EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Gozi litantambuwa.
hehe hee unaenda kumywea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gozi litantambuwa.
Hey,wana jf 2jitahid kuheshimu na pia 2guswe na matatizo ya wenzetu,xio m2 unaropoka 2"kunywa petrol"ilimrad umecomment,sio vzr.
Haina mbaya jombaa me ntakusaidia hapo kwa wife, ni2mie number zake plz
Sawa ndugu nakutakieni kila raheli japo inauma sana kukosa kufanya mechi maishani
Ukiona vipi ni pm nikusaidie nimsugue mkeo.
Namna kujitibu maradhi ya kuwahi kushusha manii haraka wakati la tendo la ndoa na bila kujitibu wanaathirika wote khususan mwanamke.
Madawa yake ni:
1.Tangawizi.
2.Uwatu.
3.Asali.
4.Mdalasini.
Chukua unga wa tangawizi kiasi cha vijiko vitatu vya chakula kisha changanya na dawa iitwayo uwatu unga wake kiasi cha vijiko vitatu vya chakula, na hakikisha madawa haya ni ya unga yaani yatwange hadi yawe unga kisha chemsha kwa maji glasi tatu baada ya kuchemsha hakikisha
glasi moja inapotea kwa kuchemsha, halafu mgonjwa wa tatizo hilo atakuwa akijipaka kwenye dhakari yake na kwenye korodani kila siku mara moja na wakati anatumia dawa hiyo itamlazimika atumie asali kijiko kimoja cha chakula na mdalasini kijiko kimoja cha chai kila usiku anakula dawa hiyo mara moja kwa siku muda wa siku kumi natano au ishirini Inshaallah atapona.
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.htmlmkuu hapa naona umemaliza kila kitu.Unajua haya mavyakula ya ajabu ajabu tunayo bwia sasa hivi yanatuzingua sana ndiyo mana hata watoto weng wanakuwa vichwa maji.
Ni nan alaye ngano kwakwe iwe kwa ugali au matumizi ya mkate??
Ni nani alaye ugali wa dona.
Vyakula vya asili tumevikacha tunabaki kulalamaa wee.
Miili yetu imekuwa dhaifu mpaka akiri kwa ajiri ya kula vyakura hivy ambavyo kama mitope au vyenye madawa chungu nzima.
Hizi ndizo faida za kuzikacha asili zetu tunageuka kuwa watumwa wa asili za wazungu.
Ntakubali kuendelea kuchekwa na kutukanwa kuwa bahili,mkoloni na mshamba kwa kuendelea kupiga dona na kula vyakula natural mwanzo mwisho.Vyakula vyetu ving vya asili vya ukweli tunawaachia wazungu wanavisomba na matakataka ya ajabu wanatuletea sisi huku tz.Kama asali wachine wanaisomba kweli kule tabora.Wakati kuna watu hapa jamvin hawaja wahi ionja asali hiyo lkn wenye akili na wajanja wametoka china mpaka tabora.
Tubadilike bandugu oohooo.
Itafika kipindi itabidi mke 1 aolewe na wanaume 2 ili wamchangie ili aweze fika kilelen.Teh teh teh teh teh joks
Kwa kuongezea kuna hii kitu mbegu za mlonge nasikia nazo ni bonge la tiba.
Ukiona vipi ni pm nikusaidie nimsugue mkeo.
Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html
Mkuu hii dawa yako umekuwa inaifuagilia sana. Nadhani itakuwa bora kama kuna watu ambao umeshawapatia dawa hii wakaja hapa kwenye JF na kutuambia kuwa walituma pesa kwako, ukawatumia dawa kaam UNAVYODAI UTAFANYA, na baada ya hapo wamepata mafanikio.
Mkuu, humu ndani kuwa watu wengi wenye shida hiyo, ukiona kimya ujue bado hawajaamini jinsi ya kutuma pesa na kama dawa itatumwa kweli.
Mkuu leo hii kanitumia Mtu Pesa Dollar 300 na kesho (Leo Jumanne) nakwenda kumtumia kwa njia ya ndege itamfikia baada ya siku 7 kuanzia hii leo usiwe na wasiwasi watu wanatumia na inawasaidia sana kama utaniamini nitumie pesa na unipe Address yako nitakutumia inshallah amini Mwenyeezi Mungu.Dawa za Nguvu ya kiume kwa anayetaka bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...naye-taka.html
Mkuu hii dawa yako umekuwa inaifuagilia sana. Nadhani itakuwa bora kama kuna watu ambao umeshawapatia dawa hii wakaja hapa kwenye JF na kutuambia kuwa walituma pesa kwako, ukawatumia dawa kaam UNAVYODAI UTAFANYA, na baada ya hapo wamepata mafanikio.
Mkuu, humu ndani kuwa watu wengi wenye shida hiyo, ukiona kimya ujue bado hawajaamini jinsi ya kutuma pesa na kama dawa itatumwa kweli.
Mkuu leo hii kanitumia Mtu Pesa Dollar 300 na kesho (Leo Jumanne) nakwenda kumtumia kwa njia ya ndege itamfikia baada ya siku 7 kuanzia hii leo usiwe na wasiwasi watu wanatumia na inawasaidia sana kama utaniamini nitumie pesa na unipe Address yako nitakutumia inshallah amini Mwenyeezi Mungu.
Kwa kuwa aliyekutumia alipata information hapa hapa JF, basi mimi na mume wangu tutatuma pesa mara atakaposema kuwa amepata huo mzigo kwa usalama kama unavyojitangazia hapa.
MKUU, lakini mbona avatar yako na maneno yako ya hapo mwisho (bolded) ni tofauti kabisa?