ila watu wanataka kuchukulia kama yy ndiye kasababisha ukame na mitambo kuchakaa!!! kumbe ni wivu na chuki za kipuuzi !!!

waziri anachapa kazi na tunaomba aendelee hapohapo.
 
Waziri abakie hapo hapo .
sisi wananchi tunajua umuhimu wake hapo wizarani.
tunamuomba sana Rais asisikiloze majungu na fitina za baadhi ya watu wanaotaka kuihujumu tanesco
Umuhimu wake upi wakati wananchi hawana umeme. Hata hiyo miradi ya REA haina maana kuendelea nayo kwani umeme haupo wa kutosha.

Hakuna mwananchi anayetaka kuihujumu tanesco. Tanesco tayari ilishahujumiwa na wenyewe, ndiyo maana haina umeme wa kutosha.
 
Back
Top Bottom