Mimi mpaka Sasa naomba Magufuli a nisamehe yule Mzee lakini bado alipewa lawama na watanzania sisi Polepole amepotea unaona uwajibikaji uko wapi wa wananchi kumtafuta au kufungua mshauri mahakamani kila wilaya kila mkoa Ungekua na kesi ya kutamfuta Polepole Unafikiri serikali ingelala?Umajizima data ww ... Kipindi cha Jiwe ulikua wapi ww watz hatujapata kiogozi tu . JPM aaliwakalia kwenye koo watu ... Ilikua kazi kazi.
Haya lakini tar 29, wananchi tutamtoa madarakani kwa kupitia maandamano ya amaniMimi sina tatizo na Samia wananchi ndo hawajitambui
Hapana usiwasingizie waTz kipindi cha magu tofauti ilionekana kubwa sn tuWatanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alikua alivyokua anakosoa wakasema yuko ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua tanzania. Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama Tu
Just wait dude ,WaTZ washaamka usingiziniMimi sina tatizo na Samia wananchi ndo hawajitambui
Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alikua alivyokua anakosoa wakasema yuko ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua tanzania. Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama Tu
Unamfahamu Mvungi? unamfahamu Mwangosi tulia kaka watanzania sio wawajibikajiUtekaji na kuua wapinzani alianza magufuli ,binti chura amerithi tena na anaendeleza kwa kiwango cha SGR.
Enzi za Kikwete aliyetekwa ni mmoja tu Dr Ulimboka ila kuanzia JIWE hadi Binti Chura wa Samawati idadi ya waliotekwa na kupotezwa nia ZAIDI ya 1000.(Mkiru ilipoteza zaidi ya wananchi 350)
Nazungumzia utekaji ambao ni notable.Unamfahamu Mvungi? unamfahamu Mwangosi tulia kaka watanzania sio wawajibikaji
Subirini muone kwani Nepal waliwezaje na sisi tushindweHamna Uwezo huo