Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Msaada wakuu,
Saivi nikinyoa ndevu natoka mapele utadhani kikoi cha jasusi. Hii ni hususan nikitumia shaving mashine, angalau kidogo saluni. Naombeni msaada wazee, mtu unaonekana smart usoni lakini kidevu kimechakaa kama soksi za mwamnyeto
Kuna after shave moja inatoka south africa inaitwa BUMP solution bei yake ni elfu 7 tu, nikachupa kadogo na maranyingi zinapatikana maduka ya madawa yale makubwa ni nzuri sana na hiyo haijawahi kushindwa kuondoa vipele, mimi pia nilikuwa muhanga wa vipele kidevuni ila sasa niko vizuri hakuna hata kipele kimoja na kama ukishindwa kuipata hiyo basi ukinyoa piga stem au chukua maji ya moto ukande kidevu vipele vitapungua au kuisha kabisa na hilo linakuwa zoeze endelevu kila unaponyoa
 
Kuepuka vipele hakikisha anayekunyoa anakata nywele sio kukwangua. Kuna utofauti.
 
Msaada wakuu,
Saivi nikinyoa ndevu natoka mapele utadhani kikoi cha jasusi. Hii ni hususan nikitumia shaving mashine, angalau kidogo saluni. Naombeni msaada wazee, mtu unaonekana smart usoni lakini kidevu kimechakaa kama soksi za mwamnyeto
Pole.. Nyoa kwa kutumia magic.
Pia endelea kupaka dawa ya Persol 5.0 throughout!
 
Nimekua nikisumbuliwa sna na vipele vya ndevu hasa baada ya kunyoa ndefu nimejaribu dawa kadhaa lakini hakuna mafanikio ...kwa yoyote anaejua dawa nzuri ya kuondoa vipele hivyo naomba anitajie jina la dawa hapa Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kama huna after shaving lotion, tumia "tincture iodine" ni ile dawa ya madonda mabichi, chukua Cotton bud na chovya katika hiyo tincture iodine na pakaze sehemu yenye upele (kidevuni) baada ya kunyoa au hata kama hujanyoa, hii dawa pia inaweza kutumiwa na wale wanaisumbuliwa na vipele chini ya kichogo baada ya kunyoa nywele. Ila usipokuwa muangalifu unaweza kuchafua nguo zako, unatakiwa uwe mwangalifu usichafue nguo nk,

Hii "tincture iodine" pia hutumika kuondoa "skin tags" (viotea kwenye ngizo), watu wengi hawajui kuwa hii sio dawa kwa ajili ya madonda mabichi pekee.

Dawa nyingine ya kuondoa vipele ya ndevu:- chukua kikopo cha mafuta mgando (petroleum jelly etc) changanya na vijiko 3 vya asali mbichi na vijiko viwili vya Mafuta ya nazi, koroga huo mchanganyiko na uwe ukipaka kila baada ya kunyoa ndevu.

Pia hakikisha kila unapotaka kunyoa hiyo mashine yako uifanyie sanitazation na methylated spirit nk, pia tumia nyembe zilizokuwa standard zilizokuwa na hadhi kama Gillette au Laser nk. hope help.
 
Nimekua nikisumbuliwa sna na vipele vya ndevu hasa baada ya kunyoa ndefu nimejaribu dawa kadhaa lakini hakuna mafanikio ...kwa yoyote anaejua dawa nzuri ya kuondoa vipele hivyo naomba anitajie jina la dawa hapa Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ukiweza kupata hii kitu umetatua tatizo. Nilikuwa na shida hiyo kwa miaka mingi na hili ndio likawa suluhisho.

Tumia Sabuni ya Anatic , Bei ni 10,000. Kuipata piga 0673758230 au 0620321041
 
Chukua aspirini...Loweka kwenye maji..
Then chukua kitambaaa Safi au pamba..chovya kwenye huo mchanganyiko wa Asprini na maji...usiwekee maji mengi Sana

Then pakaa kwenye ENEO husika baada ya kunyoa.
 
Mkuu nakupa dawa imenisaidi Sana hakika utanikumbuka tumia KIBIRITI UPELE unapo maliza kunyoa paka kidevu chote zinapoishia ndevu,usiache kuleta marejesho
 
Back
Top Bottom