Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

Tuletee hizo ajira zinazohusu hao vijana wa oil and gas pipeworks.
 
Vijana wewe na extra soft skills za kuwasaidia endapo changamoto za ajira zinapotokea.ni fikra potofu kusoma ili kuajiriwa ni lazima vijana watafute njia mbadala endapo wakikosa ajira mfano ujasiliamali, uandishi sanaa kilimo nk
Hii unayofanya hapa ni transfer of responsibilities na direct kuwatwika mzigo vijana. Kuna upungufu wa nafasi za ajira nchini ila katika hii sekta hakuna ajira kabisa, ni bora waifute tu ijulikane hii sekta haipo kuliko kuendelea kusoma kitu ambacho serikali haina mpango nayo.

Ndio vijana wanapaswa kujiongeza ila hii course ifutwe tu.
 
Yaani mtu anaacha courses za mtoto wa mkulima anaenda kusoma vitu vigumu ???

Udaktari
Kilimo
Ualimu
 
Ud, Petrol. Eng. ilikua hot kinoma, ni intake ya vipanga tu, na wako wachache, nyie mpo 50, wao wapo 15

picha linaaza PT jamaa kapangiwa Urafiki Textile Mills, baada ya graduu jamaa kala benchi kitaa
 
Wazazi hamtumii Akili course za maana zinajulikana sasa mnakuwa na over expectations Hadi mnaboa


Soma udaktari
Soma kilimo
Somo ualimu

If wewe Ni mtoto wa masikini
 
Ud, Petrol. Eng. ilikua hot kinoma, ni intake ya vipanga tu, na wako wachache, nyie mpo 50, wao wapo 15

picha linaaza PT jamaa kapangiwa Urafiki Textile Mills, baada ya graduu jamaa kala benchi kitaa
Lakini unadhani inashindikana kumpeleka huyo mtu kwenye mafuta na gesi? Au kuna mahala mambo hayapo sawa.
 
Mkuu huyo kijana ni bright na skilled?.mbona kazi za gas&oil zimejaa dunia nzima mwambie aombe nje ya tz..inashangaza sana vijana potentials kukomaa na kuajiriwa na Gov ambapo malipo ni kidogo wakati nchi nyingine fursa ni nyingi sana kwa skilled people.
 
Achana na haya mawazo. Unatakiwa kuiambia serikali jambo la kufanya. Usijiangalie wewe kama wewe. Hapa tunatajadili kwa mstakabali wa taifa letu.
Serikali ndo Mimi na wewe

Hiyo petrol na Gas sio fani ya kusoma mtoto wa masikini since day one mm Jamaa yangu kakaa benchi na kasomea misri juzi tu ndo kapata shavu hapo Arusha
 
Sio mawazo ni hali halisi tunaiona mtaani, wengine ndugu zetu,marafiki.....watu wa karibu
Unatakiwa kutoa ushauri kulingana na miradi iliyopo. Miradi ya, mafuta na gesi si unaiskia kila siku. Nafasi za kazi zinapelekwa wapi?
 
Ud, Petrol. Eng. ilikua hot kinoma, ni intake ya vipanga tu, na wako wachache, nyie mpo 50, wao wapo 15

picha linaaza PT jamaa kapangiwa Urafiki Textile Mills, baada ya graduu jamaa kala benchi kitaa
[emoji3][emoji3][emoji3] Urafik textile duuuu! Nlifanya field hapo miaka kadhaa nyuma!
 
Elimu ya bongo haipo competence
 
Dogo wako ni smart sana !! Hyo course ni ngumu kama katoboa ni kichwa sana..yule Ontario na kizungu chake chote masomo yalimshinda akakimbia kweny forex alikuwa na sup mpaka anoona noma..hiyo course ni balaa yaani wanaosoma wako nondo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…