Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

Hamna mtu atapigia wapinzani maana ni kama mazombi ila labda itokee songombingo ndani ya ccm
 
Hamna mtu atapigia wapinzani maana ni kama mazombi ila labda itokee songombingo ndani ya ccm
Uko sahihi kabisa, sana sana turnover ya wapiga kura itapungua kwa kiasi kikubwa na ushindi wa kishindo hautapatikana kama ulivyotokea kwa Januari na Nape kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC. huo ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa chama hiki.
 
Waziri abakie hapo hapo .
sisi wananchi tunajua umuhimu wake hapo wizarani.
tunamuomba sana Rais asisikiloze majungu na fitina za baadhi ya watu wanaotaka kuihujumu tanesco
 
ukimhamisha waziri ndio utakuwa umetatua tatizo!! acha wivu usio na maana.

tatizo sio waziri. ila watu wanataka kuchukulia kama yy ndiye kasababisha ukame na mitambo kuchakaa!!! kumbe ni wivu na chuki za kipuuzi !!!

waziri anachapa kazi na tunaomba aendelee hapohapo.
 
Waziri abakie hapo hapo .
sisi wananchi tunajua umuhimu wake hapo wizarani.
tunamuomba sana Rais asisikiloze majungu na fitina za baadhi ya watu wanaotaka kuihujumu tanesco
Umuhimu wake upi wakati wananchi hawana umeme. Hata hiyo miradi ya REA haina maana kuendelea nayo kwani umeme haupo wa kutosha.

Hakuna mwananchi anayetaka kuihujumu tanesco. Tanesco tayari ilishahujumiwa na wenyewe, ndiyo maana haina umeme wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…