Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.

Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.

Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha viongozi.

Tumeshalaumu molinga, zahera, na makocha kibao ila msolla na ersi wanabaki pale pale
Engineer anatuangusha sn si aje Simba tuweke heshima
 
Back
Top Bottom