Uwajibikaji uanzoe kwa Mtwawala ,nguvu za kuwadhibiti na kuwateka wanao kosoa kutokuwajibika kwao,japo robo yake ingetumika kuupata na kuusimamia utawala wa sheria na uwajibikaji,taifa hili liingekuwa china ya Africa.Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alivyokua anakosoa wakasema yuko nje ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua Tanzania lakini Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama tu Tukijifunza uwajibikaji tutawawajibisha Viongozi tunaona hawafai
uwajibikaji unaazia kwa wananchi wakiwa wakali watawala nao watawajibika watajua wananchi hawapendi ujinga mamlaka ya mwisho ya nchi yako kwa wananchiUwajibikaji uanzoe kwa Mtwawala ,nguvu za kuwadhibiti na kuwateka wanao kosoa kutokuwajibika kwao,japo robo yake ingetumika kuupata na kuusimamia utawala wa sheria na uwajibikaji,taifa hili liingekuwa china ya Africa.
Naam kuonyeshwa wamekeleka na ilo jambo unakuta kila mkoa na wilaya kuna shauri la kutaka polepole apelekwe mahakamani unanielwa au serikali iseme polepole yuko wapi ila wao ni lawama na kusema unakosoaje serikali wakati uko nchini watanzania ni watu wapumbavu 70%Maana yake serikali angeshitakiwa na watu zaidi ya milioni 1 hadi mahakama zisingetosha au sio
Sio watanzania ni watanganyika sio wa 1961 ni wa sasa...Hamna Uwezo wa kukiwasha watanzania sio watu wa kutimiza uwajibu wao
Hahaaaa just waitSitaki kukupoteza kipenzi usiende kwenye maandamano ambayo hayapo utajikuta uko peke yako
Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alivyokua anakosoa wakasema yuko nje ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua Tanzania lakini Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama tu Tukijifunza uwajibikaji tutawawajibisha Viongozi tunaona hawafai
Ndio kutokujua sheria ya uraia ndo changamoto naona Wewe tunaelewana vizuri wao hawajui kwamba ndo wenye mamlaka ya mwisho kuondoa yale yote yanayo wakela ila ndo ivyo wananchi wamelala usingizi wa kifo. Mfano yale yote aliyoongea Polepole yalikua yanatosha wananchi kuiondoa serikali na kuweka nyingineKutojua sheria au uraia pia ni changamoto.
Asilimia 70 ya wananchi wanajua wenye nchi ni viongozi wa serikalini na wanasiasa ila wao sio yao ila ni kama wanapewa tu favor kuitumia nchi yao
Bila shaka utakuwa ni kibaraka wa wanamtandao, maana ndio huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuyasema mabaya ya magufuli katika namna fulani hivi ya kuhalalisha maovu ya samia.Utekaji na kuua wapinzani alianza magufuli ,binti chura amerithi tena na anaendeleza kwa kiwango cha SGR.
Enzi za Kikwete aliyetekwa ni mmoja tu Dr Ulimboka ila kuanzia JIWE hadi Binti Chura wa Samawati idadi ya waliotekwa na kupotezwa nia ZAIDI ya 1000.(Mkiru ilipoteza zaidi ya wananchi 350)
Amka kuwa kama Madagascar, kuwa kama Nepal....tusiishie kwenye keyboard tuunataka tusilalamike wakati tunatekwa
Bila shaka utakuwa ni kibaraka wa wanamtandao, maana ndio huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuyasema mabaya ya magufuli katika namna fulani hivi ya kuhalalisha maovu ya samia.
Halafu sasa huwa mnaya exaggerate kweli mabaya ya huyo jiwe, hebu ona kama wewe eti idadi ya waliotekwa kipindi hicho ni 1,000 serious?
Basi kama kwa jiwe waliotekwa ni hiyo idadi yote kwa samia watakuwa wameshafika 5,000.. maana kipindi hiki utekaji unafanyika adharani kabisa kila mtu anaona... na maisha ya hofu yazadi kutanda tu siku hadi siku.
Nimemuuliza swali kama Olimboka alitekwa kipindi cha JK kwanini Usema utekaji ulianza kipindi cha Magufuli? hajarudi badoBila shaka utakuwa ni kibaraka wa wanamtandao, maana ndio huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuyasema mabaya ya magufuli katika namna fulani hivi ya kuhalalisha maovu ya samia.
Halafu sasa huwa mnaya exaggerate kweli mabaya ya huyo jiwe, hebu ona kama wewe eti idadi ya waliotekwa kipindi hicho ni 1,000 serious?
Basi kama kwa jiwe waliotekwa ni hiyo idadi yote kwa samia watakuwa wameshafika 5,000.. maana kipindi hiki utekaji unafanyika adharani kabisa kila mtu anaona... na maisha ya hofu yazadi kutanda tu siku hadi siku.
Bila shaka utakuwa ni kibaraka wa wanamtandao, maana ndio huwa mnatumia nguvu nyingi sana kuyasema mabaya ya magufuli katika namna fulani hivi ya kuhalalisha maovu ya samia.
Halafu sasa huwa mnaya exaggerate kweli mabaya ya huyo jiwe, hebu ona kama wewe eti idadi ya waliotekwa kipindi hicho ni 1,000 serious?
Basi kama kwa jiwe waliotekwa ni hiyo idadi yote kwa samia watakuwa wameshafika 5,000.. maana kipindi hiki utekaji unafanyika adharani kabisa kila mtu anaona... na maisha ya hofu yazadi kutanda tu siku hadi siku.
Haya tuseme basi ulianza kwenye utawala wa nyerere hadi ulipofika utawala wa magufuli utekaji ukaisha....umefurahi?Sasa kama Olimboka alitekwa unawezaje kusema utekaji ulianza kipindi cha Magufuli?
Unapo amua kuanzisha mada kama hii ni muhimu uwe na akili ya kujuwa "uwajibikaji" unaanzia wapi?Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndo tatizo kubwa sana la wananchi wa tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu. Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika, Mfano Polepole alivyokua anakosoa wakasema yuko nje ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua Tanzania lakini Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa tanzania. Sisi ni watu wa Lawama tu Tukijifunza uwajibikaji tutawawajibisha Viongozi tunaona hawafai