Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

kwani wewe umemshaurije.......:A S 39:
 
yereewiiiiiii......!
 

hatari sna..

hyo ni ajabu ndugu ,dk.25-40 kwa bao la kwanza..
 
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra.

Tuwe serious kutoa msaada.

Mkuu Ukiondowa Vidonge vya Viagra dawa nzuri ya kuongeza nguvu za kiume hii hapa chini Herbal Vivid ni dawa yenye nguvu za kukuwezesha kurudisha heshima yako katika ndoa yako.Haina Madhara kwa binadamu ni Dawa ya Mitishamba iliyotengenezwa kwa utaalamu wa kisasa Vidonge (Capsule), Chupa 3 Dollar 300 ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Barua ya pepe Email yangu Address fewgoodman@hotmail.com

Product Description Herbal vivid

Herbal Vivid - The Only Male Enhancement Formula Backed by the Vivid Name. Herbal Vivid is a all natural herbal formula for penis enhancement that works to increase penis size, improve sexual health and strengthen erections.

Herbal Vivid is a 100% safe and natural herbal formula guaranteed to enlarge the penis up to 3 to 4 inches when used as we recommend.
 
Hilo tatizo limemuanza ghafla au ni la muda mrefu?

Je mtu huyo huwa ana tabia ya kujichua uume wake?

Amepima magonjwa kama kisukari au shinikizo la damu?

Je ni mvutaji sigara au anatumia kilevi cha aina yoyote?
Kuna uhusiano gani kuvuta sigara na hayo mambo? hebu nipe darasa niache kuvuta haraka.
 
Yeye anataka apige mangapi? Moja lililoandaliwa vema linamtosha sana mwanamke yoyote Duniani.
 
Kama uko fiti utapiga tuuuu hata kama ni ziwa simba akiishiwa hula hata majani mradi njaa iwepo
 
Kuna uhusiano gani kuvuta sigara na hayo mambo? hebu nipe darasa niache kuvuta haraka.

Acha sasa kama unatumi sigara, ina maana unatumia bila kufahamu madhara yake? ukweli ni kwamba kuna mishipa ya fahamu ambayo huathiriwa sumu ya tumbaku hiyo mishipa ndio inayopitisha hisia zako na kumbukumbu pia, hiyo mishipa inapoathirika inamfanya mhusika kuwa na kumbukumbu ndogo na kuifanya mishipa hiyo kusinyaa na hivyo kupoteza hisia wakati wa tendo husika.

Kwenye paketi ya sigara kuna onyo kwamba hicho kitu ni hatari na moja ya hatari ndio hii tunayoijadili hapa.
 
Heshima kwenu,

Msaada kwa anayejua daktari bigwa wa matatizo ya uzazi kwa wanaume.

Nina tatizo la sperm production k2a nda mrefu.

So nataka kukutana na daktari bingwa atakayenisaidia.

Mimi nipo Arusha, so itakuwa vizuri kama nikimpata aliyepo Arusha.

Natanguliza shukrani za dhati.
 


Mkuu, ukipitia posts zote kwenye thread hii utagundua kuwa tatizo lako ni dogo na linatatulika.

Nakushauri msaada unaouhitaji si lazima utatuliwe na member/Dr. aliyepo Arusha.

Kuna wengi wanaoweza kukusaidia walioko hapa Tanzania na hata nje ya nchi kama MziziMkavu anayeishi Ugiriki lakini amesaidia wengi sana.
 
Last edited by a moderator:
mkuu nshukran sana....ntawasiliana na Mzizimkavu....na kwa yeyote anayeweza nisaidia anakaribishwa wakuuu
 
Last edited by a moderator:
Siku za nyuma nilikuwa nafanya mapenzi vizuri tu. Tena naweza nikapiga bao mbili mfululizo na uume unasimama vizuri tu.

Lakini ghafla tu uume unasimama mara moja tu tena kwa tabu. Na nikiwa nafanya mapenzi, bao moja tu linatoka na uume unaweza sinyaa hata kabla sijaitoa au bao kutoka.

Hii inatokana na nini kwa wataalamu? Na nakuwa sina mawazo ila kwa sasa mawazo ndio yanazidi kabisaa

Please, usiweke utani jamani. Msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…