Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Hongeza kupiga punyeto itakusaidia na utaludi kwenye hali yako kama zamani
 
Acha punyeto mshamba wewe!
 
Madhara ya Punyeto hayo kama huko nyuma ulikua na tabia hii haya ndio matokeo yake
 
Aisee nina tatizo kama hili ila n punyeto,sigara vimesababisha sasa nahangaikia matibabu daah
 
Unapiga punyeto au umeshapigaga?, sigara na pombe unatumia? Kuna majukumu umeyapata sasaivi?, mazoezi ya mwili huwa unafanya? Jibu kwanza apo then nikushauri
 
Hili tatizo huwa linatokea kama utakua ulijaribu kushtua nyeto..tofauti na hapo anzisha schedule ya mazoezi..utarudi ktk hali yako fresh kabisa..me pia huwa inatokeaga na nikifanya kama nilivyokushauri narudi ktk uanaume bora.
 
Kunywa maji ya kutosha hasa asubuhi kabla ya kula kitu chochote. Maji ndio yanayosafirisha damu ktk viungo muhimu vya mwili, including "Pipe"
 
Nenda hospitali kapime testosterone na sperm analysis kama kuna shida doctor atakupa dawa
 
Ushajiuliza y watu weng skuhiz wanakazana na gym?bas ishu ni hyo,vyakula vyenye mafuta na sugar kwa wing ndo madhara ya hayo mambo so,ili upone kata hvyo vyakula vya ajab,fanya mazoez kidogo tuu,acha kuangalia porn..kama unapiga masta acha..pungua uzito,..mafuta na sukar hupunguza testosterone mwilin,so ndo madhara yake haya
 
Wakuu kwema?

Leo ni mara ya kwanza kujiunga na familia hii baada ya kuwa mpitiaji wa nyuzi mbalimbali.

Mimi ni kijana wa 20's ambae kwa sasa napitia changamoto kubwa inayonifanya nisiwe na mahusiano ya kudumu.

Kwanza kabisa ni suala la kugegeda. Hapa nikipiga bao moja tena la dk 4-5 nakuwa sina tena hamu ya kurudia tendo na nikirudia muda unakua huo huo na siwezi kwenda zaidi ya hapo

Nifanyeje niondokane na halii hii? Napata shida sana hadi nimekosa raha ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…