G
guest-1790917349
Guest
Shake ondoa mkuuUtashangazwa hiyo October 29 watanzania sio wawajibikaji wanataka wafanyiwe na watu wengine
Not this time
Ogopa nyakati
Shake ondoa mkuuUtashangazwa hiyo October 29 watanzania sio wawajibikaji wanataka wafanyiwe na watu wengine
Yeah! Sure, mama Abduli hajui kula na vipofu kabisa acha tu akapumzike alee wajukuuMama Samia kiukweli ana ushawishi mdogo kutoka na mtangulizi wake kazi alizofanya kuweza kuwawini wananchi maskini Magufuli alikua rais sahihi wakati ambao sio sahihi
Mama hakubaliki huo ndo ukweli hiyo ni kutokana kukumbatia mafisadi huo Uchungu mkweli na Kushindwa kuthibiti nidhamu kwa Watumishi wa Umma kipindi cha Magufuli ukienda hospital mwananchi wa chini ukifika pale mapokezi unachangamkiwa chap leo unaweza kukuta Nesi anachat na simu kama HAKUSKII tangia lizimi watumishi wa Umma wakambembelezwa heti KAZI na Utu kwa ngozi nyeusi ni hiyo kazi na Utu itatawaliwa na Rushwa kipindi cha Magufuli rushwa ilipungua. Samia inatakiwa avae viatu vya Magufuli aweke mbali Mafisadi yakina Seth singanga singa mzee wa PutoMkuu hizo lawama ziangalie vizuri ukizielewa hutapata nazo tabu
Lawama ni za kidini sema wapinzani wanapita nazo kusongesha agenda zao ukiwa muelewa utaelewa nini nimesema ila ukiamua kutokuelewa ndo basi tena
Sasa kama Olimboka alitekwa unawezaje kusema utekaji ulianza kipindi cha Magufuli?Nazungumzia utekaji ambao ni notable.
Mvungi kesi yake kwani haujaiona? Si walikamatwa? Waliomlipua mwangozi si alikamatwa? Aiyemteka ulimboka si jamaa wa IKULU au umesahau? Nazungumzia utekaji ambao unahusu serikali moja kwa moja...ALiyemteka ulimboka hajachukuliwa hatua yeyeote maana ni mtu wa mfumo(Joshua Mulundi ni FUTUHI aka maigizo)
Mwangosi na mvungi hawajatekwa.........Dr Ulimboka alitekwa tambua tofauti.
Wataka kutuaminisha kuwa hakukuwa na lawama wakati wa magufuli au tukukumbusheMama hakubaliki huo ndo ukweli hiyo ni kutokana kukumbatia mafisadi huo Uchungu mkweli na Kushindwa kuthibiti nidhamu kwa Watumishi wa Umma kipindi cha Magufuli ukienda hospital mwananchi wa chini ukifika pale mapokezi unachangamkiwa chap leo unaweza kukuta Nesi anachat na simu kama HAKUSKII tangia lizimi watumishi wa Umma wakambembelezwa heti KAZI na Utu kwa ngozi nyeusi ni hiyo kazi na Utu itatawaliwa na Rushwa kipindi cha Magufuli rushwa ilipungua. Samia inatakiwa avae viatu vya Magufuli aweke mbali Mafisadi yakina Seth singanga singa mzee wa Puto
Sasa kama hamjasoma mmesoma madrasa unataka muwekwe ofsin mkafanye nn? Na mkiwekwa Kwa sku ni sala 5 hiyo kazi mtafanya saa ngap?Hasa mkafir ndo yamejaza kila ofis lakn kaz sifur kutwa udini, wiz na rushwa na ngono
Ulichoandika NI kweli kabisa.Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alivyokua anakosoa wakasema yuko nje ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua Tanzania lakini Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama tu Tukijifunza uwajibikaji tutawawajibisha Viongozi tunaona hawafai
Yaani umekuwa kondoo mpaka upate mchungaji?Mpaka awepo kiongozi kama Magufuli awakalie watu kooni ndio kazi zifanyike?Mpangilio wa kibarua na Nyapara ndio watu wawajibike?Unajizima data ww ... Kipindi cha Jiwe ulikua wapi .. watz hatujapata kiogozi tu . JPM aliwakalia kwenye koo watu ... Ilikua kazi kazi.
Asee gallow bird 😡😡😡😡😡😡 acha ujinga.Hasa mkafir ndo yamejaza kila ofis lakn kaz sifur kutwa udini, wiz na rushwa na ngono
We mjinga sisi tunapinga UJANGILI wa Samia na magenge yake, Tanzania haijawahi kuwa na Rais wa hovyo kama huyu.Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alivyokua anakosoa wakasema yuko nje ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua Tanzania lakini Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama tu Tukijifunza uwajibikaji tutawawajibisha Viongozi tunaona hawafai