Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha punyeto mshamba wewe!Siku za nyuma nilikuwa nafanya mapenzi vizuri tu. Tena naweza nikapiga bao mbili mfululizo na uume unasimama vzr tu.
Lakini ghafla tu uume unasimama mara moja tu tena kwa tabu. Na nikiwa nafanya mapenzi, bao moja tu linatoka na uume unaweza sinyaa hata kabla sijaitoa au bao kutoka.
Hii inatokana na nini kwa wataalamu? Na nakuwa sina mawazo ila kwa sasa mawazo ndio yanazidi kabisaa
Please, usiweke utani jamani. Msaada
Hili tatizo huwa linatokea kama utakua ulijaribu kushtua nyeto..tofauti na hapo anzisha schedule ya mazoezi..utarudi ktk hali yako fresh kabisa..me pia huwa inatokeaga na nikifanya kama nilivyokushauri narudi ktk uanaume bora.Siku za nyuma nilikuwa nafanya mapenzi vizuri tu. Tena naweza nikapiga bao mbili mfululizo na uume unasimama vizuri tu.
Lakini ghafla tu uume unasimama mara moja tu tena kwa tabu. Na nikiwa nafanya mapenzi, bao moja tu linatoka na uume unaweza sinyaa hata kabla sijaitoa au bao kutoka.
Hii inatokana na nini kwa wataalamu? Na nakuwa sina mawazo ila kwa sasa mawazo ndio yanazidi kabisaa
Please, usiweke utani jamani. Msaada
Na oil chafu lita 4, alete mrejesho.Ongeza genereta mafuta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...daah huo ushauri internationalLabda alitaka kukuambia: "you need to go back to school"?
Hongeza kupiga punyeto itakusaidia na utaludi kwenye hali yako kama zamani
ndio punyeto nilishapiga mkuuToa historia yako kwa ufupi, umewahi kupiga/ unapiga punyeto? Unaangalia picha za ngono??
Sent using Jamii Forums mobile app
Punyeto nilishajilipua sana mkuuToa historia yako kwa ufupi, umewahi kupiga/ unapiga punyeto? Unaangalia picha za ngono??
Sent using Jamii Forums mobile app