GE2025 Tatizo la Watanzania ni Uwajibikaji hata aje Rais kutoka wapi bado atalaumiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naunga mkono hoja. Huwezi kuwa na jamii ya hovyo halafu ukategemea watendaji smart. Hao watendaji wanatokea miongoni mwa jamii ya hovyo.
Tukodi wazungu waje waongoze kwa mkataba wa miaka mitano.
 
Nashukuru umenielewa Magufuli alirudisha nidhamu kwa watumishi wa Umma na rushwa ikapungua sio Maendeleo yakaonekana baada ya kufariki tumerudi kule kule Uwajibikaji ndo tatizo
 
Umeanzisha uzi kumsifia mwendazake kiaina
Nashukuru umenielewa Magufuli alirudisha nidhamu kwa watumishi wa Umma na rushwa ikapungua sio Maendeleo yakaonekana baada ya kufariki tumerudi kule kule Uwajibikaji ndo tatizo
Magufuli nani bana acha kuongopea watu hakuna chochote alichokifanya zaidi ya misifa
 
unapata wivu akisifiwa marehemu?
Kipi kakifanya zaidi ya utekaji na misifa? Mtu kakanyaga katiba anaweka wasukuma wenzie kwenye vyeo tena kwa shift kwa lugha ya kitumbua wewe unaita uwajibikaji, uwajibikaji wa kuvunja katiba?!!!
 
unapata wivu akisifiwa marehemu?
Ukipima uzani wa kazi mama Samia yupo juu mara mia ya mwendazake sema watanzania mnapenda siasa za kinafiki na kifitini ukisikia katumbuliwa mtu wewe hutaki kujua ukweli wa mambo waamini propaganda za kisiasa

Kuhusu rushwa hakuna alichokizuia zaidi ya maneno jukwaani watu walikuwa wakipiga dili kuliko zama zingine za marais ilimradi tu umsifie sifie bwana yule usitudanganye kana kwamba wewe ndio ulikuepo pekeako kipindi cha mwendazake kuja kwa mama Samia ilikuwa faraja sana kwa watanzania ni vile tu chama ni chama hakina jipya
 
Nimesema kipindi cha magufuli na samia idadi ya watu waliotekwa na kuuawa ni zaidi ya 1000 ...Mkiru tu(MKURANGA,KIBITI na RUFIJI) kwa mujibu ya report ya uchunguzi iliyofanywa na ACT kupitia kwenda kuhoji wahusika ilipata majina zaidi ya 350 ya watu kutekwa na kuuawa(ipo mtandaoni fuatilia).

Wana mtandao walikuwa wabaya ila walikuwa wanatoana KAFARA wao kwa WAO ,walikuwa hawadili na wananchi wa kawaida unless uingie kwenye 18 za ulaji wao kwa kutumika na wabaya wao...Ukitumika na wabaya means ni ADUI yao....Walikuwa hawadili na wakosoaji wanaotoa maoni mitandaoni..Enzi za kikwete uhuru wa maoni ulikuwa mkubwa sana....Chaula ametoa maoni tu kwa kusema maisha magumu wamemuua.

Jiwe ndiyo aliyeanzisha UTEKAJI wa kasi sana ,huo ndiyo ukweli na utabaki kua ukweli ,hatupepesi macho wala nini ,ebu nitajie list ya watu 10 walioripotiwa kutekwa enzi za utawala wa nyerere,mwinyi ,mkapa na kikwete....Ukitoa list ya watu 10 mimi nakutolea mkeka wa watu 700 fasta waliotekwa na kuuawa kuanzia utawala wa JPM ambao unaisha nov 4 ,2025.
Akili zako ziko matakoni bwege wewe, kwa ukongwe wako humu nakuonaga una akili timamu kumbe ni kinabo tu mmoja mwenye funza kichwani.

Binafsi mtu yeyote anayelinganisha maovu ya awamu fulani na nyingine tena katika minajiri ya kuitetea awamu fulani kuonekana maovu yake yana nafuu mimi ninamuona ni MPUMBAVU sana na of course wewe unaangukia kwenys hili kundi.

Ni upumbav wa hali ya juu kulinganisha maovu na hasa yale yaliogharimu maisha ya watu, kwamba sijui fulani aliua sana kuliko fulani hivyo mauaji aliyofanya yana nafuu... ujinga huo.

Wewe unayetoa uhai wa watu 5 na mwenzako aliyetoa uhai wa watu milion moja, katika jicho la kibinadamu na haki hamna tofauti yoyote.. uhai haulinganishwi mpuuzi wewe

Mara nyingi huwa nawaona sana nyie watetezi wa wana mtandao mnaojiona watoto wa mjini mnakomaa sana kutoa takwimu za jiwe kuhusu utejaji, yaan utafikiri huo utejaji wenyewe umeisha na wakati ndio unazidi kushamiri...!!

Kwa mtu mwenye akili timamu kwa hali mbaya tuliyonayo wala hata asingekuwa na muda na huyo jiwe, badala yake angekuwa bize kukabiliana na situation ya kipindi hiki, maana hatujui nani ni next victim.

Siko hapa kutetea maovu ya huyo jiwe, unaweza kuendelea kutupa takwimu za huyo jiwe huku samia na genge lake wakiendelea na operation yao ya kumficha mmoja baada ya mwingine.
 
Ukipima uzani wa kazi mama Samia yupo juu mara mia ya mwendazake sema watanzania mnapenda siasa za kinafiki na kifitini ukisikia katumbuliwa mtu wewe hutaki kujua ukweli wa mambo waamini propaganda za kisiasa

Kuhusu rushwa hakuna alichokizuia zaidi ya maneno jukwaani watu walikuwa wakipiga dili kuliko zama zingine za marais ilimradi tu umsifie sifie bwana yule usitudanganye kana kwamba wewe ndio ulikuepo pekeako kipindi cha mwendazake kuja kwa mama Samia ilikuwa faraja sana kwa watanzania ni vile tu chama ni chama hakina jipya
Serious? Kuja kwa mama samia kumekuwa ni faraja kwa watanzania?

Samia huyu huyu ambaye watanzania wanaishi kwa hofu na wasi wasi wa hali ya juu, hawajui hata kama kesho wataamka salama?

Samia huyu ambaye kila mtu anajua yeye na mtoto wake wanamiliki magenge ya wauaji ndio unasema amekuwa faraja kwa watanzania?

Samia huyu ambaye chini ya serikali yake tunashuudia ufisadi wa kihistoria ukifanywa na familia yake pamoja na watu wa karibu ndio unasema amekuwa ni faraja kwa watanzania?

Samia huyu ambaye leo hii watumishi wa serikali wanafanya kazi kwa kujiskia, walimu wanaenda mashulen saa nne ndio unasema eti serikali yake ni bora mara 100 kuliko ya mtangulizi wake?

Samia huyu ambaye anakutana na tishio la kung'olewa madarakani na watanzania tena kwenye uchaguzi ndio unasema eti ujio wake ni faraja kwa watanzania?

Watanzania gani hao ambao wanamuona samia kama mfariji wao?

Eti faraja kwa watanzania, upumbavu mtupu. Nitajie raisi ambaye amewahi kukataliwa na watanzania hivi tangu tupate uhuru?

Na unavyosema chama ni chama una maanisha nini? Kama tatizo ni chama ameshindwa nini kukirekebisha yeye si ndio mwenyekiti?

Halafu unaongelea suala la kutumbuliwa kana kwamba ni baya sana, kwa hiyo kumbe hilo la mama ako samia kulea uzembe ndio linakufanya umuone yeye ni bora kuliko mtangulizi wake?

Mama ako samia anaelekea kumaliza kampeni kwenye uchaguzi ambao anashindana na kivuli chake, ila hata kwa bahati mbaya hajatamka neno ufisad,rushwa na utejaki.. hiyo inatupa tafsiri hivyo vyote amevibariki... halafu ndio unasema kuwa ujio wake ni faraja kwa watanzania?

Huna akili wewe... labda faraja kwa nyie machawa na familia zenu.

Kwa taarifa yako tu.. hiyo tarehe 29 ukichukua picha ya JPM kisha ukaishindanisha na mama ako samia, picha ya JPM itashinda kwa zaidi ya 60% licha ya mama ako kusambaza mabango yenye picha zake kila kona ya nchi mpaka kwenye vyoo vya stendi.
 
Kipi kakifanya zaidi ya utekaji na misifa? Mtu kakanyaga katiba anaweka wasukuma wenzie kwenye vyeo tena kwa shift kwa lugha ya kitumbua wewe unaita uwajibikaji, uwajibikaji wa kuvunja katiba?!!!

Kumbe inshu ilikuwa ni kuweka watu wa jamii yake kwenye vyeo sio?

Bila shaka sasa hivi una enjoy sana kumuona mama ako ambaye sio tu kwamba anaweka wazanzibar wenzake kwenye positions muhimu, bali anaweka watu wa familia yake na wengine ni wakwe zake, bila shaka kwa akili yako hii ni sahihi kwa sababu anayefanya ni mama ako samia.

Halafu unauliza kipi alikifanya na wakati mama ako karibu miradi yote anayojivunia ilianzishwa na mtangulizi wake, hivi unajielewa kweli?

Halafu unaongea kwa gadhabu kuhusu magufuli kukanyaga katiba, wakati huo ukimsifia samia, hivi kuna raisi ambaye ameidharau katiba yetu kama samia ambaye imefika stage anaiita ni "kijitabu tu"? Kuna raisi amewahi kuonesha dharau kama hizi?

Mbona mambo yanayokufanya umdiscredit mwendazake ndio hayo hayo ambayo tunaona yakifanywa na mama ako samia unayemsifia eti ujio wake ni faraja kwa watanzania?... hivi wewe una akili hata ya kuvukia barabara kweli?

Unaongelea utekaji na kupenda misifa kwa jiwe serious? Mbona huyu mama ako ndio kazidisha kupenda misifa anatoa mpaka rushwa kwenye vikundi vya watu vimsifie mitandaoni? Si bora hata jiwe alikuwa anapenda sifa kutoka kwa wanainchi sababu ya uchapakazi wake?

Kwenye suala la utekaji ni upumbavu kabisa wala sio la kuongelea...!! Ila mama ako katia fola kwa kumteka mpaka mtoto wa miaka 16 kisa tu alichana picha yake.

Mwisho, wewe kama walivyo machawa wenzako tu wa shetani samia ambao ni haters wa jiwe.. chuki zenu kwa jpm huwa zinatokana na sababu zenu binafsi wala hoja zenu za kumchukia hazina mashiko, maana mara nyingi mkitaja mabaya ambayo ni sababu tunayaona hata kwa kipenzi chenu samia kutoka kuzimu-kazi... hii inaonesha nyie ni wanafiki hamjielewi
 
Nimemuuliza swali kama Olimboka alitekwa kipindi cha JK kwanini Usema utekaji ulianza kipindi cha Magufuli? hajarudi bado
Kwanza kitendo tu cha kulinganisha maovu hasa mauaji na utekaji ya awamu fulani na awamu nyingine tena katika mlengo wa kuitakasa awamu moja wapo, huo ni upumbavu.

Wewe ukiua mtu mmoja na mimi nikaua watu elfu kumi, mbele ya mizani ya kupima haki wote sisi ni wauaji na hata hukumu yetu ni moja..!!

Huwa nawashangaa sana hawa walamba asali na watetezi wa wana mtandao, wanavyokomaa kuelezea matukio ovu ya awamu ya tano na kuzitakasa awamu zingine...

Mama yao samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuandika historia kma raisi bora wa muda wote, ila kwa ujinga na taama zake ukichanganya na akili ndogo amejikuta ana haribu kabisa na kuoneka raisi wa ovyo kuwah kutokea hapa nchin
 
Hapana usiwasingizie waTz kipindi cha magu tofauti ilionekana kubwa sn tu
Nashukuru nilisimama upande wa Magufuli wakati wake wote.
Nilitukanwa humu lakini rohoni na akilini kwangu niliona yeye alikuwa wa kipekee kulinganisha na waliotangulia.
Nimesimama na Nyerere pia maisha yangu yote. So kusema wao watakatifu hawakuwa na makosa bali walijitahidi sana.
 
Serious? Kuja kwa mama samia kumekuwa ni faraja kwa watanzania?

Samia huyu huyu ambaye watanzania wanaishi kwa hofu na wasi wasi wa hali ya juu, hawajui hata kama kesho wataamka salama?

Samia huyu ambaye kila mtu anajua yeye na mtoto wake wanamiliki magenge ya wauaji ndio unasema amekuwa faraja kwa watanzania?

Samia huyu ambaye chini ya serikali yake tunashuudia ufisadi wa kihistoria ukifanywa na familia yake pamoja na watu wa karibu ndio unasema amekuwa ni faraja kwa watanzania?

Samia huyu ambaye leo hii watumishi wa serikali wanafanya kazi kwa kujiskia, walimu wanaenda mashulen saa nne ndio unasema eti serikali yake ni bora mara 100 kuliko ya mtangulizi wake?

Samia huyu ambaye anakutana na tishio la kung'olewa madarakani na watanzania tena kwenye uchaguzi ndio unasema eti ujio wake ni faraja kwa watanzania?

Watanzania gani hao ambao wanamuona samia kama mfariji wao?

Eti faraja kwa watanzania, upumbavu mtupu. Nitajie raisi ambaye amewahi kukataliwa na watanzania hivi tangu tupate uhuru?

Na unavyosema chama ni chama una maanisha nini? Kama tatizo ni chama ameshindwa nini kukirekebisha yeye si ndio mwenyekiti?

Halafu unaongelea suala la kutumbuliwa kana kwamba ni baya sana, kwa hiyo kumbe hilo la mama ako samia kulea uzembe ndio linakufanya umuone yeye ni bora kuliko mtangulizi wake?

Mama ako samia anaelekea kumaliza kampeni kwenye uchaguzi ambao anashindana na kivuli chake, ila hata kwa bahati mbaya hajatamka neno ufisad,rushwa na utejaki.. hiyo inatupa tafsiri hivyo vyote amevibariki... halafu ndio unasema kuwa ujio wake ni faraja kwa watanzania?

Huna akili wewe... labda faraja kwa nyie machawa na familia zenu.

Kwa taarifa yako tu.. hiyo tarehe 29 ukichukua picha ya JPM kisha ukaishindanisha na mama ako samia, picha ya JPM itashinda kwa zaidi ya 60% licha ya mama ako kusambaza mabango yenye picha zake kila kona ya nchi mpaka kwenye vyoo vya stendi.
Punguza jazba na usome andiko kwa uelewa, ukielewa utapunguza chuki na makasiriko

Hayo hayo unayosema yanafanyika kipindi hiki cha Samia kwa mwendazake yalikuwa mara mbili yake, watu waliishi kwa hofu sio wapinzani tu hata watu wa kawaida viroba kila siku viliokotwa baharini, kupigwa mtu risasi hadharani tena sehemu ya makazi ya viongozi

Watu wa mwendazake walikuwa na viburi kiasi kwamba kumuonesha mtu bastola hadharani ilikuwa kwao si shida kumbuka ya nape, kule hai watu walikuwa wanatobolewa na spoku za baiskeli zilizowekwa kwenye Moto ukatili wa namna gani huu

Manji alikimbia nchi, Mo alitekwa hizi zote zilikuwa sarakasi za kuwapiga plea bargaining ila kwako wewe mtanzania masikini ulimezeshwa eti ni mafisadi na ukameza hizo propaganda za kijinga

Kuhusu kukimbia nchi Roma, lema na wengine wengi waliikimbia nchi kipindi cha mwendazake, kuteka na kuua watu mwasisi wa haya magenge alikuwa mwendazake ila hamlisemi hili mnaona tu uasisi wake wa miradi pekeake

Kiujumla kipindi kile hali ilikuwa inatisha Sana, tena Sana na kusema kwangu Samia alikuwa faraja ni pale tu alipoingia madarakani watu walipata kupumua hadi walioihama nchi wakarudi ila nikasema NI VILE TU CCM NI CCM HATA MALAIKA AWE RAIS KUPITIA CCM MUDA MFUPI ATAKUWA SHETANI na huo ndio ukweli ila kwa udini uliokujaa huwezi kulikubali hili
 
Kumbe inshu ilikuwa ni kuweka watu wa jamii yake kwenye vyeo sio?

Bila shaka sasa hivi una enjoy sana kumuona mama ako ambaye sio tu kwamba anaweka wazanzibar wenzake kwenye positions muhimu, bali anaweka watu wa familia yake na wengine ni wakwe zake, bila shaka kwa akili yako hii ni sahihi kwa sababu anayefanya ni mama ako samia.

Halafu unauliza kipi alikifanya na wakati mama ako karibu miradi yote anayojivunia ilianzishwa na mtangulizi wake, hivi unajielewa kweli?

Halafu unaongea kwa gadhabu kuhusu magufuli kukanyaga katiba, wakati huo ukimsifia samia, hivi kuna raisi ambaye ameidharau katiba yetu kama samia ambaye imefika stage anaiita ni "kijitabu tu"? Kuna raisi amewahi kuonesha dharau kama hizi?

Mbona mambo yanayokufanya umdiscredit mwendazake ndio hayo hayo ambayo tunaona yakifanywa na mama ako samia unayemsifia eti ujio wake ni faraja kwa watanzania?... hivi wewe una akili hata ya kuvukia barabara kweli?

Unaongelea utekaji na kupenda misifa kwa jiwe serious? Mbona huyu mama ako ndio kazidisha kupenda misifa anatoa mpaka rushwa kwenye vikundi vya watu vimsifie mitandaoni? Si bora hata jiwe alikuwa anapenda sifa kutoka kwa wanainchi sababu ya uchapakazi wake?

Kwenye suala la utekaji ni upumbavu kabisa wala sio la kuongelea...!! Ila mama ako katia fola kwa kumteka mpaka mtoto wa miaka 16 kisa tu alichana picha yake.

Mwisho, wewe kama walivyo machawa wenzako tu wa shetani samia ambao ni haters wa jiwe.. chuki zenu kwa jpm huwa zinatokana na sababu zenu binafsi wala hoja zenu za kumchukia hazina mashiko, maana mara nyingi mkitaja mabaya ambayo ni sababu tunayaona hata kwa kipenzi chenu samia kutoka kuzimu-kazi... hii inaonesha nyie ni wanafiki hamjielewi
Ukiongea vitu kwa fact unaitwa chawa, yani watu wa mwendazake mnataka muonekane nyie mlikuwa bora kuliko wengine na mfu wenu alikuwa hana hata doa. Yani mnatumia madoa ya wenzenu kujisafisha kitu ambacho haiwezekani maana huwezi kufuta historia kwani haiandikwi huwa inajiandika yenyewe

Mimi simsifii mtu hapa tena sio mpenzi hata wa siasa na sina hata rais niliyowahi kumkubali ndani ya ccm, unachokifanya wewe ni kama cha polepole yeye ndio aliohusika kuanzia uhuni huu asaivi umemrudia mwenyewe analia

Mwendazake hakuanzisha miradi tu, bali aliasisi na makundi ya utekaji ambayo vyote kwa pamoja rais aliepo madarakani sasa kavirithi

Kuhusu miradi mingi aliiacha ikiwa asilimia 30% ambapo sasa mingi imekamilika sasa katika hilo, asilimia 30% na 70% zilizobaki nani yuko juu ya mwenzake aliemalizia au alieanzisha? Jijibu mwenyewe mimi sihitaji jibu

Na vilevile, mwendazake aliasisi makundi ya utekaji, aliepo madarakani pia ameyarithi na kama kawaida muasisi alifanya kwa asilimia kadhaa kuteka na kuua mrithi anaendeleza asilimia zilizobaki hata mjisafishe vipi watu wa mwendazake huu ndio ukweli
 
Akili zako ziko matakoni bwege wewe, kwa ukongwe wako humu nakuonaga una akili timamu kumbe ni kinabo tu mmoja mwenye funza kichwani.

Binafsi mtu yeyote anayelinganisha maovu ya awamu fulani na nyingine tena katika minajiri ya kuitetea awamu fulani kuonekana maovu yake yana nafuu mimi ninamuona ni MPUMBAVU sana na of course wewe unaangukia kwenys hili kundi.

Ni upumbav wa hali ya juu kulinganisha maovu na hasa yale yaliogharimu maisha ya watu, kwamba sijui fulani aliua sana kuliko fulani hivyo mauaji aliyofanya yana nafuu... ujinga huo.

Wewe unayetoa uhai wa watu 5 na mwenzako aliyetoa uhai wa watu milion moja, katika jicho la kibinadamu na haki hamna tofauti yoyote.. uhai haulinganishwi mpuuzi wewe

Mara nyingi huwa nawaona sana nyie watetezi wa wana mtandao mnaojiona watoto wa mjini mnakomaa sana kutoa takwimu za jiwe kuhusu utejaji, yaan utafikiri huo utejaji wenyewe umeisha na wakati ndio unazidi kushamiri...!!

Kwa mtu mwenye akili timamu kwa hali mbaya tuliyonayo wala hata asingekuwa na muda na huyo jiwe, badala yake angekuwa bize kukabiliana na situation ya kipindi hiki, maana hatujui nani ni next victim.

Siko hapa kutetea maovu ya huyo jiwe, unaweza kuendelea kutupa takwimu za huyo jiwe huku samia na genge lake wakiendelea na operation yao ya kumficha mmoja baada ya mwingine.
Kama hutaki kulinganisha maovu vilevile usilinganishe na mazuri maana hivyo vitu vinaendana

Ukitaka kusifiwa kubali kukosolewa, sasa kwa mwendazake mnaimba nyimbo ya kuasisi miradi lakini nyimbo ya kuteka na kuua aliyoasisi mnakalia kimya na kuzima data

Kwangu mimi pia mtu aliyefanya maovu na kujisafisha kupitia maovu ya mtu mwingine huyo namuona hamnazo yani ni zero brain
 
Kwanza kitendo tu cha kulinganisha maovu hasa mauaji na utekaji ya awamu fulani na awamu nyingine tena katika mlengo wa kuitakasa awamu moja wapo, huo ni upumbavu.

Wewe ukiua mtu mmoja na mimi nikaua watu elfu kumi, mbele ya mizani ya kupima haki wote sisi ni wauaji na hata hukumu yetu ni moja..!!

Huwa nawashangaa sana hawa walamba asali na watetezi wa wana mtandao, wanavyokomaa kuelezea matukio ovu ya awamu ya tano na kuzitakasa awamu zingine...

Mama yao samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuandika historia kma raisi bora wa muda wote, ila kwa ujinga na taama zake ukichanganya na akili ndogo amejikuta ana haribu kabisa na kuoneka raisi wa ovyo kuwah kutokea hapa nchin
true
 
Nashukuru nilisimama upande wa Magufuli wakati wake wote.
Nilitukanwa humu lakini rohoni na akilini kwangu niliona yeye alikuwa wa kipekee kulinganisha na waliotangulia.
Nimesimama na Nyerere pia maisha yangu yote. So kusema wao watakatifu hawakuwa na makosa bali walijitahidi sana.
Exactly na watu wengi wamekuja kugundua Magufuli was the best baada ya haya madudu yanayoendelea
 
Punguza jazba na usome andiko kwa uelewa, ukielewa utapunguza chuki na makasiriko

Hayo hayo unayosema yanafanyika kipindi hiki cha Samia kwa mwendazake yalikuwa mara mbili yake, watu waliishi kwa hofu sio wapinzani tu hata watu wa kawaida viroba kila siku viliokotwa baharini, kupigwa mtu risasi hadharani tena sehemu ya makazi ya viongozi

Watu wa mwendazake walikuwa na viburi kiasi kwamba kumuonesha mtu bastola hadharani ilikuwa kwao si shida kumbuka ya nape, kule hai watu walikuwa wanatobolewa na spoku za baiskeli zilizowekwa kwenye Moto ukatili wa namna gani huu

Manji alikimbia nchi, Mo alitekwa hizi zote zilikuwa sarakasi za kuwapiga plea bargaining ila kwako wewe mtanzania masikini ulimezeshwa eti ni mafisadi na ukameza hizo propaganda za kijinga

Kuhusu kukimbia nchi Roma, lema na wengine wengi waliikimbia nchi kipindi cha mwendazake, kuteka na kuua watu mwasisi wa haya magenge alikuwa mwendazake ila hamlisemi hili mnaona tu uasisi wake wa miradi pekeake

Kiujumla kipindi kile hali ilikuwa inatisha Sana, tena Sana na kusema kwangu Samia alikuwa faraja ni pale tu alipoingia madarakani watu walipata kupumua hadi walioihama nchi wakarudi ila nikasema NI VILE TU CCM NI CCM HATA MALAIKA AWE RAIS KUPITIA CCM MUDA MFUPI ATAKUWA SHETANI na huo ndio ukweli ila kwa udini uliokujaa huwezi kulikubali hili
Wewe unastahili kutukanwa kila aina ya tusi matako ya bibi mpumbavu wewe....

....sasa hapa ndio umefanya nini zaidi ya kulazimisha kuitakasa hii serikali ya mama ako shetani la kizanzibari kutaja maovu ya mtangulizi wake?

Unaongelea suala la wanainchi kuishi kwa hofu, kwanini sasa hivi wanainchi hawaishi kwa hofu? Hivi Kuna kipindi ambacho wanainchi wanaishi kwa hofu kama sasa hivi ambapo samia kuna genge la samia linalofuatilia hadi comments za watu mitandaoni wanaoikosoa serikali? Imgane mama ako samia anateka mpaka watoto wa miaka 18 kisa tu wamesema ajiuzulu? Magufuli pamoja na ushetani wake uliwahi kuskia anaua hadi watoto kama anavyofanya samia?

Unaongelea akina Roma na Lema kukimbia nchi kwa ajili ya kuokoa maisha yao, kwani sasa hivi akina Maria Sarungi,Gwajima na huyo Roma mwenyewe wako wapi? Si wamekimbia nchi kwa ajili ya kuokoa maisha yao kutokana na kutafutwa na genge la wahalifu linalomilikiwa na mama ako samia?

Mbona unakuwa mpumbavu hivyo wewe? Yaani kabisa unahalalisha ushetani wa samia kwa kutaja ushetani wa mtu mwingine?

Magufuli katika upuuzi wake wote hakuwahi kufungia makanisa wala kuteka viongozi wa dini zaidi tu ya kuwapa jamba jamba, ila mama ako samia amethibutu mpaka kuteka mapadri na kisha genge lake linakuja kudanganya uma eti walijiteka!? Halafu unasema eti kipindi cha magufuli hali ilikuwa mbaya mara mbili ya sasa hivi una akili hata kidogo kweli wewe??

Nioneshe kanisa au mskiti ambao magufuli uligingiwa na magufuli kitoa huduma, kisha mimi nikuonesha makanisa 2000 yenye waumini zaisi ya milion 2 yaliyofungiwa na mama ako samia, kisha ndio uniambie ushetani wa samia una afadhari.

Mama ako shetani samia alitaka kumuua mpaka kiongozi wa TEC father Kitima kwa sababu za kipuuzi kabisa, haya wewe nionesha kiongozi wa dini ya kiislamu aliyetaka kuuliwa na genge la uhalifu linalomilikiwa na magufuli..!! Kisha ndio uje uni convice hapa eti kipindi hiki kuna afadhari kulinganisha na kipindi cha magufuli..!!

Unaongelea suala la Nape kuoneshwa Bastola na Lisu kupigwa risasi, kwanin mimi nimekwambia ninabariki hayo matukio au kufurahia kwa namna yoyote ile? Mimi ni mmoja ya watu ambaye nilimchukia sana magufuli kwa sababu tukio hilo la Lisu....

...Mimi sio mpumbav kama wewe ambaye unajaribu kutetea ushetani wa samia kwa kusingizia chama chake, eti "chama ni chama" pumbav kabisa.

Wakati unaongelea suala la Nape kuoneshwa Bastora, ongelea pia na suala la Polepole kutekwa na genge la Samia na kisha kupotezwa.

Wakati unaongelea suala la wasaidizi wa jiwe kuwa na viburi uongelee na suala la akina Mfwele kutoa vitisho vya kuwaua askari wenzake ambao wanaenda kinyume na chama tawala.

Yaan kabisa umekaza ****** eti kipindi cha jiwe hali ilikuwa mbaya kuliko sasa, na wakati kila mwenye akili timamu anajionea jinsi watu wanavyotekwa adharani bila kificho na tena wengine hawana hata madhara.

Magufuli licha ya upumbavu wake, ila hatukuwahi kuona wala kuskia akiua vijana wa miaka 18 kisa tu wameponda bango lenye picha yake.... huu ni zaidi ya ushetani uliofanywa na samia.

Samia na genge lake wanateka mpaka watu wasiokuwa na influence yoyote ya kisiasa kama Aunty Lulu na Niffer, halafu unasema eti unamtakasa kuwa bora ya yeye??

Leo hii jeshi la polisi limekabidhiwa mamlaka ya kutoa roho za watu na Samia.. halafu unasema eti sasa hivi tuko kwenye afadhar kiusalama?

Kabisa umeandika maelezo yote haya kutakasa utawala wa samia uliojaa damu na maovu ya kila aina eti una afadhari kuliko wa mtangulizi wake?... uliwahi kuona magufuli anateka mpaka wanaharakati wa nchi jirani na kisha kuwalawiti kama alivyofanya mama ako shetani samia kwa akina Boniphace Mwangi?

Kwangu mimi hao wote wawili ninawaona ni mashetani tu, japo huyo samia wako ndio shetani zaidi maana alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwasahaulisha watanzania machungu waliopitia awamu ya tano, ila badala yake yeye akaamua kufanya zaidi ya mtangulizi wake huku nyie machawa mkimkingia kifua na kutupa lawama zote kwa mtagulizi wake.

Wewe jamaa ni punguani, mjinga, huna elimu sahihi ya kiraia, na una upumbav wa kurithi....

Kuhusu udini, mimi hata sio mdini na chuki zangu kwa samia hazina uhusiano wowote na dini yake...

..sema nilichokiona nyie wafuasi wa dini ya samia wengi ni wapuuzi sana, na hii karata ya udini huwa mnapenda sana kuitumia mnapokuwa mna mtetea samia hili kuficha udini na chuki mlizonazo wa wakristo.

Mabaya ya magufuli huwa ninayongelea bila kupepesa, wala sina utetezi wa kipumbav kama nyie watetezi wa shetani samia mnavyomuona ni malaika na makosa yote mnamuangushia mfu.
 
Ukiongea vitu kwa fact unaitwa chawa, yani watu wa mwendazake mnataka muonekane nyie mlikuwa bora kuliko wengine na mfu wenu alikuwa hana hata doa. Yani mnatumia madoa ya wenzenu kujisafisha kitu ambacho haiwezekani maana huwezi kufuta historia kwani haiandikwi huwa inajiandika yenyewe

Mimi simsifii mtu hapa tena sio mpenzi hata wa siasa na sina hata rais niliyowahi kumkubali ndani ya ccm, unachokifanya wewe ni kama cha polepole yeye ndio aliohusika kuanzia uhuni huu asaivi umemrudia mwenyewe analia

Mwendazake hakuanzisha miradi tu, bali aliasisi na makundi ya utekaji ambayo vyote kwa pamoja rais aliepo madarakani sasa kavirithi

Kuhusu miradi mingi aliiacha ikiwa asilimia 30% ambapo sasa mingi imekamilika sasa katika hilo, asilimia 30% na 70% zilizobaki nani yuko juu ya mwenzake aliemalizia au alieanzisha? Jijibu mwenyewe mimi sihitaji jibu

Na vilevile, mwendazake aliasisi makundi ya utekaji, aliepo madarakani pia ameyarithi na kama kawaida muasisi alifanya kwa asilimia kadhaa kuteka na kuua mrithi anaendeleza asilimia zilizobaki hata mjisafishe vipi watu wa mwendazake huu ndio ukweli
Uongo mwingine wa kipuuzi huu, eti mwendazake alifanya hiyo miradi kwa 30% tu na samia kakamilisha yote...

Haya msema facts hebu tuambie umetumia kipimo gani kupata hitimisho kuwa samia wako amekamilisha miradi yote ikiwemo SGR na bwawa la kuzalisha umeme la Nyerere,

Na pia naomba uniambie kuhusu budget ya awali ya ujenzi wa SGR kama ilivyokuwa imepangwa na mwendazake, na kiasi cha pesa ambacho mama ako samia ametumia baada ya kufuata ushauri wa kina Mwigulu.

Mama ako samia wakati anaokota uraisi aijiapiza kuwa atafuta yale yote yasiyofaa yaliyoachwa na mtangulizi wake, na kuendeleza mazuri pekee..

...cha kustahajabisha yale aliyohaidi kuyaacha ndio amefayafanya kwa ufanisi zaidi kuliko yale mazuri aliyoyarithi.

...Ni kipindi hiki cha mama ako tumeona raia wa kawaida wakitengeneza uhasama mkubwa na jeshi la polisi, kitu ambacho hakikuwepo huko nyuma, leo hii magari ya polisi yanatumika kwenda kuteka watu usiku wa manane badala ya kuwalinda watu hao.

Mama ako samia aliahidi kulifanyia kazi suala la katiba mpya, lakini cha kustahajabisha amelitupilia mbali suala la katiba na mpaka kuifikia kuiita ni "kakijitabu tu" ambako hakana umuhimu wowote kwenye maisha yetu.. dharau ambayo hatukuwahi kuona kwa raisi mwingine yeyote yule.

Mama ako samia amerithi taratibu mbovu za kuandaaa tume ya taifa ya uchaguzi ambazo zinawapa ccm advantage uchaguzi wowote ule.. ila cha kustahajabisha badala ya kuirekebisha yeye akaamua kumfunga kabisa kiongozi mkuu wa upinzani asishiriki uchaguzi ambaye ndie angeweza kuwa mshindani wake, kitu ambacho magufuli na ushetani wake hakuwahi kufanya.

Mama ako samia amerithi serikali ambayo watumishi wa umma walikuwa wamesharejesha nidhamu na uwajibikaji makazini, ila sasa hivi tunavyoongea watumishi wa uma wanafanya kazi kwa kujiskia, wamekuwa wazembe, nidhamu hawana.. kazi yao ni kuiba pesa za uma, kusubiri mishaara na kuimba "mama mitano tena" sababu hakuna mtu anayewafuatilia utendaji wao wa kazi.

Kipindi cha magufuli, hatukuwahi kuona viongozi na watoto wao wakilimiliki magari ya mabilioni na kutulingushia maburungutu ya dola mitandaoni, ila kipindi cha mama ako samia tumeona haya yote yakifanyika.

Hakuna kipindi ambacho tumeshuudia nchi ikitafunwa vilivyo na watu wachache kama kipindi hichi cha mama ako samia, halafu nyie machawa kwa upumbav wenu mmebaki kumshabikia tu sijui anaupiga mwingi, ovyo sana nyie.

Magufuli anaweza kuwa aliendeleza unyama ulioasisiwa na Kikwete wa kuwateka akina Ulimboka na kuwaua akina Mwangosi, ila mama ako samia amekuja kuyafanya matukio hayo kwa waledi kabisa katika jicho la kisheani..

mama ako samia kaharibu nchi mpaka anataka kupinduliwa, halafu wewe bado unamtetea.. kapimwe akili *** wewe.
 
Wewe unastahili kutukanwa kila aina ya tusi matako ya bibi mpumbavu wewe....

....sasa hapa ndio umefanya nini zaidi ya kulazimisha kuitakasa hii serikali ya mama ako shetani la kizanzibari kutaja maovu ya mtangulizi wake?

Unaongelea suala la wanainchi kuishi kwa hofu, kwanini sasa hivi wanainchi hawaishi kwa hofu? Hivi Kuna kipindi ambacho wanainchi wanaishi kwa hofu kama sasa hivi ambapo samia kuna genge la samia linalofuatilia hadi comments za watu mitandaoni wanaoikosoa serikali? Imgane mama ako samia anateka mpaka watoto wa miaka 18 kisa tu wamesema ajiuzulu? Magufuli pamoja na ushetani wake uliwahi kuskia anaua hadi watoto kama anavyofanya samia?

Unaongelea akina Roma na Lema kukimbia nchi kwa ajili ya kuokoa maisha yao, kwani sasa hivi akina Maria Sarungi,Gwajima na huyo Roma mwenyewe wako wapi? Si wamekimbia nchi kwa ajili ya kuokoa maisha yao kutokana na kutafutwa na genge la wahalifu linalomilikiwa na mama ako samia?

Mbona unakuwa mpumbavu hivyo wewe? Yaani kabisa unahalalisha ushetani wa samia kwa kutaja ushetani wa mtu mwingine?

Magufuli katika upuuzi wake wote hakuwahi kufungia makanisa wala kuteka viongozi wa dini zaidi tu ya kuwapa jamba jamba, ila mama ako samia amethibutu mpaka kuteka mapadri na kisha genge lake linakuja kudanganya uma eti walijiteka!? Halafu unasema eti kipindi cha magufuli hali ilikuwa mbaya mara mbili ya sasa hivi una akili hata kidogo kweli wewe??

Nioneshe kanisa au mskiti ambao magufuli uligingiwa na magufuli kitoa huduma, kisha mimi nikuonesha makanisa 2000 yenye waumini zaisi ya milion 2 yaliyofungiwa na mama ako samia, kisha ndio uniambie ushetani wa samia una afadhari.

Mama ako shetani samia alitaka kumuua mpaka kiongozi wa TEC father Kitima kwa sababu za kipuuzi kabisa, haya wewe nionesha kiongozi wa dini ya kiislamu aliyetaka kuuliwa na genge la uhalifu linalomilikiwa na magufuli..!! Kisha ndio uje uni convice hapa eti kipindi hiki kuna afadhari kulinganisha na kipindi cha magufuli..!!

Unaongelea suala la Nape kuoneshwa Bastola na Lisu kupigwa risasi, kwanin mimi nimekwambia ninabariki hayo matukio au kufurahia kwa namna yoyote ile? Mimi ni mmoja ya watu ambaye nilimchukia sana magufuli kwa sababu tukio hilo la Lisu....

...Mimi sio mpumbav kama wewe ambaye unajaribu kutetea ushetani wa samia kwa kusingizia chama chake, eti "chama ni chama" pumbav kabisa.

Wakati unaongelea suala la Nape kuoneshwa Bastora, ongelea pia na suala la Polepole kutekwa na genge la Samia na kisha kupotezwa.

Wakati unaongelea suala la wasaidizi wa jiwe kuwa na viburi uongelee na suala la akina Mfwele kutoa vitisho vya kuwaua askari wenzake ambao wanaenda kinyume na chama tawala.

Yaan kabisa umekaza ****** eti kipindi cha jiwe hali ilikuwa mbaya kuliko sasa, na wakati kila mwenye akili timamu anajionea jinsi watu wanavyotekwa adharani bila kificho na tena wengine hawana hata madhara.

Magufuli licha ya upumbavu wake, ila hatukuwahi kuona wala kuskia akiua vijana wa miaka 18 kisa tu wameponda bango lenye picha yake.... huu ni zaidi ya ushetani uliofanywa na samia.

Samia na genge lake wanateka mpaka watu wasiokuwa na influence yoyote ya kisiasa kama Aunty Lulu na Niffer, halafu unasema eti unamtakasa kuwa bora ya yeye??

Leo hii jeshi la polisi limekabidhiwa mamlaka ya kutoa roho za watu na Samia.. halafu unasema eti sasa hivi tuko kwenye afadhar kiusalama?

Kabisa umeandika maelezo yote haya kutakasa utawala wa samia uliojaa damu na maovu ya kila aina eti una afadhari kuliko wa mtangulizi wake?... uliwahi kuona magufuli anateka mpaka wanaharakati wa nchi jirani na kisha kuwalawiti kama alivyofanya mama ako shetani samia kwa akina Boniphace Mwangi?

Kwangu mimi hao wote wawili ninawaona ni mashetani tu, japo huyo samia wako ndio shetani zaidi maana alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwasahaulisha watanzania machungu waliopitia awamu ya tano, ila badala yake yeye akaamua kufanya zaidi ya mtangulizi wake huku nyie machawa mkimkingia kifua na kutupa lawama zote kwa mtagulizi wake.

Wewe jamaa ni punguani, mjinga, huna elimu sahihi ya kiraia, na una upumbav wa kurithi....

Kuhusu udini, mimi hata sio mdini na chuki zangu kwa samia hazina uhusiano wowote na dini yake...

..sema nilichokiona nyie wafuasi wa dini ya samia wengi ni wapuuzi sana, na hii karata ya udini huwa mnapenda sana kuitumia mnapokuwa mna mtetea samia hili kuficha udini na chuki mlizonazo wa wakristo.

Mabaya ya magufuli huwa ninayongelea bila kupepesa, wala sina utetezi wa kipumbav kama nyie watetezi wa shetani samia mnavyomuona ni malaika na makosa yote mnamuangushia mfu.
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja ukweli ni kwamba huwezi kumsafisha mwendazake kwa maovu ya raisi wa sasa poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom