Mr ceragem
Senior Member
- Feb 22, 2015
- 109
- 65
Kuna after shave moja inatoka south africa inaitwa BUMP solution bei yake ni elfu 7 tu, nikachupa kadogo na maranyingi zinapatikana maduka ya madawa yale makubwa ni nzuri sana na hiyo haijawahi kushindwa kuondoa vipele, mimi pia nilikuwa muhanga wa vipele kidevuni ila sasa niko vizuri hakuna hata kipele kimoja na kama ukishindwa kuipata hiyo basi ukinyoa piga stem au chukua maji ya moto ukande kidevu vipele vitapungua au kuisha kabisa na hilo linakuwa zoeze endelevu kila unaponyoaMsaada wakuu,
Saivi nikinyoa ndevu natoka mapele utadhani kikoi cha jasusi. Hii ni hususan nikitumia shaving mashine, angalau kidogo saluni. Naombeni msaada wazee, mtu unaonekana smart usoni lakini kidevu kimechakaa kama soksi za mwamnyeto