Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Tuletee hizo ajira zinazohusu hao vijana wa oil and gas pipeworks.Kwa sasa haihitaji kuwa bright kusomea hizi kozi mtu anamaliza zake form 4 anaenda kusomea oil and gas pipeworks diploma hapo anakuwa sponsored na serikali anamaliza anaenda kuchukua uzoefu kwa cheti chake cha diploma .
Anamaliza anaenda kitafuta degree akiwa na kazi tayari KIKUBWA KWA SASA WANAOKOSA AJIRA NI WALE WALIOPOITA DIRECT YAANI FORM 6 KISHA WAKAENDA KUCHUKUA DEGREE sasa wakirudi kitaa ajira zinatoka ni DIPLOMA NA VETA ila pole sana mkuu atapata tu aangalie ishu nyengine .