Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kuna min tool, hetman na easeus pia ni nzuri. Ukumbuke software huwa zinamapungufu kwahiyo zingine unaweza kurecover lkn picha zikagoma kuonesha, au video. Kwa picha tumia hii ashampoo photo recovery hii ni mwisho wa matatizoWakuu ni Software gani nzuri kwaajili ya Data recovery?
Pia PC yangu mkuu inakamata wireless but inachagua. Wirelss kwa simu ya jamaa inakubali but kwa simu yangu inakataa na sikuwah kuunga hapo kabla[/QUO
kwa solution basi fanya hivi
nenda kwenye network and internet settings--manage known network(mostly kuanzia windows 7 na kuendelea juu cjajua xp inakuwa na jina gan hapa) kisha angalia hiyo wifi yako inayogoma kisha click then nenda sehemu wameandika forget then connect tena ikidai password basi ingiza, hope itasaidia
Mkuu PC yangu DELL Inspiron zile za zamani saana sjaitumia muda mrefu. Sa nimeiwasha inawaka vzur Windows XP ila inamandishi mabaya sana mkuu, yan hata ikiandika Googke mandishi hayana mvuto (sio HD). naomba ushauri
Jaman nina pc yang ya Ibook G4 sasa tatzo lake ni hua inawaka kwa shida ad niipigepige kidogo kwene Keybord na ikikaa kigogo inazma.. Je tatzo ni nini wadau
Naweza kupeleka wap wakalekebisha kwa Dar es salaamHiyo ni a shida ya VGA
Ndio mkuu ad nipge keybord au chinkama inazima kabisa basi ishu ni hardware na sana ni cpu ndio inayosababisha kuzima iwapo fen kama yazunguka vizur, na pia kama unaweza fungua uone tatizo hasa n nini had uipige kwenye keyboard ndio inawaka?
Nina laptop yangu Acer aspire E 15Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
nikusifu kwa kumvumilia huyu jamaa.Karbu sana
Pirate
Nenda kwenye maduka ya vifaa vya computer kinaitwa USB hubHabari pc yangu ina sehemu ya kuweka flash moj tu je ni kifaa gani na kinauzwa sh ngapi naweza kuwa naweka na kikanisaidia kuchomeka flash zaid ya moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dell laptoptaja pc yako nikuelekeze mkuu
Nikii restart tuuuyan ukiwa una-restart tu au hat ukiwasha normal way??