Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Pole kwa Maswahibu..Nakushauri Uwangalie Tiba mbadala kwa kua zipo aina ningi. Na Umshirikishe Mwenyezimgu katika utatuzi wa Tiba yako
 
Ukimbizane na pesa au ukimbizane na mazoezi?
Pesa bila ya kuwa na afya nzuri ni useless. Uajikuta unaitumia hela yote kwenye matibabu.

Uzuri wake vyote kwa pamoja vinawezekana na ndio maana nimemshauri atumie japo nusu saa kwenye mda wake kufanya mazoezi.

Angalia mda gani watu wanatumia kwenye social media kuandika na kusoma upuuzi? Inamaana akipangilia mda wake vizuri atakosa nusu saa kufanya mazoezi?
 

Dah mbona mkuu huna shida kabisa me ninavyoona sema una kitu kichwani kinakuaminisha kuwa una shida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu na majamaa msaada kwa jirani yangu hapa anatatizo la muda mrefu la kutomtimizia mwanamke tendo la ndoa wawapo kitandani,

Yaani tatizo lake anapokuwa mwenyewe au anapokuwa na mwanamke hisia zote anazipa na anaweza akasimamisha vizuri

Na anaweza kumchezea Dem Hadi kufikia mwisho wakuanza kufanya ikiwa Bado imesimama,

Tatizo lake nipale tu uume unapoanza kuigusa mbunye, pale pale jogoo anawika hata kabla mgeni kuufungua mlango ili aingie subuleni,

Yaani amefanya hivyo mara kadhaa kwa wanawake tofauti tofaut lakini tatizo nililelile kujirudia,

Naombeni masaada kumsaidia ndugu, rafiki angu ili kunusuru amani yake katika kuishi kwake maana mademu wote aliokutana nayo hivi sasa anawakwepa hataki kuonana nao!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…