Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Sehemu kubwa ya malalamiko ya wanaume katika sakata hili yanagusa zaidi maeneo matatu ambayo ni KUKOSA MSISIMKO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOSA KABISA NGUVU, huku kufika kileleni mapema kukihusishwa pia kama pacha wa janga hili ambalo linawasumbua zaidi wanaume, ingawa na wanawake wanakabiliwa na sehemu ndogo ya tatizo hili.

Dhana ya kujiona ni mwenye kasoro inapojengeka akilini mwa mwanaume, huchipua hofu na hatimaye kumfanya ashindwe kabisa kusisimka anapofikiria au kukutana na mwanamke. Matokeo ya hangaiko la akili hushusha uwezo wa mwili na kumuongoza mtu kwenye kuwaza ugonjwa kisha kukimbilia hospitali au kwa waganga kutafuta tiba ya ugongwa ambao kimsingi hanao.

Lakini ukweli uko wazi kwamba kukimbilia kutafuta uwezo wa kufanya mapenzi mara sita au saba hakumfanyi mwanaume awe mlinganifu mwenye kusifiwa na wanawake wengi, kwani si wanawake wote wana uwezo wa kufanya mapezi kwa raundi hizo na si wote wanapenda kutumia takika 30 kucheza mpira wa kikubwa, wengine hukinai mapema na huona kero kuwa na wanaume ving’ang’anizi wenye sifa za kuganda wanapopewa
.

UNGANA NAMI HAPA <<TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME>>

 
knywa juice ya asali na vitunguu swaumu na kama ukiweza changanya na unga wa mbegu za tikiti!mashalaa utanitafuta kunipa asante kwa ushauri usio na mashariti na madhara yoyote!
 
Hey,wana jf 2jitahid kuheshimu na pia 2guswe na matatizo ya wenzetu,xio m2 unaropoka 2"kunywa petrol"ilimrad umecomment,sio vzr.
 
Hey,wana jf 2jitahid kuheshimu na pia 2guswe na matatizo ya wenzetu,xio m2 unaropoka 2"kunywa petrol"ilimrad umecomment,sio vzr.

Bora hata na we umeliona hilo!tuheshimu,tusaidiane na siyo kujaza server za jf!kama mtu hana ushauri ni bora akakaa zake kimya!damn and shame on them
 

mkuu hapa naona umemaliza kila kitu.Unajua haya mavyakula ya ajabu ajabu tunayo bwia sasa hivi yanatuzingua sana ndiyo mana hata watoto weng wanakuwa vichwa maji.
Ni nan alaye ngano kwakwe iwe kwa ugali au matumizi ya mkate??
Ni nani alaye ugali wa dona.
Vyakula vya asili tumevikacha tunabaki kulalamaa wee.
Miili yetu imekuwa dhaifu mpaka akiri kwa ajiri ya kula vyakura hivy ambavyo kama mitope au vyenye madawa chungu nzima.
Hizi ndizo faida za kuzikacha asili zetu tunageuka kuwa watumwa wa asili za wazungu.

Ntakubali kuendelea kuchekwa na kutukanwa kuwa bahili,mkoloni na mshamba kwa kuendelea kupiga dona na kula vyakula natural mwanzo mwisho.Vyakula vyetu ving vya asili vya ukweli tunawaachia wazungu wanavisomba na matakataka ya ajabu wanatuletea sisi huku tz.Kama asali wachine wanaisomba kweli kule tabora.Wakati kuna watu hapa jamvin hawaja wahi ionja asali hiyo lkn wenye akili na wajanja wametoka china mpaka tabora.

Tubadilike bandugu oohooo.
Itafika kipindi itabidi mke 1 aolewe na wanaume 2 ili wamchangie ili aweze fika kilelen.Teh teh teh teh teh joks

Kwa kuongezea kuna hii kitu mbegu za mlonge nasikia nazo ni bonge la tiba.
 
kwakweli huwa inaumiza sana ukiwa na mawazo hayo ya kumaliza mapema
 
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.​
 
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume
Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:
1.ubugiaji wa tumbaku .
2.uvutaji wa sigara.
3.utafunaji wa mirungi.
4.unywaji wa pombe.
5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.
6.ugonjwa wa kisukari.
7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)
8.kuwa na mawazo kupita kiasi.
9.kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.​
 
 
 
 
Sawa mkuu, bado tunasubiri, pia ninadhani kuna wadau wengi wamepiga foleni, wanapiga jalamba, wakingojea hiyo feed back, kama kapata mzigo ama la!
 
Msaada jamani!!

Nimeteseka na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa miaka 4 sasa. Nimekula dawa tofauti nyingi tu zikiwemo za kichina, unga wa miti na nyingine nyingi tu.
Nimeshindwa la kufanya!! Km kuna mtu anajua tiba sahihi!! siyo kubahatisha, basi an-PM. Natanguliza shukurani nyiiingi.

asante
 
viagra hadi lini jamani???
nadhani anaomba ushauri wa dawa itakayomaliza tatizo lake
pole sana,
wajuzi wataku pm kama ulivyoomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…