Mwitakesowani
Member
- Jul 24, 2012
- 94
- 29
duh! Nitajaribu kufuatilia but ngoja nijaribu hiyo asali na mdalasin kama wengi walivyo sema
mkuu tupe feedback imekusaidia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! Nitajaribu kufuatilia but ngoja nijaribu hiyo asali na mdalasin kama wengi walivyo sema
wanaume,kazi mnayo.hii yote kwa ajili ya kuturidhisha tu.ahsanteni kwa hilo
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
xaxa kaka mbegu untafuta au vp?
ndio huo mtama mwenkundu.
Na akihangaika kwenda choo ndio nguvu zinakuwa nyingi maana presha yooote inaelekea Front View.
Dawa simple, nenda bahari ya hindi tafuta kisiwa kisichokaliwa na watu, weka masikani yako hapo kwa mwaka mmoja. utashangaa ukitoka huko utakuwa na nguvu za ajabu. Kwa ufupi matibabu ya kukosa hizo nishati za kiume ni ya kisaikolojia zaidi.
...ongeza 'brown bread' na siagi ya karanga mkuu, pia asali mbichi.mazoez hapa kitengo me nafanya mazoez daily
Tumia vitu hivi;
Maji mengi
Tikiti maji pia tafuna mbegu zake
Taboga
Korosho
Maziwa fresh
Karanga
Ndizi
Ila nakushauri upunguze mawazo
I thought umeandika 'kongosho' badala ya 'korosho'
kula tikiti maji na mbegu zake,
xaxa kaka mbegu untafuta au vp?
m2 wngu hali mbay mana naona cku hz bao 2 nmechoka et
guyz naomba mnitajie vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Tafuna vutunguu saumu na vitunguu maji,tikiti maji na mbegu zake tafuna usiziteme,tangawizi kwa sana,karafuu.mbona wengi e wanapiga hako kamoja tu wanaridhika na hawaoni tabu wewe mbili unalalamika unataka ungoe hapo