Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
kwani wewe umemshaurije.......:A S 39:Ndugu zanguni hebu tusaidiane katika hili. Nina rafiki yangu mmoja alikuwa ananiomba ushauri anasema yeye ameoa. Anapata tatizo moja kubwa. Kila wakiwa na mwenzake kwenye malovedavi wakianza ku du tu....anakua yuko fiti na ana du kwa dakika kama 5 hivi anapiga bao moja basi anakua hana hamu tena na Muhogo unalala. Sasa anaomba ushauri je anatatizo gani na afanye nini ili angalau aweze kupiga bao mbili. Ushauri wenu unahitajika.