Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dafuta dawa inaitwa bump patrol iko vizuri mimi ndio naitumia huondoa na pia huzuia vipele vya ndevu inapatikana kwenye pharmacy na maduka ya vipodozi
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
dawa ni ndogo...usinyoe hutatoka na vipele....
baada ya muda zikiota baada ya wiki 2 hakuna tena vipele, unachopasa kufanya ni kunyoa na mashine na usikwangue....usiponyoa ndo vitazidi kutoka kwasababu utakuwa unawashwa
dawa ni ndogo...usinyoe hutatoka na vipele....
baada ya muda zikiota baada ya wiki 2 hakuna tena vipele, unachopasa kufanya ni kunyoa na mashine na usikwangue....
mimi natumia magic powder tangu 2005
ikoje hiyo
ikoje hiyo


ngoja aje atujibushilingi ngapi na wapi inapatikana?