Use the brain before spewing out trash , use your brain and not ass to think ,Wewe ndo akili yako ndogo kwani umeshindwa kuelewa theme ya submission yangu!
Nimetoa Mfano wa darasa la saba wanavyojiongeza kukabiliana na changamoto ya ajira! Wasomi mnalilia ajira za Serikali .
Dunia ya leo yeyote anaweza ku-create ajira siyo lazima Serikali!
Tatizo lenu mmekuwa mentored kuwa job seekers badala ya job creaters! Poor you!
Wewe Job creator unecreate jobs ngapi mpaka sasaWewe ndo akili yako ndogo kwani umeshindwa kuelewa theme ya submission yangu!
Nimetoa Mfano wa darasa la saba wanavyojiongeza kukabiliana na changamoto ya ajira! Wasomi mnalilia ajira za Serikali .
Dunia ya leo yeyote anaweza ku-create ajira siyo lazima Serikali!
Tatizo lenu mmekuwa mentored kuwa job seekers badala ya job creaters! Poor you!
Watu wanafikiri hivi vitu ni rahisi rahisi sanaNitoshe kusema ewe kijana ambaye hujaenda chuo.....kabla ya kuapply fani fanya uchunguzi kwanza sio unaapply kwa kufuata mkondo.....!! Fani nzur kwa sasa ni
1) Ualimu wa awali shule ya msingi
Naweza sema hii ndio top inayohit kwa sasa mana serikal inawahitaji hawa kila shule na ni koz iliyoanzishwa mwaka juz watu wanakula ajila kaz yako kucheza na watoto wa chekechea mpunga unaingia hafu hauna daftar za kusahihisha. Pia waweza kujiajil kwa kuanzisha day care center ambazo kwa sasa zinalipa kutokana na watu kutokuwa na muda wa kuwalea watoto wao
2) Fani za kompyuta(all field)
Now tunaenda ulimwengu wa kidgtal tunahitaji wataaalamu weng wa kompyuta na hata serikal inampango wa kuanzisha koz za kompyuta kuanzia shule za msing na sekondar na uzuri vtabu vya ICT vimeshapokelewa na mashule wanaosubiriwa wataalamu. Hii pia unajiajil kama web developer na hata kutengeneza app janja kwa ajil ya kukuongezea kipato!
All in all aliyesomea field inayohusiana na kompyuta hafu akalalamika amekosa ajila ntamshangaa sana...!
3) Mechanical engineering(field zote). Nayo iko poa mana waweza kujiajil na kupata kipato! Watu wanazid kununua magar basi nawale wanaotengeneza wanatakiwa sana na hii kaz inaapply kwenye viwanda vyote unavyovjua lazma mechanical engineer wapo!
NB
Kama nngepata muda wa kuchagua now nngesoma mojawapo ya hizi kozi hasa compyuta
Nafikiri mjadala tuufungie hapa.Hilo ni moja lakini la pili, ni kwamba kuna mahali tunakwama kama nchi,
Jiulize ni kwa nini kila uchao serikali inaongeza mamlaka ambazo wafanyakazi wake wanalipwa pesa
kubwa tofauti na sekita nyingine za serikali/umma zilizokuwepo tangu enzi ya uhuru?
Mfano: Zamani tulikuwa na Sumatra,imegawanyika na kuzaa Latra,EWURA imezaa PURA,tuna mamlaka ya hali ya hewa,tuna mamalaka ya mawasiliano TCRA,Mamlaka ya mapato TRA na nyingine unazozijua
sasa fanya homework yako tafuta mishahara yao,ilinganishe na ya watumishi wengine wa umma.
Ukiishapata jibu hutashangaa kuona vijana wanahitimu kwenye fani muhimu kama hiyo ya mafuta na gesi
na bado wanaishia kulanda landa mitaani.
Maswali ukiwa nje ya system yanakuwa mengi ila ukiingia ndani
mnato wa asali unakufanya ushindwe kutikisa mbawa .na wewe unaanza kuomola kwa meno
na ukinogewa na maneno mdomoni unaishiwa unabaki kukodoa jicho ukiwa kwenye gari lenye kiyoyozi.
ππππππNafikiri mjadala tuufungie hapa.
Kusoma kozi nyingi ndio mtaala unaotakiwa boss.Mwanafunzi wa COET pale UDSM analazimishwa asome zaidi ya kozi 13 hadi 15 kwa semister moja ,unategemea atakuwa competent kweli?? Kuna jamaa zangu walikuwa pale COET walikuwa wakinambia kuwa wao wanachagua tu kozi 8au 9 za kuzifanyia mtihani zinazobaki wanaingia chumba cha mtihani ilo waandike majina tu kisha wanatoka wakijua kuwa ni sup so watakwenda kusapua kwenye september conference.
Mama alitoa hotuba nzuri sana mpaka nilimnyoshea mikono.View attachment 2403615
Leo November 1
Mafuta na gesi sio huko baharini tu. Oil and gas ni pana sana. Kwa Tanzania nafasi za oil and gas iko PURA, TPDC, TPA, EWURA, TBS, Kwenye vyuo vikuu na vyuo vingine mbalimbali, REA. Sidhani kama kuingia kwenye hizo taasisi unahitaji hivyo vyeti. ππππMkuu kama ulivyokazia jambo la Safety training courses ni mandatory ni jambo muhimu hata kama ungekuwa muhandishi tu wa habari labda utatumwa kufanya coverage ya offshore project.
1.Kwanza hutaruhusiwa kupanda hiyo chopper unless una valid certificate ya HUWET.(Helicopter Under Water Escape)
2.Ukiweza kufika huko kwenye oil fields LAZIMA ufanyiwe debriefing na Safety officer na ajilidhishe kama huyo journalist amekidhi viwango vya kufanya tour ndani ya Platform hiyo.
Tukirudi kwenye kazi za offshore,Jambo la Safety ndio kitu kikubwa na kinachosisitizwa sana kuliko jambo lolote.
1.Safety kwa mtu mwenyewe.
2.Safety kwa mitambo
3.Safety for Environment
Kukamilisha hayo mambo matatu ni kila sekunde,kila dakika,kila saa,kila siku hadi unapoenda likizo au mnapomaliza project.
Ikija tokea INCIDENT na ikadhibitishwa,ni jambo lisilokubaliwa,lakini likitokea kuna procedures za kufuatilia chanzo au probable causes kwa kutumia Y tree system, na kutafuta njia ya kudhibiti hilo jambo lisitokee tena.
Ili kupunguza sintofahamu hatufanyi kazi kwa kukurupuka au kujikomba,la hasha.
Kwanza kuna planning ya kazi unayotaka kufanya,Pili unatengeneza procedures yaani hatua kwa hatua ya kufanya kazi hiyo,tatu kuna Risk assessment katika kila hatua ya kuifanya kazi,na namna kupunguza au kuondoa kabisa risk,ndio itoke
kibali yaani Permit to Work tena kwa muda kadhaa kwa siku hiyo.
Bado kuna safety drills nyingi tu kwa uchache 40 drills kila kwa mwezi ,baadhi ya common drills.
Fire Fighting on board drill
Man overboard
Abandon the Platform or Rig
Pollution to contain drill
General Alarm drill
Rescue boat drill
H2S drill
Security drill
Safdty ndio msingi wa kazi offshoe sababu ya mazingira yake hatarishi.
Kwa kusisitiza safety,angalau kila week by observation ugundue jambo au kitu kisicho salama, unamtaadharisha huyo mtu,una kireport bila kumtaja jina mtu kwa maandishi tunaita Behavior Based Safety( BBS).
Kwa kumalizia tu Safety haikwepeki katika offshore sio option ni jambo la msingi na lazima.
Kwanini boss ππππHii naifanya kuwa post ya Desemba 2022
mbona wao wazungu wanaajiri wazungu wenzao wasiokuwa na uzoefu. punguza mihemko huna unachokijua kwenye hii sektaHata kama mimi ndio mzungu siwezi kuajiri mtu ambaye hana uzoefu au ujuzi kwenye hizi kazi. Tembelea karakana za pale COET- UDSM...ni aibu wallahi.
Yaani karakana toka tulipozirithi kutoka kwa mkoloni muingereza mpk leo zipo vilevile. Hakuna teknolojia yoyote mpya halafu unategemea mwanafunzi akitoka pale akakabidhiwe kitengo kikubwa cha ufundi kwenye mradi wa ma trilioni?
Wanaongeaga tu bila kujua kiundanimbona wao wazungu wanaajiri wazungu wenzao wasiokuwa na uzoefu. punguza mihemko huna unachokijua kwenye hii sekta
Wajaribu MsumbijiNimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili:
Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu mwaka 2016.
Vijana wanahitimu lakini nafasi za kazi zinazotoka haziendani na idadi ya wahitimu.
Kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa lakini vijana hawa wa mafuta na gesi hawapati nafasi ya kwenye miradi hiyo.
Makampuni yetu ya serikali yakitangaza nafasi, zinazowahusu vijana wa mafuta na gesi zinakua ni chache sana hata kumi hazifiki.
Vijana wanazidi kuzeeka mtaani hawana pakujishikiza.
Viongozi wetu wanapaswa kuwatazama hawa vijana wa mafuta na gesi. Wengi wanajikatia tamaa kabisa hasa wanaposikia miradi inatangazwa kila siku ila ajira zinazotolewa na hiyo miradi hazihusu fani za mafuta na gesi.
Jamani jamani ni kweli keki ya mafuta na gesi ni tamu kiasi kwamba watu hupenda kung'ang'aniana lakini tunapaswa kuwapa ajira zao vijana hawa. Ajira zipo kote sekta binafsi na serikalini ila vijana hawa wanatengwa.
Serikali ingefanya jambo katika swala hili.
Mpaka nikawa najiuliza maswali ni kitu gani kinashindikana kuwaajiri vijana hawa. Walau ajira zilingane na idadi ya wanao hitimu kwasababu miradi tunaiskia kila siku.
Tuna mradi wa Helium. Na mingine mingi tu ya gesi na mafuta. Hivi ni kitu gani kinashindikana kuwakusanya hawa vijana wote wa mafuta na gesi na kuwatupia kwenye hiyo miradi.
Lakini wakati mwingine ikionekana fani zimeshakua na idadi kubwa ya wahitimu, pia ni jambo jema kuzibadilisha fani hizo ili ziendane na soko la ajira.
Hii ni orodha ya makampuni ambayo vijana wa mafuta na gesi wana nafasi ya kuajiriwa hapa Tanzania.
Ahsante sana
- Shell Tanzania
- Total Tanzania Ltd
- East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project In Tanzania
- Swala Oil and Gas Tanzania Plc
- Statoil Tanzania Limited
- Ndovu Resources Ltd/Aminex Plc
- CAROIL(T) limited
- Equinor Tanzania
- Songas Limited
- Dodsal Resources & Mining Itingi (Tanzania) Pvt. Ltd
- Maurel exploration Production Tanzania Limited
- Artumas Energy Ltd. (Wentworth Resources Limited)
- Lake Oil Ltd.
- Pan African Energy Tanzania Ltd
- Heritage Oil Tanzania Ltd
- Tanzania Petroleum Development Corporation
- Orca Exploration Group Inc.
- Petrofuel
- Barkat Gas
- Oilcom (T) Limited Terminal
- Swala Oil and Gas (Tanzania) PLC (SOGTP)
- State Oil
- Halliburton
- Aminex PLC
- Oryx Energies
- Lake Group
- PUMA
- MOGAS
- VIVO Energies
- TPDC
- EWURA
- TBS
- PURA
- OIL COM
- N.K
mwenye uhitaji wa contact za Wakurugenzi Wakuu PURA(Eng.Charles Sangweni)EWURA-Eng.Modestus Lumato na TPDC Eng.Mataragio aje inbox nimpe amuombe msaada,acheni kulialia mitandaoni,connection ni kumtafuta boss moja kwa moja na kumuomba msaada wa kaziMafuta na gesi sio huko baharini tu. Oil and gas ni pana sana. Kwa Tanzania nafasi za oil and gas iko PURA, TPDC, TPA, EWURA, TBS, Kwenye vyuo vikuu na vyuo vingine mbalimbali, REA. Sidhani kama kuingia kwenye hizo taasisi unahitaji hivyo vyeti. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Boss unajua kazi za mitandao?? Hatujitaji connection za watu. Tupo hapa kuueleza umma ili tatizo lipate kutatuliwa kwa umma sio mtu mmoja mmoja. ππππHizo connection sio haja,mwenye uhitaji wa contact za Wakurugenzi Wakuu PURA(Eng.Charles Sangweni)EWURA-Eng.Modestus Lumato na TPDC Eng.Mataragio aje inbox nimpe amuombe msaada,acheni kulialia mitandaoni,connection ni kumtafuta boss moja kwa moja na kumuomba msaada wa kazi
Sidhani kama kuna haja ya kujaribu mataifa mbali wakati haya matatizo yanaweza kutatuliwa hapahapa. Hapo ni issue ya uongozi na Sera.Wajaribu Msumbiji
Kwa taarifa yako deposit kubwa ipo baharini ,na kwa sababu zilizo wazi.Mafuta na gesi sio huko baharini tu. Oil and gas ni pana sana. Kwa Tanzania nafasi za oil and gas iko PURA, TPDC, TPA, EWURA, TBS, Kwenye vyuo vikuu na vyuo vingine mbalimbali, REA. Sidhani kama kuingia kwenye hizo taasisi unahitaji hivyo vyeti. ππππ
Imefanyaje tenaDuh kozI hii
Kuna dogo jirani yangu anasomea petroleum engineering field chuo kiliwapeleka karakana ya tazara wakawa wanafanyishwa kazi za kuosha train