GE2025 Tatizo la Watanzania ni Uwajibikaji hata aje Rais kutoka wapi bado atalaumiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mama Samia kiukweli ana ushawishi mdogo kutoka na mtangulizi wake kazi alizofanya kuweza kuwawini wananchi maskini Magufuli alikua rais sahihi wakati ambao sio sahihi
Yeah! Sure, mama Abduli hajui kula na vipofu kabisa acha tu akapumzike alee wajukuu
Kuna siku alisemaga yeye siyo Rais wa wanyonge, kipindi cha kampeni kajisahau anajiita yeye mnyonge amekuja kuomba kura
 
Mkuu hizo lawama ziangalie vizuri ukizielewa hutapata nazo tabu

Lawama ni za kidini sema wapinzani wanapita nazo kusongesha agenda zao ukiwa muelewa utaelewa nini nimesema ila ukiamua kutokuelewa ndo basi tena
Mama hakubaliki huo ndo ukweli hiyo ni kutokana kukumbatia mafisadi huo Uchungu mkweli na Kushindwa kuthibiti nidhamu kwa Watumishi wa Umma kipindi cha Magufuli ukienda hospital mwananchi wa chini ukifika pale mapokezi unachangamkiwa chap leo unaweza kukuta Nesi anachat na simu kama HAKUSKII tangia lizimi watumishi wa Umma wakambembelezwa heti KAZI na Utu kwa ngozi nyeusi ni hiyo kazi na Utu itatawaliwa na Rushwa kipindi cha Magufuli rushwa ilipungua. Samia inatakiwa avae viatu vya Magufuli aweke mbali Mafisadi yakina Seth singanga singa mzee wa Puto
 
Kwamba mkulima anayelima huko na kukosa masoko (hawajibiki) ? Kwamba sisi tunalipa Kodi alafu watunga Sera hawaleti Sera za kutunyanyua Hatuwajibiki ?

Kwamba tunauza Creme de la Creme na kugawa Commanding Height za nchi yetu eti tunabakia kulaumu kazi zetu za Umachinga ndio Mchina anachukua ni Kosa la sisi tuliosoma alafu Taifa linashindwa kutumia nguvu kazi yetu (au anayepaswa kuweka mifumo ndio hawajibiki)

Mkuu do not settle for mediocrity na kama mlipa Kodi it's your Civic Duty Kulalamika...

 
Sasa kama Olimboka alitekwa unawezaje kusema utekaji ulianza kipindi cha Magufuli?
 
Wataka kutuaminisha kuwa hakukuwa na lawama wakati wa magufuli au tukukumbushe
 
Ulichoandika NI kweli kabisa.
 
Unajizima data ww ... Kipindi cha Jiwe ulikua wapi .. watz hatujapata kiogozi tu . JPM aliwakalia kwenye koo watu ... Ilikua kazi kazi.
Yaani umekuwa kondoo mpaka upate mchungaji?Mpaka awepo kiongozi kama Magufuli awakalie watu kooni ndio kazi zifanyike?Mpangilio wa kibarua na Nyapara ndio watu wawajibike?
Sasa unapinga nini?Watanzania hawawajibiki wenyewe bila kukaliwa kooni na kunyanyaswa.Hawajitumi,hawafanyi kazi bila kusimamiwa,hawana dhana ya uwajibikaji.Kazi kulalamika na majungu na uzushi wakimalizia siku na udaku.
 
We mjinga sisi tunapinga UJANGILI wa Samia na magenge yake, Tanzania haijawahi kuwa na Rais wa hovyo kama huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…