Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

Huna stress? Haubet? 😂
Haaa mkuu stress sina ila huwa Na beti.Jana nilibeti mechi moja tu nikampa Liverpool ashinde 7:0 nikaweka elfu 20. Sijauangalia ule mkeka Na matokeo sijui
Kapime kwanza pressure yako leo halafu ulete mrejesho tukupe maelekezo...
Mkuu sina presha
 
Kilo 70 , tatizo limenitokea week iliyopita Na Jana likajirudia.Sina magonjwa mengine ( sijau kama kitambo ni ugonjwa maana ninacho)
Kwanza nikuhakikishie kuwa hakuna mwanamme ambaye kila siku huwa yupo kamili kwa 100%, harakati za maisha ya kila siku huathiri kwa kiasi fulani mifumo tendaji ya mwili hivyo hali hii inaweza kumtokea pia mwanamme yeyote yule (Japo inaweza isiwe kwa ukubwa uleule kama wako).

Kwa hatua ya sasa, kwa kuwa ndio kwanza limetokea juzi tu, jipe muda na jitahidi kusahau. Kama bado una wasiwasi unaweza kusitisha kidogo ushiriki wa tendo hilo ili saikolojia yako ikae sawa, baadae jaribu tena. Visa vingi vya aina hii hupona vyenyewe baada tu ya kukaa sawa kisaikolojia na kujipa muda.

Kama litaendelea tena bada ya kufuata maelekezo haya rudi hapa ulete mrejesho, tutapeana mbinu mbadala za kulikabili.

Kwa hatua ya sasa usilazimishe sex, kula vizuri, kunywa maji mengi, punguza mawazo na pata muda wa kupumzika.
 
Kwanza nikuhakikishie kuwa hakuna mwanamme ambaye kila siku huwa yupo kamili kwa 100%, harakati za maisha ya kila siku huathiri kwa kiasi fulani mifumo tendaji ya mwili hivyo hali hii inaweza kumtokea pia mwanamme yeyeote ile (Japo inaweza isiwe kwa ukubwa uleule kama wako).

Kwa hatua ya sasa, kwa kuwa ndio kwanza limetokea juzi tu, jipe muda na jitahidi kusahau. Kama bado una wasiwasi unaweza kusitisha kidogo ushiriki wa tendo hilo ili saikolojia yako ikae sawa, baadae jaribu tena. Visa vingi vya aina hii hupona vyenyewe baada tu ya kukaa sawa kisaikolojia na kujipa muda.

Kama litaendelea tena bada ya kufuata maelekezo haya rudi hapa ulete mrejesho, tutapeana mbinu mbadala za kulikabili.

Kwa hatua ya sasa usilazimishe sex, kula vizuri, kunywa maji mengi, punguza mawazo na pata muda wa kupumzika.
Wiki mbili zilizopita nilikojoa mkono kipindi uume umeanza kulegea ndani ya K , dah mkuu lile bao lilikuwa la moto Na wakati linakuja nilikuwa naungua kiasi.Baada ya kukojoa lile bao naona mlija urethira juu kabisa karibu Na kichwa kama kuna tone la bao linataka kutoka ila ndio inaishia hivyo hivyo ,Na inaunguza unguza kama lile bao.. Nilipokojoa mkojo wa kawaida haikutoka Na nilipopiga bao pia haikutoka.
 
Kilo 70 , tatizo limenitokea week iliyopita Na Jana likajirudia.Sina magonjwa mengine ( sijau kama kitambi ni ugonjwa maana ninacho)
Kula vizuri mkuu. Unapendelea kula vyakula gani?.. Achana na machips kula chakula kizuri kutokana na kipato chako.. ugali samaki, nyama, dagaa, mbogamboga, matunda kama ndizi, parachichi, tikiti, mbegu za maboga,karanga, juice ya tende, maji kwa wingi..

Punguza stress, kubet uko maana kwny maisha hazikosi. Jipe muda wa kuabstain sx for a while.... Na puchu pia uache😀😀

Endelea kujiangalia kama kuna any changes.. Asubuh subuh ile.. ukiamka huwa inakuaje? Kengele inalia or not.. 👀
 
Nikiamka full mnara 5G , Na hata nikiwa alone ni 5G ila sasa akinasa girl kuna mawili ,hali kujirudia au kula mzigo.Hivyo vyakula ndio vyangu ,nakula sana hivyo ,silagi chips mkuu
 
Back
Top Bottom