Una habari kuwa mama ako samia kutoka KUZIMU-KAZI meharibu vyombo vyetu vya usalama?Kama hutaki kulinganisha maovu vilevile usilinganishe na mazuri maana hivyo vitu vinaendana
Ukitaka kusifiwa kubali kukosolewa, sasa kwa mwendazake mnaimba nyimbo ya kuasisi miradi lakini nyimbo ya kuteka na kuua aliyoasisi mnakalia kimya na kuzima data
Kwangu mimi pia mtu aliyefanya maovu na kujisafisha kupitia maovu ya mtu mwingine huyo namuona hamnazo yani ni zero brain
Umemskia Mafwele kwenye audio inayosambaa kuwa amewateka mpaka maafisa wa JWTZ kisa wamechana bango la mama ako samia linalohusu huu uchafuzi unaoendelea?
Kwa kitendo cha mafwele kutamka wazi kuwa Captain Tesha ni muhuni na amewatia mbaroni askari wa JWTZ kinaonesha kuwa amepewa mamlaka makubwa sana na samia kiasi kwamba anaweza akalichezea mpaka jeshi letu kwa maana ya kuamua mwanajeshi gani aishi nani afe.... hili ni jambo ambalo wanajeshi wetu hawatalikubali hata kidogo na lazima watafanya jambo siku sio nyingi.
Mama ako samia kaleta mpasuko mkubwa sana kwenye vyombo vyetu vya usalama kwa ajili ya maslahi yake binafsi na mtoto wake abdul...
....halafu bado unamuona ni mtu wa maana?
Tanzania haijawahi kupata kiongozi wa ovyo na mjinga asiyekuwa na hata chembe ya uzalendo kama mama ako samia.
Yule hafai hata kwa kulumangira, ni nyie machawa tu aidha kwa sababu ya udini au maslahi binafsi ndio mnayemuona ni mtu wa maana, ninafurahi mwisho wake umekaribia.