Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Nenda Hubert Kairuku kuna specialist wa ngozi. Huwa anakuwepo jmosi kuanzia saa tisa mchana. Vinatibika kabisa hivyo havinaga shida
nashkuru sana mkuu....nitafanya hivyo..
ok..pia shukrani kwa kunijuza..ratiba ya specialist...kuokoa muda.....
 
Pole sana ndugu;usiforce kunyoa.Kama vip achana na kunyoa.
daahh.....sasa kaka minywele tikatika...si nitakuwa kituko....??..
na shughuri zangu....muda wa kuhusika na kitana/shanuo sinaga.......

wacha nihangaike na tiba lakini sio kuacha kunyoa....[emoji1]
 
daahh.....sasa kaka minywele tikatika...si nitakuwa kituko....??..
na shughuri zangu....muda wa kuhusika na kitana/shanuo sinaga.......

wacha nihangaike na tiba lakini sio kuacha kunyoa....[emoji1]
Ata ukinyoa sio lazima kutumia viwembe,ukitumia tu mikasi juu kwa juu bila shaka haitadhuru.
 
Bro nunua dawa moja inaitwa mupirocin cream itakusaidia sana i had same problem kama hiyo saiv nimepona kabisa
 
msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo....wataalamu ngozi .....tusaidiane ushauri..
fb67a29b2bc6379009c4b258bf354c53.jpg
Kama una connection na mtu anaishi USA Muombe akutafutie after shave razor bump inaitwa TEND SKIN kichupa cha blue, Nilikuwa na shida ya razor bump kila dawa ilishindikana, nikapata mfadhili wa hiyo kitu ikawa tiba. Sasa hivi natumia spirit za kawaida saloon na nipo powa.
 
Mkuu kama unapendelea kunyoa dongo jaribu kuwa unaziosha vizuri na kuzikausha kidogo kwa kitaulo hii husaidia kulainisha nywele na nyembe kupita vizuri maana ukinyoa huku ziko kavu ndio husababisha vipele!
 
msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo. Wataalamu ngozi tusaidiane ushauri.
fb67a29b2bc6379009c4b258bf354c53.jpg
Pole sana...ushaur Wang nenda hospital wakachukue specimen kwenye usaha/pus wafanyee utafit yan culture/sensitivity + gram stain kujuwa ni jamii gan ya bacteria/fungal aliyepo apo maranyingi bacteria tunaye mpata baada ya utafit ni (staphylococcus aureus) inaonekana ni superficial infection.....pia watakupa na antibiotic za kutumia after culture/sensitivity +gram stain....utumiee kwa muda Wa week moja then uonee kama Luna maendeleo yoyotee.
 
Kuna clinic moja jina limenitoka. Iko baada ya hospital ya TMJ kama unaenda kawe. Nahisi yale maeneo yanaitwa kwa warioba. Kuna mtaalam wa ngozi anatibu iyo kitu simple kabisa. Nikikumbuka jina nitakuambia.
Au unaongelea ile ya wachina ITERNAL iko pale karibu na Tanesco
 
Au unaongelea ile ya wachina ITERNAL iko pale karibu na Tanesco
Inaitwa sanitaris clinic.. Iko ktk jengo la baraka tower. Ukipata TMJ. Maarufu kwa warioba. Ndugu zangu wawili walitibiwa pale wako poa. Mtaalam alidai ni matatizo ya tabia ya ngozi na sio bacteria.
 
Back
Top Bottom