Hujakua, ukikua utaacha tu!mbona mim napiga bao 6 au na mm nina matatizo?
Wote hapo juu wamekuzingua tu.....in short, kupiga bao moja utake mwenyewe na si kwamba huo ndio iwe mwisho wa uwezo wako!! Sina shaka yoyote kwamba wewe una tatizo and am afraid inaweza kuwa inasababishwa na masturbation!! Si unajua kwamba often bao la masturbation ni moja?! So, frequent practice of masturbation inafanya akili yako izoee(Condition Reflex Action) kwamba, ukishamimina mara moja, basi!
So, kama unafanya masturbation basi solution ni ku-practice kuacha.....!!
Mabao! Mabao! Mabao! Kwani ni champions league?