Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Mkuu mimi mwenyewe sasa hivi natumia dawa flani inaitwa ' BUMP PATROL ' ni nzuri hii dawa.
 
Dafuta dawa inaitwa bump patrol iko vizuri mimi ndio naitumia huondoa na pia huzuia vipele vya ndevu inapatikana kwenye pharmacy na maduka ya vipodozi

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
ukishanyoa,chemsha maji yawekee shabu Kisha safishia kidevu fanya km unakanda flan,kila unsponyoa
 
Dafuta dawa inaitwa bump patrol iko vizuri mimi ndio naitumia huondoa na pia huzuia vipele vya ndevu inapatikana kwenye pharmacy na maduka ya vipodozi

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

nyingine ni AFTER SHAVE
 
usiponyoa ndo vitazidi kutoka kwasababu utakuwa unawashwa
baada ya muda zikiota baada ya wiki 2 hakuna tena vipele, unachopasa kufanya ni kunyoa na mashine na usikwangue....
 
baada ya muda zikiota baada ya wiki 2 hakuna tena vipele, unachopasa kufanya ni kunyoa na mashine na usikwangue....

ndevu zangu nikizifuga week mbili zinamzidi osama
 
ikoje hiyo

ni ungaunga flan hivi ambao unatia maji ya kawaida na kuuchanganyachanganya kisha unapaka kwenye ndevu huku ukimwagiamwagia vijimaji kwa mbaali ili kulainisha sehm ulizopaka na kukauka then baada ya muda unakwangua kwa kutumia kile kijiti ulichopakia usitumie wembe ktk kukwangua wala maji ya moto.
 
1959238_1417790665137023_137783910_n.jpg1959238_1417790665137023_137783910_n.jpg
=>gentelman pride ndo sululisho-99.9%.

=>yawezekana ushatumia nyingi sana,na ukakata tamaa na hata huamini kama kuna sululisho au hutaki hata kusikia

=>au pengine unajua ahaa si maneno yao hao wa kila siku. Ni sawa kuwa na maoni binafsi

=>lakini si gentleman pride ambayo imetengenezwa kutokana na utando wa malkia wa nyuki wa dogo "bee propolis"

=>Na mmea aina ya barberdnsis miller. huu mchangayo utasaidia kufungua vile vinyweleo ambavyo huziba matundu ya kupitisha hewa. ambapo hujaa uchafu na kusababisha mapele.

=>bidhaa hii haina chemicals kama nyingine.

=>izo hatari ya kujiletea kansa ya ngozi utaepuka
=>sii tuu kwa ajili ya ndevu but pia ni nzuri kwapani,sehemu za siri, na inaacha sehemu husika ikiwa smooth na bila kuleta weusi, au ugumu sehemu iyo iliyoonyolewa.

=>kwa maelekezo na matokeo mazuri jinsi ya kunyoa na kutumia basi lazima utapata matokeo mazuri.

call/sms/whats app 0765377506/0713297066

kwa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom