Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

Natatuaje mkuu?
Tafuta mwanasaikolojia,hilo tatizo unalitengeneza mwenyewe na kuli maximize..kabla ya kukutana na mwanamke unakuwa unawaza kama itasimama ama italala..mwisho sauti inayo sema italala inakuwa na nguvu zaidi..

Kumbuka kwenye mind unacho comand zaidi ndicho hutokea na kinakuwa chenye nguvu na kinachukua nafasi.hyo kitu inakuwa ni cycle again and again
 
Asante mkuu ,hawa watu nawapata wapi maana sijawahi kutana nao au kujua ofisi zao zipo wapi kwa hapa Dar
 
Mkuu chukua nondo hapa then Hilo tatizo utalisikia Kwa jirani.
1.tambua sio kila tendo mwanaume anaweza kuwa effiency 100% hutegemea na mood ya siku hiyo.
2.acha kukania/ pania tendo hasa unapopata appointment ya kupewa utelezi
3. Acha fikra kuwa upo week au huwezi kuperform vizuri ila tune akili yako kuwa iwapo utapewa utelezi basi unaukausha Kwa 100%
3. Acha kusoma au kufatilia mada zozote zinazohusu kutathimini uwezo wa mwanaume on bed au in short achana na mambo ya kusoma au kuangalia mada za ngono
4. Kuwa busy na mambo mengine kama kukuza uchumi, kufanya mazoezi na ku share idea mbalimbali na washikaji zako za kimaendeleo
5.tafuta mwanamke wako au oa mke ambae muda wowote ukitaka utelezi anakupa mfano kama ni asubuhi mnara upo 5G unamgeuza unazamisha hogo, hii itakujengea confidence na kupanguza msongo wa kujiona upo week.
6.kula vizuri na furahia maisha yako
7.muda mwingi discus na mke/utelezi wako kuhusu maisha au kuongeza uchumi na sio mada za mapenzi, tendo litakuja automatically lenyewe.
7.acha kugonga porn star Bali tafuta mwanamke ambae hata ukimla kidogo Hana makuu, hii itakujengea kujiamini na hatimae utatamani kuwafata hao porn star kujipima msuli wa kukausha utelezi.
 
Wewe Toa ushauri mkuu. [emoji16][emoji16]
Tatizo lake lazima lingeambata na yeye kuulizwa maswali. Ilo ndio dhumuni la kuuliza hivyo, tusije kumuhoji, na yeye aende kuhoji then ndio arudishe majibu.

Nadhan tumeelewana. Alaf hata ww unaweza kutoa ushauri, bila hata kujali wengine wameandika nn
 
Back
Top Bottom