Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

wanaume,kazi mnayo.hii yote kwa ajili ya kuturidhisha tu.ahsanteni kwa hilo

aaah bila kuwapa shughuli pevu nyie hamkawii kutafuta mpango wa kando...yaani dawa ni kuhakikisha kipochi manyoya kimesuguliwa vizuriiii kama sufuria na steel wire.
 
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Kuna siku nikiwa Dodoma, nilikua nasikiza redio moja ya Waislam na walikuwa wakifundisha haya mambo ya kuweka heshima kwa mama bhoke....
1. Chukua maziwa fresh, changanya na tende halafu hakikisha unaziblend na blender ili upate kimiminika kizito...basi tia huo mchanyato katika glasi, hakikisha unapata dozi hiyo kila siku chache kabla ya mtanange na mama Bhoke.

2. Changanya mdalasini na maziwa fresh kunywa asubuhi na jioni siku chache kabla yq mtanange.
 
Dawa simple, nenda bahari ya hindi tafuta kisiwa kisichokaliwa na watu, weka masikani yako hapo kwa mwaka mmoja. utashangaa ukitoka huko utakuwa na nguvu za ajabu. Kwa ufupi matibabu ya kukosa hizo nishati za kiume ni ya kisaikolojia zaidi.

Mama Mdogo shikamooo
sasa huyo mwanao akirudi mzigo siutakuwa umekwenda zake?
 
Ongeza asali mbichi....tafadhali iwe mbichi usinunue uchochoroni wamechakachua....gonga kijiko kimoja cha chai daily utanipa taarifa.....wala usiende kwa maprofesa uchwara wakule feza....asali kiboko. Kwenye uganga wa babu alikuwa akiweka asali kidogo ktk dawa zake na hii ilimpa umaarufu hadi alipoamua kuwa mkristo na kuacha kudanganya watu.
 
kula tikiti maji na mbegu zake,

Wewe mjanja sana.
Lakini mtoa mada asijidanyanye kwa kufanya hivi tu.

Tikiti maji lina Nitric Oxide ambayo husafisha damu
na kuifanya iwe rahisi kusafirishwa mwilini kwa haraka.

Hivyo ukiwa na hamu na tendo la ndoa,moyo wako hautakua na shida sana kusukuma
damu kwenda uuumeni na uume uka simama kwa mda mrefu.

Ninacho sema asijidanganye kwa hili tu ni kwa sababu,hii haitegemei kitu kimoja tu.
Fanya mazoezi,kisha kula vitu kama hivi utatengeneza afya yako vizuri na hautokua na
matatizo kwenye 6*6
 
xaxa kaka mbegu untafuta au vp?

Nope,zimeze tu kawaida,kutafuna kama unaweza tafuna lakini ladha yake
hauta ifurahia,.....zinaweza sagwa vizuri sana huko ndani ya mwili wako so sio
lazima utafune.

Wengi sana,99% wanatema mbegu za tikiti,....hivyo wanapata 40% ya tikiti lenyewe
kwa kuacha mbegu zake.
 
mi sihitaji kula vyakula fulani....nikiona hata goti tu la mke wangu nguvu za kiume zinakuja zenyewe!!!mpende mkeo,tamaa zako zote zielekeze kwa mkeo...maguvu ya kiume yatakuja tu!
 
Tafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo

ndo ana jifunza mapenzi huyu,...
Au ana angapia picha za matusi sana anataka awe kama wao
 
Back
Top Bottom