Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa, sana sana turnover ya wapiga kura itapungua kwa kiasi kikubwa na ushindi wa kishindo hautapatikana kama ulivyotokea kwa Januari na Nape kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC. huo ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa chama hiki.Hamna mtu atapigia wapinzani maana ni kama mazombi ila labda itokee songombingo ndani ya ccm
Waziri abakie hapo hapo .Huyo waziri alishawaudhi sana wananchi kwa kauli zake za kigeugeu kuhusiana na tatizo la umeme lililojitokeza mara tu baada ya yeye kuchukua nafasi hiyo. Kwa takribani miaka 5 mfululizo wananchi walikuwa wamelisahau hadi alipoingia waziri huyu. Kama ni ukame hata huko nyuma ulikuwa unatokea lakini umeme ulikuwa haukatiki. Kama ni mitambo na transmission systems, hata huko nyuma ilikuwa inaharibika lakini ilikuwa ikitengenezwa bila umeme kukatika katika. Sasa tumeambiwa hii katika katika itaendelea hadi 2025.
Kwani kumhamishia wizara nyingine ni kumsulubu? Waziri wa nishati ana tofauti gani mawaziri wengine? Akipewa kwa mfano wizara ya michezo na utamaduni atakuwa amepungukiwa kitu gani? Baba yake atakasirika na ulimi wake utateleza tena? Kwanini chama kinyimwe kura 2025 kwa sababu ya kitu kama hiki? Bila shaka wewe ni kati ya wale wasiopenda chama hiki kishinde uchaguzi wa 2025, utakuwa unatokea kule upinzani.
ukimhamisha waziri ndio utakuwa umetatua tatizo!! acha wivu usio na maana.Huyo waziri alishawaudhi sana wananchi kwa kauli zake za kigeugeu kuhusiana na tatizo la umeme lililojitokeza mara tu baada ya yeye kuchukua nafasi hiyo. Kwa takribani miaka 5 mfululizo wananchi walikuwa wamelisahau hadi alipoingia waziri huyu. Kama ni ukame hata huko nyuma ulikuwa unatokea lakini umeme ulikuwa haukatiki. Kama ni mitambo na transmission systems, hata huko nyuma ilikuwa inaharibika lakini ilikuwa ikitengenezwa bila umeme kukatika katika. Sasa tumeambiwa hii katika katika itaendelea hadi 2025.
Kwani kumhamishia wizara nyingine ni kumsulubu? Waziri wa nishati ana tofauti gani mawaziri wengine? Akipewa kwa mfano wizara ya michezo na utamaduni atakuwa amepungukiwa kitu gani? Baba yake atakasirika na ulimi wake utateleza tena? Kwanini chama kinyimwe kura 2025 kwa sababu ya kitu kama hiki? Bila shaka wewe ni kati ya wale wasiopenda chama hiki kishinde uchaguzi wa 2025, utakuwa unatokea kule upinzani.
Umuhimu wake upi wakati wananchi hawana umeme. Hata hiyo miradi ya REA haina maana kuendelea nayo kwani umeme haupo wa kutosha.Waziri abakie hapo hapo .
sisi wananchi tunajua umuhimu wake hapo wizarani.
tunamuomba sana Rais asisikiloze majungu na fitina za baadhi ya watu wanaotaka kuihujumu tanesco