GE2025 Tatizo la Watanzania ni Uwajibikaji hata aje Rais kutoka wapi bado atalaumiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Una habari kuwa mama ako samia kutoka KUZIMU-KAZI meharibu vyombo vyetu vya usalama?

Umemskia Mafwele kwenye audio inayosambaa kuwa amewateka mpaka maafisa wa JWTZ kisa wamechana bango la mama ako samia linalohusu huu uchafuzi unaoendelea?

Kwa kitendo cha mafwele kutamka wazi kuwa Captain Tesha ni muhuni na amewatia mbaroni askari wa JWTZ kinaonesha kuwa amepewa mamlaka makubwa sana na samia kiasi kwamba anaweza akalichezea mpaka jeshi letu kwa maana ya kuamua mwanajeshi gani aishi nani afe.... hili ni jambo ambalo wanajeshi wetu hawatalikubali hata kidogo na lazima watafanya jambo siku sio nyingi.

Mama ako samia kaleta mpasuko mkubwa sana kwenye vyombo vyetu vya usalama kwa ajili ya maslahi yake binafsi na mtoto wake abdul...

....halafu bado unamuona ni mtu wa maana?

Tanzania haijawahi kupata kiongozi wa ovyo na mjinga asiyekuwa na hata chembe ya uzalendo kama mama ako samia.

Yule hafai hata kwa kulumangira, ni nyie machawa tu aidha kwa sababu ya udini au maslahi binafsi ndio mnayemuona ni mtu wa maana, ninafurahi mwisho wake umekaribia.
 
Nchi hii aliyoiharibu ni magufuli huu tunauona sasa ni mwendelezo kila anaeikosoa Serikali bwana yule alipita nae hadi sasa hayo mambo yanaendelea

Hata hao viongozi wako wa kanisa wasingekosoa wasingefungiwa makanisa yao wala kujaribu kutekwa hizo mbaga za utekaji miasisi ni mwendazake ila tukisema eti tunamsifia mama Abdul

Kisu mmekinoa wenyewe kukatia nyama acheni kiwakate

Wewe na wenzio humu mmejaa udini ili mtu aonekane ana akili amsifie Nyerere, mkapa na magufuli, lakini mwinyi, Kikwete na Samia mtatukana kila aina ya matusi

NB, Sina mda wa kujadiliana na kiwanda cha matusi kwaheri
 
Wewe mpumbav wahi ukaswali sijui kusali huko, kisha kesho kutwa uende ukatiki hili kubariki muendelezo wa ushetani wa mama ako samia.

Hauna hoja ya maana hata moja mbumbumbu wewe, karibu katika comment unarudia kitu kile kile tu, aliasisi aliasisi..

..mama ako kama ana akili alishindwa nini kuifuta hiyo legacy mbaya na badala yake anaiendeleza? Mbona kuna mengi tu ameyafuta? Kama vile kuskiliza kero za wanainchi mara kwa mara akiwa ziarani? Kwani hyo hakuiendeleza na badala yake akaona aendeleze utekaji?

Si kwa vile unamsaidia kuimarisha utawala wake dhalimu, na kuliibia hili taifa letu la tanganyika.. huku nyie waislam wenzie mkimsifia tu bila kutumia akili.

"Kisu mmekiona wenyewe kukatia nyama, acha kiwakate"

Kwa hiyo kumbe unafurahishwa na haya matukio anayofanya mama ako ya kuteka na kuua watu sio?

Ndio maana nikasema wewe ni mpumbav wa kurithi, unawezaje kufurahia maouvu kisa tu yanafanywa na mtu wa dini yako?

Waislamu mna chuki kali sana ambayo imechanganyikana na ujinga mwingi sababu wengi wenu hamna shule wapuuzi nyie.

Hapa unaniletea karata ya udini, na wakati wewe unaonesha kabisa ndio umejawa na udini mpaka basi.

Angalia hapo unakili mwenyewe samia anafanya maovu ila una mtetea kipumbav kwa kuwaamishia lawama wengine kisa ni muislamu mwenzio, sasa una akili kweli wewe au una utoko kichwani?

Hata mimi siwezi kuendelea kubishana na kizibo kama wewe, tafuta wapumbav wenzio huko ndio mbishane nao
 
Wewe ni Kenge MAJi sana ,mimi sitetei awamu yeyote hapa ,umemsikiliza gwajima? Madudu ynayofanyika kwa kila awamu yanaacha Legacy na watu lazima wafanye reference kwa hiyo awamu.

Wewe mbweha unadhani sisi tunadiscuss siasa humu ,sisi tunajadili maisha ya watu...muasisi wa UTEKAJI huu tunaouona ulianza kwa kasi kipindi cha JPM ,huo ndiyo ukweli hatupindishi maneno! Mimi siyo chawa ,sina affiliation na chama chochote au awamu yeyote ,sipo sisiemu wala sipo CDM wala chaumma....kama ulidhani mimi nipo awamu ya WAHUNI wanaMTANDAO unajidanganya ,najua WAHUNI ndiyo wamemtoka PolePole maana Awamu hii inapiga Collabo na WAHUNI.
 
Kwa jinsi ulivyoandika comments zako za awali zilikuwa na uelekeo wa kuitakasa awamu hii ya mama ako samia kwa kukandia zaidi awamu ya jiwe.

Hapa angalau umeeleweka sasa, hizi awamu zote mbili zimejaa ushetani tupu na ni uwendowazimu kusema kuna yenye afadhari, japo wote tunaona sasa hivi hali ndio inatisha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…