Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

Tatizo la uume kutokusimama muda mrefu pia unakuwa haujakaza sana

Pata mchemsho wa ndizi na samaki; kula matunda mchanganyiko; fanya mazoezi ya kukimbia, ukilala usiku usivae nguo zinazobana; tatizo litakuwa limeisha
 
Puchu mkuu inaathiri wanaume wengi sana.. Effect yake inalegeza ule mshipa mkubwa inacause soft erection na premature ejaculation akiwa na mwanamke.. Ndo yale mambo ya 30 secπŸ˜‚πŸ˜‚
It seems uko vzr kwenye maswala ya kisaikolojia. Nahitaji mwanasaikolojia, nina msongo wa mawazo, pia nahitaji ushauri kwenye mambo fulani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Puchu mkuu inaathiri wanaume wengi sana.. Effect yake inalegeza ule mshipa mkubwa inacause soft erection na premature ejaculation akiwa na mwanamke.. Ndo yale mambo ya 30 secπŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mkuu hapa utamsaidiaje?
 
Back
Top Bottom